Search results

  1. U

    Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

    Jamii forums ni changamoto ya nani Watanzania wanaotaka mabadiliko ya kijamii au Jamii forums iko kwa ajili ya kupinga chama cha tawala CCM ? Naomba ufafanuzi wa wadau katika ukumbi huu , Kwa mtizamo wa haraka sana naona Jamii forums hajaweza kutoa Elimu ya kutosha kwa Watanzania ila ajenda...
  2. U

    Obama becomes first US President to support gay marriage

    kuna tofauti gani baina hawa wawili katika siasa za Marekani kama utaona kwa mtizamo wa haraka wako sawa sawa tuu jambo la msingi majina ya vyama sera na muundo wa serikali hauna tofauti sawa na kula nyama mbuzi na kusema ngombe mbaya masuala kama haya gay marriage ni sera ya mgombea mmoja...
  3. U

    Kuporomoka kwa thamani ya shilingi

    Uchumi wetu unategemea kilimo na madini katika kuimarika kwake hakika imefika kutizama njia nyengine za kuweza kukuza uchumi wetu katika kuimarisha dhamani ya shilingi kwa hiyo wakati umefika kutizama assembling plant kama nchi nyengine zilivyoweza kufanya kama Mexico na Malaysia Nchi yetu...
Back
Top Bottom