Search results

  1. Mwazani

    Mwanamke Hata Umpe Mwanaume Kila Kitu

    Very complicated.
  2. Mwazani

    Kwanini mwanamke mpumbavu na sio mbanaume mpumbavu?

    So huo msemo ni valid kwa zamani tu? siku hizi ni invalid?
  3. Mwazani

    Kwanini mwanamke mpumbavu na sio mbanaume mpumbavu?

    Mpendw, hiyo nayo pia haijakaa vizuri kwa mwanamke. kwahiyo ni mwanaume ndiye anatakiwa aishi kwa akili na mwanamke? Which means mwanamke ni kiumbe flani usipokuwa makini nacho mambo yatakwenda mrama? au? Hapo ndipo swali langu lilipojikita
  4. Mwazani

    Kwanini mwanamke mpumbavu na sio mbanaume mpumbavu?

    Wapendwa, kuna msemo mmoja maarufu sana unasema hivi, "...Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..." Hivi kwanini ni mwanake na sio mwanaume? kwani haiwezekani mwanaume mpumbavu akavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe? Ni mwendelezo wa kutomwamini na kumdharau...
  5. Mwazani

    (Kwa wanawake tuu) Mazoezi ni Muhimu sana.

  6. Mwazani

    otea anacheza wimbo gani?

  7. Mwazani

    Jamani hawa ma last born watatupasua vichwa!

    Hayo ndio madhara ya kumdekeza mtoto.
  8. Mwazani

    Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

    Kwa wenye busara, talaka haitakiwi kuwa entertained hata kidogo. Talaka ni last option kama mbinu zote za kusolve tatizo zimeshindikana.
  9. Mwazani

    Wanaume wa nchi hii mnanisikitisha sana. Komboeni nchi yetu

    Ni aibu nchi inaporomoka lakini wanaume wa nchi hii mpo tu mnalalamika kila kukicha bila kuchukua hatua. Ni aibu viongozi wa nchi hii wanachuma mali na kujilimbikizia huku idadi kubwa ya watu ni masikini wa kutupwa lakini wanaume wa nchi hii mpo mpo tu. Wananchi wengi wa Nchi hii tuna hali...
  10. Mwazani

    Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

    Especially mimi, huwa sijivungi na kama hukufikia kiwango changu pia nakupa live kuwa sikutaki.
  11. Mwazani

    Unataka kunichezea tu!

    Rev au mwanaume yeyote humu, ulishawahi kutendwa na mpenzi wako uliyempenda? Ulijisikiaje? ulichukia kwa kupoteza muda wqako right?
  12. Mwazani

    Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

    Shosti kila siku wenye pesa wanazaliwa.
  13. Mwazani

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    Mh! sikubaliani na Ndodi hata siku moja. Hasa hilo la wowowo. Mimi navaa sana suruali za jins za kubana I wish niiweke picha yangu hapa ili nim'prove wrong huyo dokta Ndodi.
  14. Mwazani

    Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

    Hata tusijidanganye, Pamoja na yote money ni kila kitu. Binafsi mbali na vigezo vingine, mwanaume anaponitokea ni lazma pia niangalie na status yake kiuchumi. Mapenzi bila pesa mh! is nothing.
  15. Mwazani

    Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

    Mh! wee kaka wewe.
  16. Mwazani

    Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

    Acha ubishi mpendwa.
  17. Mwazani

    My gorgeous little boy is here!!!

    Mh! mi napenda kuwa na mtoto lakini naogopaga kubeba mimba. Da Pretty Hongera mwaya.
  18. Mwazani

    Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

    Wapendwa kumbe mmejificha huku? Nimewatafuta Jamvi zima. Jamani moja ya vitu ambavyo vinaleta hasira kwa wanawake katika mahusiano ni kuchezewa na hatimaye mwanaume haonyeshi dalili ya kukuoa. Alichofanya huyo dada ni mbinu yake ya mwisho ambayo mara nyingi hufanikiwa na ndio maana anapogundua...
  19. Mwazani

    Facts of life

    Mi hata sijakuelewa. fafanua tafadhali.
Back
Top Bottom