Search results

  1. M

    Dola imepanda hadi nimeshangaa hali ni ngumu

    BOT wanasababisha uwepo wa black market sababu wanagoma kubadilisha thamani halısı ya pesa yetu dhidi ya USD. Proper intervention ni kuingiza $ za kutosha mtaani na sio kuweka fixed value halafu mwisho wa siku $ hazipatikani.
  2. M

    Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Ubaki hivyo hivyo Samia, tuliambiwa na chawa wa CDM Arusha wanampenda sana Samia.
  3. M

    Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Ndio maana Msigwa amekuwa chawa sana siku hizi, ameshapitisha mrija wake na yeye.
  4. M

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Serikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
  5. M

    Kwanini kila mechi ya robo, Simba inaanzia nyumbani?

    Simba alianzia ugenini dhidi ya Kaizer chiefs na kumalizia kwa Mkapa.
  6. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Najua ni kitu kikubwa ila hii ni biashara sio charity, walipewa mikataba ya explorations tu, hiyo sio sababu ya wao kutulalia kwenye mikataba ya LNG, kuna faida gani Tz kuruhusu mkataba wa 30bn USD halafu usiwe na faida ya kutosha kwa uchumi wetu.
  7. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Seems Makamba alishafanya yake, sababu wanalazimisha mikataba iliomalizwa na Makamba isainiwe hata kama ni mibovu au haina maslah kwa Tz, kama mkataba ni mbovu hakuna kusaini, hakuna kuingia production phase wala kujenga LNG processing plant, siku akija mwingine with a better deal tutaendelea.
  8. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    USA na NATO wako katika pressure ya kutafuta mbadala wa gas ya Russia, Tz na Mozambique ndio potential virgin resource ya gas inayoweza kuwa mbadala wa Russia huku wakiwa salama kisiasa. Kama mkataba ni mbaya as Biteko alichonukuliwa, GoT iendelee kukaza, wao ndio wanahitaji mbadala wa Russia...
  9. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Kwani ni lazima tuingie mkataba na wao ili kujenga LNG, mkataba wa Tz na hizo kampuni ni exploration tu, LNG ni inshu tofauti na serikali haina ulazima wa kufanya kwa speed yao kama mikataba wanayotaka haina maslah kwetu.
  10. M

    Supporting props ni nini?

    Ushapigwa quotation nzito, props ni mirunda, wakiandika kwa Kiswahili tutawabishia inabidi watupige mkwara kwa ngeli ili usibishie kila kitu.
  11. M

    Simba wasema hawana cha kujifunza Yanga, waandishi wajiumauma

    Basi aongoze angalau afikie rekodi ya Simba ndio aanze kuropoka.
  12. M

    Simba wasema hawana cha kujifunza Yanga, waandishi wajiumauma

    Ahmed Ali amefikisha kisu kwenye mfupa, Simba ilisha ongoza kundi lenye Al Ahly ndani yake, Yanga imeishia kuwa ya pili na bado wana Yanga wamechanganyikiwe, wangekuwa wa kwanza kama Simba si wangetembea uchi.
  13. M

    FT: Jwaneng 0-1 Wydad |CAFCL-Group B | 24/02/2024

    Hapa ni kuombea draw Ila ikitokea Wydad ameshinda then ni lazima Simba ishinde mechi ya mwisho, Wydad aki draw then hata draw mechi ya mwisho inatosha
  14. M

    FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

    Hujui kitu, Yanga alifungwa Cairo kwenye hiyo mechi na kufanya matokea yawe 1-1, kuweka mizania sawa na matokeo ya Dsm. Hivyo kwa historia pia Yanga hajawahi pata draw mbele ya Al Ahly Misri. Pili, Al Ahly hii ni bingwa mtetezi ila Al Ahly ya wakati huo ilikuwa inahitafuta, kutegemea Yanga...
  15. M

    FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

    Kwa sababu CRB waliwafunga 3, msipofunga 3 inabidi mshinde na mpate sare Cairo dhidi ya Al Ahly mahesabu ambayo ni magumu na hayana uhalisia.
  16. M

    FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

    Yanga safari ndio imeisha, hata wakishinda wiki ijayo dhidi CRB bado hawana uwezo wa kutoa draw na Al Ahly Cairo, beki Mwamnyeto Maguire, Cairo lazima wachomeshe tu.
  17. M

    Treni ya kaskazini inahujumiwa?

    Hamna hujuma, ni uzembe tu wa baadhi ya wafanyakazi wa TRC, pia kukosekana uwajibikaji kunaleta nafasi ya kufanya huu ujinga. JPM kwa uzembe huo mtu angeumbuliwa anayefuata angehakikisha usafiri unakuwa wa uhakika.
  18. M

    Treni ya kaskazini inahujumiwa?

    Hamna hujuma, ni uzembe tu wa baadhi ya wafanyakazi wa TRC, pia kukosekana uwajibikaji kunaleta nafasi ya kufanya huu ujinga. JPM kwa uzembe huo mtu angeumbuliwa anayefuata angehakikisha usafiri unakuwa wa uhakika.
  19. M

    Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Uchaguzi wa Zenji mshinda anapata 51-53% hapo na wizi na kila kitu, sasa huku bara mshindi anapiga banda la 80% mnataka mseto wa nini?
  20. M

    Madeama ni kama timu ya Mashujaa ya Kigoma: Hamasa kubwa, kujituma kwingi, mwisho wa siku kubaki karibu mkiani

    Uto hata akishinda hata 10 leo, mtihani wake mkubwa ni dhidi ya CR B, anatakiwa ashinde kwa goal 3 kwa sababu dalili zinaonyesha watakuja kufungana point, kinacho angaliwa ni H2H na sio goal difference, ukiwa na goal difference ya 5+ ila H2H CR B amemzidi Yanga nje, kuku wa shamba lazima...
Back
Top Bottom