Search results

  1. DAKA MTUMBA

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Na anayempinga Rais kwa kauli hii ni Zombi!!!
  2. DAKA MTUMBA

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    Mkuu huo sii mkojo bali ni utamu ujue....
  3. DAKA MTUMBA

    Wananchi wengi sana wanaojitokeza katika ziara za Rais Dr Magufuli na kumshangilia zinatoa picha gani kiutawala

    Wengi wao hawana "twitter" so maandamano ya "lijimalaya" la kike kutoka USA hawayapati taarifa zake!!
  4. DAKA MTUMBA

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Naona umeanzisha uzi mpya wa maharage baada ya ule wa kwanza (jana)kudoda, sasa jitahidiuwe na majibu mazuri maana ule uzi wa kwanza "umeunyea" sana but hongera kwa kazi nzuri ila usitangaze biashara kwa debe,tangaza kwa package ya 100kgs au kwa kg mkuu!;
  5. DAKA MTUMBA

    Mzee Mpendakazi number zetu unazitoa wapi?

    Magufuri shikilia hapo hapo mpaka siku ambayo akili zitarudi kichwani,maana naona kwasasa zipo Matakon.i bado!!!
  6. DAKA MTUMBA

    Toa neno kwenye hii picha!

    Ngoja kwanza,hapo ni kwa mkuu wa mkoa eti ehee?!
  7. DAKA MTUMBA

    Zari anunua ndinga mpya

    Ahaaaa!!!eti "Chiu" wake sio mtamu,wabongo bhana!!!
  8. DAKA MTUMBA

    Naomba ushauri: Nimeambiwa kuna biashara nzuri ya Maharage na Dagaa Nyasa kutoka Tanzania huko Afrika ya Kusini

    Maharage?labda hao dagaa wa Nyasa,yani Zambia,Botswana Zimbabwe wanalima sana maharage mkuu so sii rahisi kuyaagiza TZ otherwise kuna embargo kwenye nchi hizo ya kuexport beans..but try to get more information's before u go to the next step!!
  9. DAKA MTUMBA

    Zari anunua ndinga mpya

    Hasa kile kipande anachojifanya kalewa kisha karigonga gari la maaskari ili apate nafasi ya kwenda kumfanyizia mtu wake selo,dahhh!!!
  10. DAKA MTUMBA

    Serikali na watanzania mnaoishi Finland msaidieni huyu jamaa ni wakusaidiwa

    Nimrodi Mkono na Mbirinyi babake Sugu waliibaga pesa BOT kisha wakachoma moto bank wakakimbilia Marekani miaka hiyo ya uhuru,jee wakitumia passport gani kwenda marekani?na Nyerere pia alifika Marekani miaka ya 1960 jee alitumia passport gani?ba jee,passport ya kuebdea Marekani na hiyo yako...
  11. DAKA MTUMBA

    Maajabu Zanzibar: Aliyezikwa aonekana mtaani baada ya siku mbili, polisi wafukua kaburi

    Jeneza la nini sasa?kwani aliyekufa ni na kuzikwa alikuwa "kafiri"?
  12. DAKA MTUMBA

    Zari anunua ndinga mpya

    Duhh!!hili dude haliishagi utamu aise(Colombina)
  13. DAKA MTUMBA

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Mbona jamaa kakupa ushauri mzuri tu mkuu?maana huo mzigo ni mdogo kiukweli so kama ni bora ukawacheki akina mangi wa mtaani kwako kwanza ata kwa mali kauli!!!
  14. DAKA MTUMBA

    Nauza maharage kilo Tshs. 2300

    Kwahiyo unataka kutuuzia yaliyobaki(Makombo)eti..?
  15. DAKA MTUMBA

    Imeniuma sana baada ya kukuta hii meseji kwenye simu ya mpenzi wangu

    Hapo kwenye "mk........ Mtamu balaa" alimaanisha nini huyo mr Kibomu?
  16. DAKA MTUMBA

    Zari anunua ndinga mpya

    Nini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?
Back
Top Bottom