Search results

  1. Justine Marack

    Sikuwa najua kama Tanzania ina kabila la Wahima, Karagwe Kagera!

    Wahima ni Koo la watusi. Tambua kua Watusi wanatofautiana kulingana na Koo na maeneo yao. Wapo Wahima, Wagamba, Wanyankore , Wanyaruguru na kadhalika. Kwahiyo Wahima ni Watusi. Hawa wao wanabaguana kuitawala. Kuna Watusi walio bora zaidi ya Wengine. Watusi wa Rwanda wanajiona bora kuliko wengine
  2. Justine Marack

    Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Mwaka 2014 Kuna Bwege alinifanyia hizo mambo. Bahati nzuri brother wangu alikuepo Sasa akaamua kuivaa kesi. Ilipigwa kimbola Matata. Mtaalamu aliagiza ubongo wa kuku na wale wadudu wanazurura kwenye maji ya mto yaliyotuama. Dadeki Siku mbili nyingi Jamaa akahama mpaka Sasa sijui alipo. Yaani...
  3. Justine Marack

    Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Mwambie akirudi, au kama haujajenga basi Hamia mbali kimyakimya. Akifika anakuta vumbi
  4. Justine Marack

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Gari ya mkopo alafu unavimba. We mama vipi?
  5. Justine Marack

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nashukuru Rais nimenyandua Kadem kapya
  6. Justine Marack

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    Trendi ya Escape from Sobibor au nyingine ?
  7. Justine Marack

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Katika maelezo yake hakuna sehem ambapo ametaja ushiriki wa Ndugu na familia ya JPM. Pia inashangaza kwanini CDF alipinga amri ya amirijeshi mkuu bila kuwa na sababu za msingi. Dhahiri inanyesha kuwa kunakikundi ambao wanajiita wakuu wa vyombo ambao waliamua mustakabali wa uhai wa JPM
  8. Justine Marack

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Ule mpango wa Watusi kuomba kupewa mkoa wao na kutambuliwa mlidhani wanatania? Huyu Nyamvumba na Mzee wa mikakati, handing sehem kama hakuna operesheni za Siri. Haziwezekani Rwanda ambao wanakabiliwa na mambo mengi ya kimkakati waamue kumleta Mtu wao muhim Nyamvumba kuja kurelax Tanzania...
  9. Justine Marack

    Mtaji wa 46M faida 540000, pia mtaji wa 45M faida 576000

    Machaka yapo mengi sana. Muhim wewe amua unataka ufanye Mazao Gani na ufanyie wapi. Fanya research ya masoko Yako Kisha njoo nikupe Chaka. Hiyo pesa unaweza kuidabo kwa miezi sita tu.
  10. Justine Marack

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Walishwe tu baada ya miaka mitatu tuanze kuwafokoa
  11. Justine Marack

    Mtaji wa 46M faida 540000, pia mtaji wa 45M faida 576000

    Hiyo pesa ingiza kwenye Mazao utakuja kunishukuru. Yaani 46M inakuletea laki Tano halafu unapata usingizi? Kweli wenye michongo hawana pesa na wenye mitaji hawana michongo. Hiyo pesa unapaswa kuwa imeidabo ndani ya miezi sita na kwa mwaka Uwe na 100M. Ingiza chaka Acha kukaa mjini na pesa yote...
  12. Justine Marack

    Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Kisasi ni haki. Tunawapokea Mamelodi Sundowns kwa kishindo. Wakati ule MANARA, Hersi na Senzo waliungana na Kaizer Chiefs na Serikali ilikaa kimya. Hakuna kulialia Sisi ni Afrika. Tusipangiane mapenzi. Ndiaana ndumbaro anamke wake na mie ninae wangu. Nikiipenda Mamelodi usiniingilie.
  13. Justine Marack

    Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Mkatie kiuno Mumeo, au Hapigi Chaasubihi? Au ulilala bila kuoga?
  14. Justine Marack

    Rais Samia: Tumekopa Sana ndani ya hii miaka 3 kwa ajili ya Huduma za Jamii sasa tunaenda kupunguza Ukopaji kwa miaka hii 2!

    Unakopa Kisha unaowapa watu wanakua kwa urefu wa kamba. Unakopa halafu Mwigulu anazitumia kuisaidia Yanga.
Back
Top Bottom