Search results

  1. zhang laoshi

    Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

    Habari Team Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi. Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa na vitu vya sukari. Niliacha kuwapa lakini bado watoto wanajikuna na kuacha makovu Naombeni...
  2. zhang laoshi

    Ugonjwa gani huu? Msaada

    Habari Team Hii ni wiki sasa, palianza kama uvimbe mdogo (kigololi) then pakawa panawasha sn. Nilipataje? Siku moja nilitoka shamba baada ya kumalizia shughuli za shamba gafla nikaanza kusikia huo muwasho mkononi na huo uvimbe kidogo, sasa sijui ni mdudu alinitambaa, panawasha sana Msaada...
  3. zhang laoshi

    Msaada wa dawa ya Tetekuwanga

    Habari wadau Mwanangu kapata na huu ugonjwa anajikuna sn, vimetapakaa mwili mzima kasoro usoni, anayejua dawa ya huu ugonjwa anisaidie. Asante
  4. zhang laoshi

    Nissan Patrol Y60

    This is my dream car, mbali na ulaji wa mafuta changamoto yake nyingine ni zipi Kwa waliotumia.
  5. zhang laoshi

    Kwanini Pua zimeng'olewa?

    Habari Kuna Siri gani kubwa imefichwa katika Kila Egyptian statues kutolewa Kwa pua? Ni Nani alizitoa?! Na Kwa sababu ipi? Pia kipi kinafichwa?. Ikumbukwe kuwa hizi statues zina historia kubwa duniani.
  6. zhang laoshi

    Msaada wa dawa ya kubanduka kwa ngozi za kiganja

    Habari wadau, Natumaini mpo poa nimekutana na mtu anahitaji Msaada wa dawa au ushauri juu ya kubanduka kwa ngozi za mikono(viganja), hii ni wiki sasa je anaweza tumia nini hasa kimsaidie. Asante
  7. zhang laoshi

    Nissan patrol y60 vs land cruiser series 80, ipi nzuri ya kumchukua?

    Ipi nzuri ya kuchukua ukizingatia 1: matumiz ya mafuta ( diesel) 2: comfortable safarini 3: uvumilivu
  8. zhang laoshi

    Nissan patrol y60 vs land cruiser series 80, ipi nzuri ya kumchukua?

    Habari Nazikubali sana hizi gari, nahitaji moja kati ya hizi ipi ni nzuri katika 1: matumiz ya mafuta (diesel) 2: comfortable safarini 3: uvumilivu
  9. zhang laoshi

    Je, ni kweli maji ya AC yanafaa zaidi kuwekwa kwenye rejeta?

    Habari wadau, Nimelipata sehemu hili kuwa maji yanayotoka kwenye AC za maofisin na majumbani ni bora zaidi na yanasaidia kupoza vizuri injini ya gari vizuri zaidi. Wajuzi mnijuze. Asante.
  10. zhang laoshi

    Je, ni kweli Moshi na Arusha ndo inaongoza kwa kuwa na mafundi rangi wazuri wa magari?

    Habari wadau, Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi. Je, ni kweli wanapatikana huko tu?
  11. zhang laoshi

    Je, ni kweli suzuki escudo old model zina tatizo la AC?

    Habari wadau Naipenda sn hii gari ni roho ya paka na ukiitunza bila kujali kupitwa kwake na wakati utakaa nayo sn na pesa za kutaka gari nyingine ukafanyia mambo mengine, Sasa naambiwa ina matatizo6ya AC yan haifanyi kazi vizuri ndo mana wengi wenye gari hizi hapa Town huwa wanafungua vioo all...
  12. zhang laoshi

    Kutafuta Pesa na kutunza Pesa ni mzani unaotushinda wengi kuubalance

    Habari Wadau, Pesa inahitaji kutunzwa. Pesa inahitaji kufanya kazi iliyokusudiwa. Pesa inahitaji iheshimiwe kwan ikitoka imetoka. Huu ni mzani unaotutesa wengi kuubalance, tunatafuta pesa kwa jasho na damu tukiwa na malengo husika ila story Huwa tofauti ikishaiingia mkononi, mengi huja hasa...
  13. zhang laoshi

    Mabasi ya kampuni ya Saul yazuiliwa Kibaha Mile Moja

    Habari wadau, Bus Za Saul zinazofanya safari yake Dar to Mbeya, zimezuiliwa zisitoke kituo cha mile moja kibaha na Sumatra wakidai kuwa BUS Za Saul zimewah kupita wakadai timetable walipopewa wakasema imekosewa watu walipohoji mbona Alsaedy halikamati na limefatana na Saul?, wakabadilisha topic...
  14. zhang laoshi

    Viuvimbe vidogo vidogo maeneo ya mwili

    Habari wadau Kuna hali inanitokea na kunitia wasiwasi, kilianza kiuvimbe kidogo maeneo ya katikati ya kiuno na mbavu eneo la ubavuni, ukikishika ni kama gololi ipo ndani, hakiumi ila ukikiminya kinauma, but last week kimetokea kingine upande wa kushoto kinachofanana na hiko. Je hii ni dalili...
  15. zhang laoshi

    Nataka kujua Nguvu za mila hasa kwa wachaga

    habari wakuu kama title inavyosema nataka nijuzwe zaidi ya nguvu ya mila hasa kwa wachaga, mfano huwa wanasema ukifanyiwa wakati ukiwa mdogo au ukiwa unashiriki na baadae kuacha huwa unapata wakati mgumu sn kimaisha na hutoweza kutoboa au ukitaka ivunjwe ni lazima ukoo mzima uridhie na kazi yake...
  16. zhang laoshi

    kwann wanaopanda mlima kilimanjaro hawaruhusiwi kufika kilelen wakati wa mchana (jua likiwa linawaka)

    habari wadau kama kawaida kutokana na ugumu wa ajira huwa tunajichanganya kitaa kutoa stree na kichungulia fursa zaidi, kuna mshikaj mmoja aliwahi kuwa anabeba mizigo ya watalii wanaopanda mlima kilimanjaro ktk moja ya camp >so jamaa akatuambia kufika kileleni mara nyingi hata kama wakiwahi huwa...
  17. zhang laoshi

    Mliopanda vyeo (maboss), acheni tabia hii

    habari wadau, unakuta mtu ofisini alikuwa poa sn ukituma sms anajibu japo ana majukumu mengi, tatizo huanza pale anapopanda cheo na kuitwa Boss, sms hajibu na yupo online anasoma ila hana time ya kujibu sms yako, simu ndo usipige hapokei, labda huwa anajua unachotaka so hawapendi usumbufu, mbaya...
  18. zhang laoshi

    Mbona watu hawatamani pambano kati ya Mwakinyo na Dulla Mbabe?

    habari wandugu, nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea, mapromota tupieni jicho kwenye hili..naamini litakuwa pambano zuri sn Sent using Jamii Forums mobile app
  19. zhang laoshi

    Je, wengi hawapendezwi na gari aina ya Toyota Vista?

    habari wadau me cjawahi kumiliki gari ila nafatilia sn magari, kuna hii aina ya Toyota vista, zipo chache sana barabarani ni gari nzuri yenye space, cc 1990, custom ndani, muonekano mzuri., ila kwann wengi wanazikwepa?, au upatikanaji wa spare ni mgumu... Sent using Jamii Forums mobile app
  20. zhang laoshi

    Wapi zinauzwa aina hizi za pikipiki? Nahitaji

    habari wadau ninahitaji pikpik aina hii ya Honda, ikiwa kuna mahali umeziona zinauzwa, tafadhali naomba nijuze. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom