Search results

  1. S

    Ni mama yupi hapa ataweza kuvivaa vyema viatu vya Sophia?

    Waliopitishwa kugombea nafasi ya mwenyeki UWT taifa. 1: Gaudencia Mgosi Kabaka 2: Dr. Juliana James Manyerere 3: Sophia Saimon Mpulilwa 4: Ngollo Ng'waniduhu Malenya
  2. S

    Hajapatikana kijana sahihi kuiongoza BAVICHA mpaka sasa, CHADEMA chukueni ushauri huu

    niliandika hapa watu wakanibeza....sasa yametimia.. ila watu kama katambi dah...kweli kujenga chama kunahitaji moyo wa kweli
  3. S

    Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

    huyu ni yupi maana tuliambiwa wake wa masaburi ni wengi...
  4. S

    Polisi Tanzania haimo kwenye orodha ya majeshi ya Polisi 10 Duniani yanayonuka rushwa

    POLISI TANZANIA HAIMO KWENYE ORODHA YA MAJESHI YA POLISI 10 DUNIANI YANAYONUKA RUSHWA. 10 Most Corrupt Police Forces in The World 10. Pakistan Police Pakistan’s police has been ranked among the most corrupt institutions in the country in a survey by an international anti-graft watchdog. Many...
  5. S

    Mh.Rais, Leo ni siku yetu wa baba.

    MH. JOHN POMBE MAGUFULI, LEO NI SIKU YETU WA BABA. Mh. Rais, pole sana kwa kazi ya kututumikia watanzania kama mfanya kazi namba 1, tambua haya ni mapenzi toka kwa Mungu, tambua siyo kwamba wewe ni zaidi ya watanzania wote zaidi ya milioni 50 ila ni kwa neema tu zake mwenyezi Mungu, kamwe...
  6. S

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    MH. NDUGAI, TOKA LINI UMEKUWA RPC, KAMANDA SIRO AU AMIRI JESHI KUU?. Kwanza nianze na kuwapa pole wale Askari wa bunge waliondolewa bungeni kwa kosa la kuchelewa kumkamata na kumtoa nje Mh. Mnyika pia pole zangu nyingi sana nimpelekee mh. Mkuu wa Jeshi la Polisi, kamanda Siro.. nakupa pole...
  7. S

    JWTZ Musoma mmefanya uungwana mkubwa kwa ndg zenu polisi

    Mmoja wa Askari Polisi mwenye rank ya nyota moja aliyewawa na magaidi Mkoani Pwani leo amepumzishwa katika nyumba yake ya milele Mkoani Mara. Nilichofurahia katika eneo la tukio ni kwa jinsi gani JWTZ walivyoshiriki kwa 100% kuwa karibu na POLISI katika kumzika mwenzao. Kwa ufupi vilio...
  8. S

    Rais Magufuli kwa kutokwenda kuwaaga askari wetu waliouawa amenishangaza

    Leo ndiyo wale askari polisi 8 waliowawa kule Pwani wameagwa pale police barracks Askari wanane kufa kwa kupigwa risasi na watu ambao ni majambazi/magaidi ni msiba wa kitafa.. Hivi mh Rais uliona taabu gani kwenda kushirikiana na askari wako katika kuwaaga wale askari. Mh Rais uzidunzi wa...
  9. S

    Rais John Pombe Magufuli ni msikivu na mwenye kupenda ushauri

    hii vita ni ngumu..yaani LOWASA na MBOWE/CDM kushibana mwaka mmoja sasa limekuwa bomu kubwa kuliko LOWASA aliposhibana na CCM miaka yote ya ujana na uzee wake
  10. S

    NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Yeye anakosea kila siku! alafu kumbuka matatizo na machungu na matatizo ya ndoa wanayajua wanandoa wenyewe..
  11. S

    Single mothers, ni nini chanzo?

    ukiona koment ya hasra hapa toka kwa mwanamke/mdada hapa ujue huyo ameliwa..ni single mother..huwa wana hasra kuliko mbwa koko.
  12. S

    Kipigo ndani ya kambi ya jeshi chadaiwa kusababisha kifo cha konda wa daladala

    kwenye hii post wamekaa kimya..lakini ingekuwa post za kuwasifia au nani atamridhi mwamnyange au vyeo vya jeshi vikoje au wanajeshi wanapokea pesa nyingi au ujinga furani ungeona wanavyomiminika hapa na coments zao za kijinga.. ndiyo maana huwa nasema JWTZ ni wajinga kuliko jeshi lolote hapa...
  13. S

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Amiri Jeshi mkuu (RAIS) ndiye mwenye vyeo vyote jeshini! yeye ndiye anaamua nini cha kufanya. Katiba inampa mamlaka ya kumteua mtu yoyote yule kuwa CDF ndani ya Jeshi...haimwambii au kumwelekeza lazma huyu mtu awe na rank gani..ila kinachofanyika ni rais kutumia busara na kumteu mtu mwenye...
  14. S

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    kusafirisha mzigo kwa meli hawaangalii uzito wa mzigo ila wanaangali ukubwa wa mzigo umechukua eneo la ukubwa kiasi gani ndani ya meli(Cubic Meter-CBM) na CBM 1 ni sawa na dollar 400 kwa meli..kumbuka mpka mzigo wako ufikishe CBM moja basi utakuwa ni mzigo uliochukua eneo kubwa sana.. kuna...
  15. S

    Kwa Ramani ya Gambia ilivyo ECOWAS wataipiga ndani ya one week!!

    mkuu acha habari za mikwara! moja ya mbinu za vita ni postion uliyopo..mbali na hilo gambia hana ubavu wa kupigana hata na senegal achilie ECOWAS..gambia ina watu hawafiki mili 3...budget ya jeshi la senegal ni mara 20 ya ile ya gambia.. mkuu vita siyo maneno kama ingekuwa ni maneno id amin...
Back
Top Bottom