Hahahhhahhs. Hapa ndio huwa tunaibuka kidedea kua Mungu ni mmoja...namuuliza unataka ushahid gan ili uamini... ET WEKA WOWOTE HII INAONYESHA UKUU WA MUNGU YAAN AKILI ZAKO HAZIWEZI KUCHUNGUZA UWEZO WA MUUMBAJI..HII NDIO MAANA HALIS YA MUUMBA....SIKU NJEMA
Kwanza hujaelewa maana ya freewill....
Pili swala la kusema jua ni kubwa kuliko dunia hayo ni maelezo ya wanasayansi ambayo huwez mwelesha mtoto mdogo akakuelewa. ..but intuitively binadamu yeyote anaelewa ivo ..
Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa kila mwanadamu ... Ndio maana kuna myriad of...
MUNGU KAMPA MWANADAMU FREE WILL... YAAN ANAWEZA KUCHAGUA ATAKAVYO...
KUACHA WALEVI NI KWAMBA ANAUPENDO NAO NDIO MANA HAJAWAFANYA CHOCHOTE ILA ANATAKA WAMGEUKIE YEYE..
..IVI USHAWAI KUJIULIZA KWANN WATOTP WADOGO WOTE WANAFAHAM MUNGU YUPO..YAAAN WOTE UNDER 18 WANAPJITAMBUA WANAFAHAM MUNGU YUPO...
HAHAHH KWANZA UKIWAAMBIA UMMA LIVE SWALA HILO ..LAZMA WATILIE SHAKA IQ YAKO KAMA MIMI NILIVO NA SHAKA NA IQ ZENU..
AFTER ALL MUNGU ANAJIDHIRISHA KILA SIKU SIO KWENYE BIBLIA TU..HATA MTU ASIE WAI SIKIA HABARI ZA DINI..MOYON MWAKE ANAFAHAM KUNA KMUNGU..SIO NYIE WALEVI MNAFAHAM FIKA YUPO ILA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.