Search results

  1. popo1986

    John Mnyika, wapigakura wako wanalalamika umewatelekeza. Je, unafeli wapi?

    Nimesikia kelele nyingi za watu wako huku Mpiji Magohe kuanzia wakiwa stendi ya Mbezi ya shamba wakisubiri daladala zetu(mimi ni dereva wa daladala eicher kutoka Mbezi kwenda Mpiji). Watu wanakuongelea sana lakini sio kwa uzuri wengi wanasema umewasaliti na shida wanazopata hujawahi hata kuja...
  2. popo1986

    Bwana mkubwa akitaka kupambana na Zitto na chama chake,basi ajue The Hague inaweza kumuhusu

    Weka hizo tweet hapa tuone Sent using Jamii Forums mobile app
  3. popo1986

    Jerry Muro: Mbowe kaa chonjo! Ikiwaka mulika na ikizima papasa

    Hivi kwann viongozi chadema hawarudi majimboni? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. popo1986

    Mbona kwenye mkutano wa kufunga kampeni za Chadema mwaka 2015 pale Jangwani waliimba Tenzi za Rohoni?

    Alafu mwishoni akatuambia anarudi nyumbani Daaa ila Lowassa umetuacha kwenye mataa sana sijui nani atasimama tena kwenye jukwaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. popo1986

    Zanzibar: Ukiwa mfuasi wa CUF huuziwi Kahawa!

    Kwann hakuna na mbona wanashinda uchaguzi Zanzibar? Wapo aisee acha hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. popo1986

    Zanzibar nishati ya umeme mnategemea Bara mkijitenga nchi mtaiweza kweli?

    Asisahau kutuambia na sampling technique aje akiwa full iliaeleweke Sent using Jamii Forums mobile app
  7. popo1986

    Mechi ya Taifa Stars vs Uganda Cranes

    Acha kuhangaika na mambo ya Amonike Sent using Jamii Forums mobile app
  8. popo1986

    Mechi ya Taifa Stars vs Uganda Cranes

    Waambie TFF wapost kuhamasisha watu na pia watupe taarifa rasmi wapi tutapata Ticket leo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. popo1986

    Simanzi: Page ya TFF haina mpango wa kuhamasisha chchte mechi ya Stars.

    Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika sanaa,lkn cha ajabu page hiyo haina chochote cha updates kama hizo na ukizingatia mchezo wa muhimu sana...
  10. popo1986

    Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

    Mleta uzi mimi naona bora alama hiyo ya msalaba kuliko Alama ya Pombe ya serengeti Sent using Jamii Forums mobile app
  11. popo1986

    Mechi ya Stars ticket zinauzwa wapi?

    Naombeni mtujuze ticjet zinauzwa wapi na bei zake tafadhari naomba kwa yyte mwenye uelwqa anisaidie hao wanaoongea kuhakasisha watu sioni hata mmoja akizungumzia swala la Ticket l. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. popo1986

    Mechi ya Stars ticket zinauzwa wapi?

    Wakuu naomba kujua mechi ya Juma pili Taifa Stars na Uganda Ticket zinauzwa wapi? Ili tuwahi mapema? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. popo1986

    Misemo ya BONGE WA CLOUDS FM akimaliza!!!

    Wewe unatukosea sana [emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. popo1986

    TFF iweke viwango vya viingilio chini ili tujaze uwanja mechi ya Taifa Stars

    Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn tatizo linakuwaga kiingilio wanavyoweka hao TFF hawajali, mm siendagi uwanjani hata kama ikiwa simba...
  15. popo1986

    TFF wekeni viingilio vya chini tujaze uwanja mechi ya stars

    Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa...
  16. popo1986

    Usimchokoze Mrusi

    Huwezi kukuta USA anajitamba hivyo yy huwa kimyaaa lkn mtibueni uone Sent using Jamii Forums mobile app
  17. popo1986

    Tahadhari: Uliye karibu na John Mnyika mpe ujumbe wake huu

    Elli jina lako ni kistaarabu sana, kwann ulusijiulize kwann uzi kama huu unaandikwa humu? Je? Ulishawahi kuona uzi kqma huu humu?usitutusi Sent using Jamii Forums mobile app
  18. popo1986

    Tahadhari: Uliye karibu na John Mnyika mpe ujumbe wake huu

    Nakumbuka kama mikutano ilizuiwa nje ya jimbo lkn ndani ya jimbo lako inaruhusiwa mkuu ni yeye tu kaamua kututosa hataki hata tujadiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. popo1986

    Tahadhari: Uliye karibu na John Mnyika mpe ujumbe wake huu

    Ukisema kazi anazozifanya kauli hiyo inachoma sana inamaaba hizo ni bora kura tulizompa? Basi kama inashindikana aitishe hata mkutano Mkuu jamaa hajawahi hata siku moko kuongea na sisi. Ila hamna noma. Acha maisha yaendelwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. popo1986

    Tahadhari: Uliye karibu na John Mnyika mpe ujumbe wake huu

    Hii ni Tahadhari kwake na uongozi mzima wa Chadema, ; John Mnyika tangu tukupe kura nyingi za kutosha umetusahau huku mbezi na posho za ubunge ndio zimekusahaulisha kabisa. Matatizo yetu huku jimboni unayajua na hatuoni mabadiliko yyte.. isitoshe kama imeshindikana huko juu kutatua basi njoo...
Back
Top Bottom