Search results

  1. M

    Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

    Matokeo ya Uraisi ni kama ifuatavyo... Lowasa kura mil 6 kwa muunganiko wa vyama 4 kwa wastani kila chama kura mil 1.5 amepata. Wakati Dr Slaa alipata kura mil 2 bila muunganiko
  2. M

    Ujumbe wa Jaffarai kwa Mh.J.Mbilinyi a.k.a Sugu

    Those are nothing to me. Mr 2 kama kazuia tamasha atakuwa hana maana. Bifu lake na clouds is nothing to do with us... fiesta tutakwenda na hawezi. Tuache ushabiki wa vyama humu
  3. M

    Kwa hali hii Kikwete sio rais wa Iringa

    Tatizo la SINA RAHA hana wanachama kule kisiwani na mikoa mingi ya pwani kwa kuendeleza ukatoliki wake. Halafu hao wote waliokusanyika ukiuliza vitambulisho vya kupiga kura utakuta robo tu ndiyo wenye navyo. Si ajabu hata sisi tunaopiga kelele kwenye jf wengi hamna vitambulisho vya kupiga kura
  4. M

    Msaada wa kisheria baada ya Makubaliano ya Matunzo ya mtoto

    Naomba msaada kwa wanasheria. Nimezaa na binti ambaye hatukuweza kuoana kutoelewana kuhusu dini zetu. Aliwahi kunishauri tufunge ndoa ya serikali lakini kutokana na imani yangu hii ndoa haikubaliki. Niliendelea kutoa matunzo kwa huyo mwanamke tangu alipokuwa mjamzito hadi amejifungua. Baadae...
  5. M

    Mara ya mwisho uliona lini ......!!!?

    Labda kwa huku kwenu bara lakini sisi Zanzibar hajashinda na wala hayumo kwenye list ya hata wanaokaribia karibia. Hatuwezi kuongozwa na Silaha sisi. Halafu sijui hizo fikra mnazitoa wapi kwamba silaha alishinda?
  6. M

    Mara ya mwisho uliona lini ......!!!?

    Picha itakuwa imechakachuliwa
  7. M

    Suzuki Escudo Nomade

    Imetembea km 59235
  8. M

    Suzuki Escudo Nomade

    Yes nipo serious kabisa
  9. M

    Suzuki Escudo Nomade

    Milango mitano kaka. Picha nakuwekea kesho usijali
  10. M

    Suzuki Escudo Nomade

    Nauza Suzuki Escudo Nomade, Air Condition, Redio ya CD, Ya mwaka 1991, Imeingia nchini mwaka 2007 na ilikuwa ikitumika na Waziri mwenye dhamana huko zenj. Bei maelewano but not less than 7m. Mawasiliano0788712900
  11. M

    TOA MAONI YAKO (PICHa)

    Nafikiri uwezo wako wa kufikiria umefika mwisho, ni vyema kutoa maoni yako yenye mtizamo hasi na si kukashifu. Uuungwana ni jambo la kheri kuliko kuropoka. Hapa ni mahali pa kujadiliana na si kutoa kashfa
  12. M

    Ahadi ya mzee kikwete hiyo

    Mimi nasema kuendelea kumlaumu JK si ufumbuzi wa matatizo? Maraisi wangapi wamepita na hali ni ile ile? Issue nyingi za ufisadi zilikuwa wakati wa Mkapa lakini watu wamenlinyamaza kimya. Maisha bora hayaji tu kwa kukaa kijiweni na kucheza bao, mnataka JK atawekee pesa mifukoni? Hebu fikiria...
Back
Top Bottom