Search results

  1. Da Womanizer

    Umri na mwili ni sawa?

    Chini maana yake ni baada ya huo mwaka? 97 kwa sababu naangalia kama unakidhi vigezo nianze mchakato hapa hapa kabla hatujahamia kisandukuni huko.
  2. Da Womanizer

    Umri na mwili ni sawa?

    Umezaliwa mwaka 97?
  3. Da Womanizer

    Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

    We kumbe mnoko sana rafiki! Unatusigina namna hii na masiksi paki yetu Dah....
  4. Da Womanizer

    Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

    Leo humu wanawake wote watakuwa hawapendi masiksi laki 😁😁😁😁
  5. Da Womanizer

    Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

    Kama una demu unayemuamini ujue umeshakwama
  6. Da Womanizer

    Umri na mwili ni sawa?

    Aisee ni mingi sana, kuna mmoja hapo juu kasema mzee wake ni wa 70s! Mtu wa 70s eti mzee! Yaani leo nimejiona mimi wa zamani sana...
  7. Da Womanizer

    Nilikuja kuelewa swali aliloniuliza baada ya kujua mtoto aliyezaa sio wangu!

    Kwamba hakuwa na habari wakati anatomb** huko kwa wanaume tofauti tofauti? Ila mwanamke kama sio mke wako akitomb** huko hauna haja ya kulialia. Kawaida tu.
  8. Da Womanizer

    Wewe unayeoa kwa kuangalia kazi, tabia na dini unadhani kuna tofauti?

    Irene hebu fanya uje pembeni tutete kidogo. Mtoto huwezi haipendezi unaingia hapa bila kusalimiana na wakongwe kama mimi.
  9. Da Womanizer

    Chimbuko la usomaji huu wa saa ni nini?

    Wewe ndiyo fala aisee.
  10. Da Womanizer

    Ndoa ipo mashakani

    Wewe jamaa bana. Haya mambo unaweza kuacha. Hata wewe kuna muda utafika utaachwa tu
  11. Da Womanizer

    Ndoa ipo mashakani

    Hauko serious wewe
  12. Da Womanizer

    Ndoa ipo mashakani

    Wewe unaona kauli ni suala dogo. Mafundisho yote yanamuasa mwanadamu kuchunga 👅 ila sasa kinamama wakishaolewa breki tupa kuleee
  13. Da Womanizer

    Msaada kama maweza kupata kadi mpya ya NHIF baada ya kupoteza ya awali

    Nadhani kuna wengi tu wanaamini ile kadi ndiyo bima yenyewe!
  14. Da Womanizer

    Facebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake

    Play store nayo ni apps tu kama nyingine, ukiamua unaiweka tu.
  15. Da Womanizer

    Bisha uwezavyo ila huu ndo ukweli...

    Kwa sababu wapuuzi nao lazima wawepo.
  16. Da Womanizer

    Nimekuwa Addicted na wanawake wakubwa/waliozaa

    Wewe sema hiyo ni fetish yako tu usidhani kila mtu anapagawa na hiyo kitu. Wengine tumeshakutana na kuona kawaida tu.
  17. Da Womanizer

    I am addicted to sex

    Miaka inaenda unaona kawaida tu
  18. Da Womanizer

    I am addicted to sex

    Yuko sawa lakini
  19. Da Womanizer

    I am addicted to sex

    Kuna watu hawajawahi kukutana na sex maniacs. Unakuta mwanamke anapenda mashine kama chakula. Kama wewe hauko hivyo utapiga utaridhisha, utachoka lakini yeye saa 1 mbele anataka tena usiombe.
  20. Da Womanizer

    Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

    Ni sawa na ile watu huwa wanasema wanawake wako hivi halafu mtu anauliza hata mama yako na dadake utadhani mtu kuwa mama/dada kunabadilisha uanamke wake. Watu wanasahau kwamba hata machangu wana watoto.
Back
Top Bottom