Search results

  1. Uncle Araali

    Mafua ya asubuhi

    Wakuu, Nimekuwa na changamoto ya kupiga chafya na kuwa na mafua makali kila asubuhi. Nimetumia dawa zote za mafua lakini hazitibu bali zinapoza tu tatizo. Naomba kujuzwa chanzo cha mzio huo na namna ninavyoweza kupona tatizo hilo. Natanguliza shukrani.
  2. Uncle Araali

    Hello everybody

    Hi JF members.Proud to be with you till this very time.
  3. Uncle Araali

    Nukuu adhimu ya mwanafasihi

    WASEMAVYO WANAFASIHI: "...Kusema haya na haya, duniani kuna vilima na mabonde; kuna kupanda na kushuka; kuna mashaka na raha. Yote hayo hayaendelei, likawa moja tu hilohilo kila siku. Unapanda kilima kwa mashaka,taabu,kuchoka na jasho kukutoka. Lakini kilima kina mwisho wake; haiwi kuwa...
  4. Uncle Araali

    Tuanze na mwamko wa kisiasa kabla ya kudai Katiba Mpya

    Kwa muda mrefu,pamekuwa na jitihada na mashinikizo kutoka kwa vyama vya siasa,asasi za kiraia na wananchi wenye mapenzi mema na taifa lao la Tanzania.Harakati zote hii zimechochewa na jinsi katiba iliyopo ilivyo na walakini na dosari anuwai,ambazo wengi wanaona ni bora tuwe na katiba inayoendana...
  5. Uncle Araali

    Kitendo cha Waziri Gwajima kuagiza Mchungaji Gwajima akamatwe kinadhihirisha kuwa Serikali hii haiwezi kushindana kwa hoja

    Nilidhani serikali hii itakuwa smart kwenye kushughulika na Gwajima (Mchungaji) lakini kitendo cha waziri wa afya kuagiza mchungaji huyo akamatwe badala ya kujibu hoja zake kinaendelea kuthibitisha kuwa tuko kwenye mwendelezo wa utawala usiokubali mawazo na hoja mbadala.Serikali ilipaswa itambue...
  6. Uncle Araali

    Rais Samia kuwa makini na watu aina ya Anthony Diallo

    Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Anthony Diallo kuamua kukisema vibaya chama na viongozi wake ni kitendo kibaya kwa maadili na ustawi wa chama. Watu wa aina hii wanafanya hivi wakidhani wewe utalinda maslahi yao na kuwa upande wao. Ukweli ni kuwa watu hawa katika utawala...
  7. Uncle Araali

    Usikate tamaa, Usichoke kupambania mafanikio hata kama unakutana na hali ya kukatisha tamaa

    Nyuma ya mafanikio ya watu unaowafahamu, kuna maumivu, msoto na kudharauliwa kwa kila namna. Usichoke kupambania mafanikio hata kama unakutana na hali ya kukatisha tamaa. Jifunze kwa Jack Ma, tajiri namba moja nchini China ambaye baada ya kumaliza masomo yake alituma maombi ya kazi mara 32...
  8. Uncle Araali

    Wapinzani nendeni taratibu na Rais Samia

    Nianze kwa kunukuu usemi wa wahenga usemao "Mjusi ukimkimbiza sana hugeuka na kuwa nyoka". Maana huru ya usemi huu ni kuwa mtu hata akiwa mwema au mpole kiasi gani,ukimchokoza sana anaweza kubadilika na kuwa mbaya sana. Niseme wazi kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji katiba mpya kuliko katika...
  9. Uncle Araali

    Ukiacha Wabunge, kundi jingine linaloila keki ya taifa kisawasawa ni hili hapa

    UKIACHA WABUNGE,KUNDI JINGINE LINALOILA KEKI[emoji3057][emoji506] YA TAIFA KISAWASAWA NI HILI HAPA... Wasalaam, Nawasalimu kwa Jina la JMT... # Kazi na Iendelee Ndugu zangu WaTanzania,wakati Mchezo wa Mpira wa miguu ukiendelea, Makosa makubwa yanaonwa na mashabiki/watizamaji walio nje,na syo...
  10. Uncle Araali

    Freeman Mbowe ni kiongozi wa mfano

    Nimemsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe.Hotuba yake ya leo (pamoja na nyingine alizowahi kutoa kabla) inaonesha dhahiri kuwa huyu kiongozi ana hekima na busara ya kiwango cha juu.Viongozi wa Serikali wa sasa,akiwemo Mheshimiwa Rais Samia...
  11. Uncle Araali

    Mita kusoma Error 77

    Wakuu,naingiza namba za Luku kwenye mita lakini inaandika Error 77.Tatizo ni nini? Nifanyeje?
  12. Uncle Araali

    Ni ujuha kushangilia nchi yako kunyimwa mikopo/misaada au kuwekewa vikwazo

    Wameibuka vijana wachanga wa siasa,ambao wamekuwa wakiombea taifa lao liwekewe vikwazo.Hawajui kuwa athari kubwa watapata wao kwani watawala hawana cha kupoteza pale misaada izuiwapo.Hizi ni siasa za kijinga sana.Kama huna ajira au maisha ni magumu,hutapata ahueni yoyote pindi mabeberu wazuiapo...
  13. Uncle Araali

    Mwanza: Kuwatoa Walimu wa shule binafsi katika kusimamia mitihani Kidato cha nne, naona si sawa

    Naomba niwasilishe dukuduku langu, huenda wahusika wakanisikia. Ni mwaka wa pili sasa walimu wa shule binafsi mkoani Mwanza wamekuwa wakienguliwa kwenye zoezi nyeti la usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne. Sababu inayotolewa na wenye maamuzi ni kuwa uamuzi huo ni kuepusha vitendo vya...
  14. Uncle Araali

    Basic technician certificate in environment and coastal resources

    Naomba kufahamishwa fursa za kozi niliyotaja hapo juu.Kuna bwana mdogo kachaguliwa kozi hiyo katika chuo cha Mbegani.
  15. Uncle Araali

    Kupotoshwa kwa neno "Demokrasia"

    Limeibuka kundi la watu wasiyoijua misingi ya demokrasia ipasavyo ambalo linadhani demokrasia ni kuzungumza pasipo na mipaka.Watu hawa wanadhani wakitumia lugha za matusi kukosoa ndipo wataeleweka au kujizolea umaarufu wa kisiasa. Hiyo siyo demokrasia.Demokrasia ni uhuru wa kutoa mawazo pasipo...
  16. Uncle Araali

    Maana ya usemi "hasara roho"

    Naomba kujuzwa maana ya usemi huu uliotamalaki hususani katika nyimbo za kizazi leo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom