Search results

  1. K

    Maajabu ya bongo movie..

    Nionavyo mimi Bongo Movie wanahitaji kufanya utafiti kwanza kabla ya kulalamika. Dunia ya sasa ni ya ushindani kwa kila kitu, suala la kutegemea kubebwa kwa uzalendo halipo. Wanatakiwa wajiulize tatizo lipo wapi? Ubora wa filamu? Maudhui? Waigizaji? Watanzania wanataka nini? Kimsingi Bongo...
  2. K

    Designated Survivor

    Nimekuwa naifuatilia sana tamthilia hii ya designated survivor na mengi yanayoonyeshwa yanaakisi changamoto katika kutawala nchi. Rais Kirkman ambaye hakutarajia kuwa Rais anaukwaa urais baada ya uongozi wote wa juu wa taifa la Marekani unapoteketea siku ya hotuba ya State of Union...
  3. K

    Tulimsikitikia mkombozi Amina Chifupa Mungu akatuletea RC wa Dar

    Nona hatutoelewana. Amini unavyoamini ndugu.
  4. K

    Tulimsikitikia mkombozi Amina Chifupa Mungu akatuletea RC wa Dar

    Nilijifunza kuwa ukitaka kuelewa jambo usichukue upande kabla. Ndugu una mihemko kama walivyo wengi hivyo hutoelewa hata nikitumia muda mwingi kukuelewesha, tayari una upande unaotetea. Itakuwa kama debate za shule! Tactics za mapambano si kumueleza adui intentions na capabilities zako. Atajua...
  5. K

    Tulimsikitikia mkombozi Amina Chifupa Mungu akatuletea RC wa Dar

    Nalazimika kukujibu si kwa kuwa naungana na matendo ya RC Makonda kwenye matumizi ya madaraka. Nakufahamisha tu kuwa kila vita hupiganwa kutokana na maono na mtazamo wa kamanda. Ndiyo maana makamanda hushinda au kushindwa vita. Kwa mtazamo wangu tactics alizotumia RC Makonda zilikuwa sahihi...
  6. K

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Well said. Makonda anaonekana madhaifu yake kwa kuwa hivi sasa yupo kwenye spot light kwa kuwa ameanzisha vita ya madawa ya kulevya. Mtu yeyote akiwa kwenye spot light mambo mengi yataonekana. Anastahili kupewa moyo kwani wengi wanawajua drug cartels lakini hawathubutu kufungua vinywa vyao na...
  7. K

    24 series na prison break ipi kali?

    Designated Survivor
  8. K

    MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Nachukia mtu anayeng'ang'ania Ikulu kuna listi, ikulu kuna listi! Aliiandaa nani? Unajuaje tu kuna listi bila kujua waliomo kwenye hiyo listi? Kama unayajua hayo majina msaidie RC Makonda kwa kuyataja! Unajua kwa nini nimeanza hivyo? Kichwa chako cha habari kimeonesha wewe unajua maana ya vita...
  9. K

    Hakuna atakayefungwa kisa madawa ya kulevya

    Hii ndiyo Tanzania Hakuna jambo linaloungwa mkono! Tumezoea kulaumu tu. Kwa waliosoma mambo ya kivita, objective hufikiwa kwa series ya battles na engagements mbalimbali. Hadi uzishinde hizo ndiyo utaifikia objective yako. Kwa maana nyingine ndiyo utashinda vita. Kwa wanaojua campaign planning...
  10. K

    Kupwa, kujaa na kuhama kwa maji ya bahari

    Pitia kwenye hiyo PDF. Ndiyo Sayansi ya Kujaa na kupwa kwa maji.
  11. K

    Majeshi ya Tanzania na huduma za dezo

    Mtoa mada ameyalenga Majeshi ya Ulinzi na Usalama kwa ujumla wake lakini wachagiaji wengi wameilenga JWTZ tu na kuonesha chuki ya wazi kwa chombo hiki. Kwanza, hakuna sheria inayoeleza wapate huduma za usafiri bure, na wengi tu wanasafiri ndani ya mabasi hayo bila kutambulika na wanalipa nauli...
  12. K

    Vodacom data wamepatwa na nini ?

    Inasoma 3G au H na H+ lakini signal strength inashuka au kupotea kabisa hivyo internet inakata. Sasa tunaoweka bundle za mwezi inakula kwetu. Hawa jamaa sijui vp.
  13. K

    Vodacom data wamepatwa na nini ?

    WanaJF, Anayejua kilichowapata Vodacom kwenye data service atufahamishe. Leo ni kama siku ya tano hivi internet yao ipo chini mno yaani ni sawa na hakuna hasa eneo la Kigamboni.
  14. K

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    East African Eagle. Pengine unataka kujua nijuayo juu ya ulinzi. Kuna theory na practical hapa. Kuacha mnara wenye kamera kubwa bila ulinzi (wa aina yeyote, unaoonekana na usioonekana) ni hatari. Kimsingi pale ikulu ilipo ni vulnerable kila angle, ilijengwa na wakoloni kwa strategy zao( enzi...
  15. K

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    Pia pale mnara wa kuongozea meli kuna kamera kubwa inayoweza kuona kwa ufasaha hadi KOJ (Kurasini Oil Jetty), ikigeuzwa upande wa Ikulu movements zote zinasomeka, hivyo mnara ukitekwa hata kwa nusu saa kwa malengo maalumu basi tutasema mengine. Mie huwa nawashangaa wale jamaa kwenye magwaride na...
  16. K

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Inahitaji password! Ni ipi?
  17. K

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Inapojizima hata nikijaribu hard reset haikubali. Hard reset ninayoizungumzia ni kubonyeza power on/lock button na home button kwa pamoja kwa muda. Lakini ikikaa kwa muda kama masaa matatu hivi nikiiwasha inakuwa haina chaji hata kama wakati ilipozima ilikuwa na chaji ya kutosha. Hata hivyo...
  18. K

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Nimejaribu kufuatilia naona inatatizo jingine tu kwani inajizima,kisha baada ya masaa machache ukiiwasha inawaka tena na kuendelea kufanya kazi kama kawaida. Nimepitia setting zote naona zipo kawaida tu. Nadhani inanipa dalili ya kuanza kutafuta simu nyingine. Hiyo hard reset haikubali.
  19. K

    Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Wakuu, nina Apple IPhone 4S. Naona toka jana nikichaji baada ya kuchomoa tu chaji inaniambia "battery low, shutting down". Nahisi battery imekufa kwani wakati wa kuchaji inaonyesha chaji inaingia hadi asilimia 100. Sasa kwa mwenye battery mpya tuwasiliane PM akitaja bei na gharama za kufunga...
  20. K

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Heshima pesa, shikamoo kelele tu!
Back
Top Bottom