Gajungi;Mkuu hapo una wazo zuri,lakini angalia mawazo yangu.
In the course of your psychological development your background plays a great role(What do you mean?)
The most important stages that might affect your career perfomance are childhood & adolescence .The environment shapes u in...
To some employers, alumni can be something they will have an interest in. It may look as a stereotype(?) or something of that kind, people tend to expect something different from people who have gone thru a certain school/college with reputation of being good, so to speak.
From your...
I have seen so many posts where few members tried to convice the readers that their
schools/Universities are better than of the others. On this post i would like to ask you guys...
What role does the school you attended has played in your career performance? This can be in
terms of salary...
muhanga; let me tel u one thing, kwa sisi tuliokomaa akili nakuishi kwenye ndoa zetu muda mrefu, hata ukimfumania mke/mume wala hamuachani, ila mnawekana chini kuulizana tatizo ni nini hata mmoja katoka nje ya ndoa! ukiangalia mengi mliyofanya pamoja, furaha, magumu mliyopitia, pengine mna...
sawabho; Sasa wewe umejuisha wanaume wote, ilihali wa kawako tu ndio anakufanyia hayo. Umesahua kuwa binadamu wanatofautiana kutoka mmoja kwenda mwingine. Wengine akili ya kuambiawa anachanganya na yake kuacha ushauri mbaya pale pale. Sio mianaume yote, mingine ina malezi mazuri, inajali...
Masikini_Jeuri; yaelekea limekugusa sana hili mkuu ndio eneo la mawindo yako nini..................
Wote mnaomsakama huyu mnatambua kuwa pamoja ni kuwa mfanayakazi lakini akishakuwa ndani ya nyumba anahesabiwa kama mtoto wa familia? hebu chukulia ni binti yako....................ungechukua...
Kwakweli labda sijamuelewa, kuwa kuna mtu anaweza ku-cheat asikose sababu? Kila mtu anaona sababu yake ni ya muhimu ku-justify alichokifanya.
Na kuwa ukishaanza huwezi kujutia ukaacha? Pia, ni vema kufanya kile moyo wako unakipenda regardless ni kibaya-''kujipa raha siyo'' na sikamatwi (uzembe)...
muhanga; 'no what? changamoto mojawapo kubwa kwenye ndoa ni mawasiliano, wanandoa wengi hawana guts za kuambiana ukweli au kuwekana chini kujadili mambo yanayowahusu, matokeo yake mmoja akizidiwa nguvu anaanza tu kujifeel inferior, helpless as a result and create a kind of depresion! hali hiyo...
By Mpatanishi
Pole sana, punguza mawazo. Na pia usichukue uamuz wa haraka. Tulia kwa muda muweke huyo mchumba mtegoni, mtege na umpime kama anaweza kubadilika. Ukiona anaweza endelea nae.
Hata hvyo naweza kusema na ww pia una tatizo, why uchumba tu miaka minne? Umesema una kazi nzuri na yeye...
Mikole007;Pigana kijana jenga chama chetu sisi tupo nyuma yenu. Mwaka huu tumewakamata pabaya wataisoma namba.
Kwenye RED hapo ni wewe na nani?
Kazi kwelikweli!
MwanajamiiOne; Aksante Da Asia, hapo kwenye,
Red: Its a WORD. Ninakubaliana na wewe asilimia mia kwa mia. A happy marriage ni wewe na mwenzio mnavyoamua iwe. UKWELI ULIO UCHI.
Blue: NAkushukuru kwa kuliweka hili wazi. Samahani sina nia ya kukusema kwa sababu tayariu umeshajidefend hapo juu...
Da Asia; Happy marriage ni nyie wenyewe wahusika wawili, ndoa yenu kua na furaha mnataka iwe vipi. kuna wengine kupeana simu ndio ndoa ya furaha, kuoneana wivu kusiko na kipimo ndio furaha ya ndoa, kesi zisizoisha lakini hamuachani ndio raha, mambo ni mengi, kwangu mimi happy marriage ni...
Mihayo; Wakuu nadhani tatizo lililopo ni sisi wajenzi kwa kuwa tuko busy basi huwa tunawaamini mafundi wakatunulie vifaa. Nakwambia mafundi wengi lazima atakuchakachua na hata ukiongozana nae atakuwa amekwisha kwenda kuongea na wenye maduka ili wale chao cha juu. Na mbaya zaidi wakati mwingine...
rmashauri; Asante mkuu kwa kontakti ina nina swali, products zenu mna import kutoka nchi gani?
Mkuu naona una wasiwasi na vitu toka China, siyo? Mpaka kiandikwe made in England/UK, Germany, Italy, nk ndo angalau uwe na imani na ubora wake. Kuna vitu vingi sana vinatengenezwa China bado vipo...
MWAGONA; Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me...
Rejao; AshaDii kaongea vizuri sana.
Nakubaliana na suala la elimu limechangia sana.
Ukitaka kupikiwa vizuri, tafuta mwanamke ambaye hajasoma, ambaye hafanyi kazi! Utaenjoy!
But maisha ya siku hiz ya baba na mama wote wanahangaika..wanatoka usiku wanarudi usiku..huo muda wa huyo mwanamke...
Senetor Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma...
Mkuu hayo ya Wabrazil kuja kutusaidia kwenye masuala ya umeme nyingi ni polojo tu, ukiritimba uliyojaa katika nchi yetu na rushwa umevisahau?. Alafu masuala ya kusema Per capita Income ya mtanzania imepanda kulinganisha na ile ya miaka ya 80s ni irrelevant katika maisha ya Mtanzania. Huoni $380...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.