Search results

  1. binti kiziwi

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Hakuna mtu perfect akaweza kubalance mambo katika mzani sawa, Binafsi kuna kazi nimeshaziondoa on my to-do list… Na yeye kama kuna vitu vitakwama kwa upande wake tutaona namna ya kuchekecha. Tupunguze expectations tufurahie dunia. Ndoa ni ya wawili, watatu shetani.
  2. binti kiziwi

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Hao hao baada ya muda muanze kuwaambia kuwa hawachangii chochote kiuchumi kwenye hizo ndoa zenu 😀😀😀 Wanadamu ni kama hamjui mnataka nini.
  3. binti kiziwi

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Matola hili jambo linakuzwa kuliko uhalisia, Wanawake wa sasa “Wengi” wanashiriki financially katika “home development” na malezi ya watoto in fully capacity. Mimi hushangaa sana watu wa Jf huwa mnaishi mitaa ipi ambapo hakuna diversity! Maana JF wanaume wote wake zao hawashiriki financially...
  4. binti kiziwi

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Mwanamke yeyote aliyepewa mimba katika umri mdogo bila kuolewa/kuwa na supportive partner, yuko katika hati hati ya kutengeneza “mtoto wa mtaani” Unakuta binti amezaa akiwa underage, hana elimu, familia haina kipato, familia iko broken kiasi kwamba hata “mama huyu” akifariki hakuna wakumlelea...
  5. binti kiziwi

    Hizi Hapa Nchi 15 Zenye Wanawake na Wadada warembo Zaidi Africa

    1.South Africa (Kuna sampuli za wazuri aina nyingi) Weusi-mamodo, Weupe-Wenye mashape ya hatari, wa maji ya kunde, Wanene, wastani na wembamba. 2.Tanzania (Kuna sampuli ya wazuri aina zote, Weusi, chokolate, weupe, wanene, wembamba, wastani, wenye mafiga ya kuvunja chaga, warefu, wafupi...
  6. binti kiziwi

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    We usitake kunichekesha! 😂 au wafupi walikuwa wanaonekana underage? 😅 (wafupi wenzangu mnisamehe) Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?
  7. binti kiziwi

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Yah akasahihisha Bambalaga napo watu bado wanalalama…. Wananji wa njii hii ni walalamishi sana! 😀
  8. binti kiziwi

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Kwanza ataruhusiwa kuingia 1245? 😅
  9. binti kiziwi

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Pestana dodoma ili fail na kufa kifo cha mende sababu ya wanachuo kujazana, Under 30 wanapata wapi pesa za kuspend? Au unadhani night club wanatoa msaada wa kuwapigia music mcheze na kubambiana bure!
  10. binti kiziwi

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Mnapima uwezo wa kiutendaji wa wanataaluma based on malumbano yaliyotokea kati ya Makonda na Engineer? First thing first, mbele ya kamera huwezi kuwin argument na mwanasiasa, maana yeye mwanasiasa ili aonekane amefanya kazi lazima akuyumbishe na akubabaishe kwenye maswali na majibu. Pili...
  11. binti kiziwi

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Suala la Sauvage Tz serikali inabidi iingilie kati 😂
  12. binti kiziwi

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Bado unabaka, na bado unanitoa nishai… kwenye miaka 30 tutajitahidi tukuongezee iwe 33 🤣
  13. binti kiziwi

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Sio “kama” , ni ubakaji… consent age hapa kwetu ni 18 years… hivyo ili muwe salama inabidi mpeleke madokezo bungeni kuomba age consent iwe 14 au 12 kabisa, kusudi muwe huru kufanya nao mtakayo bila kuwa na wasiwasi wa kupelekwa korokoroni mkibainika…. Wakati huo huo, binti yako wa 12/14...
Back
Top Bottom