Search results

  1. Nas Mapesa

    Nawakumbusha Simba

    Si mbaya mkapitia hii record angalau mjue kinachoenda kutokea Jumapili, kujiandaa ni bora zaid kuliko kushtukizwa.
  2. Nas Mapesa

    Azam na Singida watangulia nusu fainal ASFC

    Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi. Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe mapema tuna jambo la msingi sana na nyie
  3. Nas Mapesa

    Droo Azam sports federation cup

    Robo final&sem final Nawaombea kila la kheri dunduka wavuke tukutane
  4. Nas Mapesa

    Kumtuma mchezaji akaroge ni aibu

    Mpira unakosewa heshima sana siku hizi, hii aibu kwa nchi yetu haiwezi kuvumilika tena, mamlaka zinapaswa kutoa onyo zaidi ya hili la kumfungia mtu mechi 3. Kwanini wasimtumie hata Babra kwenda kuwanga mchana ule jamani, hivi kweli mchezaji anashiriki hii tena jua kali? Walivyofanya ulozi kule...
  5. Nas Mapesa

    Kwanini mnapata woga?

    Habari zenu watu wa mpira? Hii mechi ya Oct. 23 mbona kuna katimu kanatetemeka sana, shida nini? Woga huu unaletwa na nini? Hii wiki kumeanzishwa nyuzi nyingi (karibu 50) za utabiri na ulozi, yaani eti watu wanaoteshwa kabisa kuwa wanashinda hadi goli 5 kwenye hii mechi. Labda tuulizane tu...
  6. Nas Mapesa

    Nyumba kuendelea kuungua, ni aibu kwa Jeshi la Uokoaji Korogwe

    Naandika kwa masikitiko sana. Watu wakiwa wanajiuliza kulikoni fire wameshindwa kudhibiti moto uliunguza nyumba nzima na kuua mtoto wa miaka 5. Kabla hatujapoa leo nyumba nyingine imeteketea yote bila msaada kutoka kwa hawa tunaowaita uokoaji,hii ni mara ya pili kutokea ndani ya miezi kadhaa...
  7. Nas Mapesa

    Msaidieni mawazo huyu mwanamke.

    Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja... Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa akajikuta anapata mimba akiwa bado na kichanga katika kushauriana na mwenzake ikabidi wakubaliane kua...
  8. Nas Mapesa

    Hii mikopo imekaaje?

    Salaam,wana jukwaa kuna jambo linaendelea huku mkoa wa Tanga,ningependa kushare nanyi pengine kuna wanaofahamu kuhusu jambo hili, iko hivi kuna watu wanashirikiana na Nmb kuzunguka mkoa mzima wakijinadi kua ni watoaji mikopo,mikopo hiyo yenye sharti la kua na kitambulisho cha kura tu,kumezuka...
  9. Nas Mapesa

    Mwigulu Nchemba nakuamini sana, take action

    Wewe ni miongoni mwa vijana nnaowaanini sana, kama hujui mi ni miongoni mwa watu waliokuchora na kukubandika maeneo mbalimbali ya nchi wakati wa kampeni. Nilitokea kukukubali sana kwa misimamo na uwezo wako wa kujenga hoja. Nakumbuka kati ya watu waliopigania maslahi ya wafanyakazi we ni mmoja...
  10. Nas Mapesa

    Waziri wa TAMISEMI shughulikia masuala ya uhamisho kwa watumishi wa umma

    Salaam zikufikie popote ulipo. Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya yafanyike haraka na kwa ufanisi. Cha kusikitisha mpka leo hii kuna baadhi ya walimu hawakupewa hata...
  11. Nas Mapesa

    Tetesi: Kuna hatari ya kudhurumiwa fedha za uhamisho Tanga

    Habari wana jamvi!iko hivi takribani wiki mbili zimepita toka wakurugenzi wa halmashauri za tanga kufanya kazi ya kuhamisha watumishi wa kada ya ualimu kutoka mijini kupelekwa vijijini,ishu ya ikama,sasa kuna baadhi ya wakurugenzi ambao ndio wamepewa jukumu hili wanaanza kucheza michezo ya...
  12. Nas Mapesa

    Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

    Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo...
  13. Nas Mapesa

    Hatimaye tunafunga mwaka bila ya nyongeza ya mshahara

    Wakubwa mko poa? Leo jamaa kaingiza fedha ila cha kusikitisha hakuna badiliko lolote kwenye salary, inauma sana, sikuamini kama mwaka utakatika bila ya kupewa haki yetu ya kikatiba. Ila poa wacha tuisome ili akili zitukae sawasawa kwa 2020, happy 2017.
  14. Nas Mapesa

    Hivi kwanini kanisa limeruhusu ndoa za jinsia moja?

    naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii, Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa...
  15. Nas Mapesa

    Dua za wanyonge zina nguvu sana.

    Wacha nikuambie kitu ewe mwenye jumba jeupe,hivi unajua kuna kundi kubwa la wanyonge wanaomba usiku na mchana?unajua wanachoomba?ok sasa usijifanye kushangaa kuona nchi inaenda kama imebwia konyagi ujue dua zao zishaanza kufanyiwa kazi,haya yote yanayotokea sasa ujue watu wameamua kumuachia...
  16. Nas Mapesa

    Kwanini Haji Manara akihojiwa anatokwa povu sana?

    Naomba kujuzwa nisijepata dhambi kwa kumfikiria mtu vibaya ni bora kuuliza,huyu bwana ni msemaji wa timu ya simba nimekua nikifuatilia sana mahojiano yake na vyombo vya habari katika vipindi vya michezo,si kwenye tv wala redio huyu jamaa akihojiwa anatokwa povu la haja,yaani hata mtangazaji...
  17. Nas Mapesa

    Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

    Wakuu habari za mida hii,kama mtiakumbuka kuna wakati nilileta lalamiko kuhusu huyu wife kuninyima papuchi wakati mimba ikiwa changa,sasa bora hilo,sa ivi ananisimbua sana,kwanza hataki kukaa na mimi karibu,na kwa vile muda wa kujifungua umekaribia aliniambia anataka akajifungulie kwao...
  18. Nas Mapesa

    Naomba mdahalo wa wazi wa CWT

    Wakuu msichoke kuwajibika katika kujadili masuala sensitive kwa taifa letu,mimi kama mwananchi wa kawaida naomba tupatiwe nafasi ya kujadiliana juu ya hiki chama ambacho wengi wameingizwa bila ridha zao lakini pia wengine wamejiunga bila kujua terms na manufaa ya CWT, Jambo lingine ni kujadili...
  19. Nas Mapesa

    Afisa Utumishi mkoa wa Tanga ni jipu

    Rais Magufuli kwanza nikupe pole, pia nikupe pongezi kwa hatua uliyoamua ya kuwathamini wafanyabiashara kwa kumtembelea Bakhresa,ni hatua nzuri mzee. Hao wenye mijihela wakipumua na sisi wanyonge ndio tunapata nafuu. Ngoja nikueleze jambo kidogo, kuna mfanyakazi wako huku Tanga ni jipu kubwa...
  20. Nas Mapesa

    Tahadhari kwa wakazi wa bunju na msimbazi

    Mamlaka ya michezo Tanzania inapenda kuwatahadharisha wakazi wa maeneo ya bunju na msimbazi wajiandae kukabiliana na maafa yanayotarajiwa kutokea hapo kesho yatakayosababishwa na kimbunga cha YANGA,tukiwa kama serikali tunaomba wananchi wote kwa jumla kuandaa rambirambi na misaada kadhaa ili...
Back
Top Bottom