Search results

  1. Justine Marack

    Dis - track ya taarab. Iliyomvuruga Khadija Kopa. Utalijua jiji

    Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab. Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua bibie. Afua Suleiman. Ukitoka kuelewa huyu Afua nenda sikiliza Wimbo wa Taarab unaoitwa Utalijua...
  2. Justine Marack

    Midundo ya kiasili inayostahili Tuzo

    Niende moja kwa moja kwenye point. Kwasasa hapa Tanzania nyimbo mbili toka wasanii wa Mbeya ndio zinazotakiwa kupewa Tuzo. Pia Midundi hii inastahili kuwa muziki unaoitambilisha Tanzania. 1. Wamwiduka - Kilingeni 2. Nasibu Mwanjalila- Mkataa kwao
  3. Justine Marack

    Refa Ramadhani Kayoko jiandae kwa Albabadili

    Tumeamua Sasa kukomesha tabia za kuhongwahomgwa. Tunatambua kuwa GSM walikulipia mahari na kukolea Mke. Kisha GSM waligharamia harusi yako. Mkataba wako na GSM ni kuhakikisha mechi zote za Simba utakazo Samamia basi Simba wasishinde. Sasa nakupa Taarifa kuwa tumeamua kumlilia Mungu. JIANDAE...
  4. Justine Marack

    Kuruhusu maandano Rais Samia amecheza zaidi ya pele

    Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano. Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema. Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea. Kwa jambo hili Rais ameshauriwa vizuri sana. Kama Chadema wangezuiwa kufanya maandamano na kulazimika kupambana na polisi...
  5. Justine Marack

    Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania. Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao...
  6. Justine Marack

    M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

    Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo. Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
  7. Justine Marack

    Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

    Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera. Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake. Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani? Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo...
  8. Justine Marack

    DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

    Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu. Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana. Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya...
  9. Justine Marack

    Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu. Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara. Kiukweli haivutii kutazama. Ni kama...
  10. Justine Marack

    Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    Salam kwenu nyote, Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya...
  11. Justine Marack

    Polepole anafaa kwa Ukatibu Mkuu CCM

    Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole. Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA. Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana. Hii combination itaongeza Imani kwa...
  12. Justine Marack

    Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

    Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi. Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni. Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani? 1. Mti aina ya STAFELI 2. POPO...
  13. Justine Marack

    Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

    Moise KATUMBI anachukua nchi mapema sana. Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu. Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii inafanya aweze kusikilizwa na wacongo katika majimbo yote. Huko KISANGANI amefanya mafuriko haijawahi...
  14. Justine Marack

    Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

    Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga. Ndugu Paul Makonda Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi...
  15. Justine Marack

    Moise Katumbi ataivusha Congo DR

    Jana nimepata wasaa wa kumsikikiza Ndugu Moise Katumbi Chapwe katika moja ya mahojiano ya hivi karibuni. Pamoja na kuzungumza mengi lakini mipango miwili ya amani na usalama wa chakula imenifurahisha sana. Huyu bwana amepanga kumaliza vita mashariki ya DRC ndani ya miezi sita tu. Pia anataka...
  16. Justine Marack

    Manara alimvaa Makonda mwaka 2022 katika sakata la GSM

    Ni kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 2022 baada ya sakata la Makonda na GSM. Ajabu ni pale ambapo Haji Manara bila kueleweka alikotokea, aliamua kuingilia ugomvi usio muhusu. Alimuanika Makonda mchana kweupe na kumdhalilisha vibaya mno. Ni baada ya Makonda kuweka wazi hofu yake juu ya usalama...
  17. Justine Marack

    Kocha wa Simba na sub za kizamani

    Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine. Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira. Sasa...
  18. Justine Marack

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa anashabikia Yanga. Huyu jamaa alikuwa yuko tayari kukosana na wafanyakazi wengine sababu ya kubishana mambo...
  19. Justine Marack

    Nahitaji kukutana au kuwasiliana na Waziri Bashe

    Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja. Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya...
  20. Justine Marack

    HOWO used au SCANIA used?

    Habari za leo wana JF. Niko katika maandalizi ya kutafuta gari ya Mizigo kwa kazi Zangu za biashara ya mazao. Biashara yangu ni kukusanya mazao toka maeneo ya vijijini maporini na sehem kama hizo Kisha kupeleka mikoani. Kulingana na nature ya biashara hii, hulazimika kupita katika njia mbaya...
Back
Top Bottom