Search results

  1. Mvumilivu2

    Naomba ushauri, kwa ufaulu huu atapata chuo cha uuguzi cha serikali?

    Habar wanajf, Nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25 Dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma kwenda now kaja Dar. Je kwa ufaulu huu wa civ D Hist D Geo D Kisw C Eng C Phy F Chem D Bio C Math F...
  2. Mvumilivu2

    Wanawake mlioolewa: Angalieni mnapoleta wadogo wa kike nyumbani kwenu

    Heshima mwenu wakuu, Story ipo hivi kuna dada mmoja tunaishi nae nyumba mmoja kaolewa kwa ndoa kabisa na wana mtoto wa kike wa miaka miwili. Huyu dada alichokifanya alienda kwao akaja na mdogo wake wa kike umri miaka 15 anaishi nae chumba chenyewe kimoja. Juzi kati kaenda tena kakuta mdogo...
  3. Mvumilivu2

    Wanahistoria kuja hapa mnipe tofauti ya vitu hivi

    Naombeni ufafanuzi kati marine technology na maritime technology
  4. Mvumilivu2

    Natafuta rafiki wa kiume

    Natafuta rafiki wa kiume mwenye urafiki wa kweli miaka 29-35 asitoke nje ya Dar es salaam, mpenda maendeleo na anayejitambua. Aliyetayari ani mp,
  5. Mvumilivu2

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi

    Habari wanaJF, Naombeni kujulishwa namna ya kutengeneza mafuta ya nazi kwa anayejua.
  6. Mvumilivu2

    Msaada, natafuta kazi

  7. Mvumilivu2

    Si nilisahau kupiga hodi bandugu

    Habarini wanajf mie mgeni nipokeeni.
Back
Top Bottom