Hiyo siyo ajabu wala sio kitu kigeni ,kwa mtu maarufu na mwenye hadhi ya raisi wa marekani kufwatiliwa sana .Lakini maisha yao ya ndoa ni sawa kama ambavyo ndoa ilivyo ijapokuwa wao ni watu maarufu tu.
Hata ungetumia gari aina gani ,swala hapo ni kujua kuwa ajali haina kinga jamani,ni kumshukuru mwenyezi na kumuombaili tuendelee kufuata kanuni za utunzaji na uendeshaji wa vyombo vya moto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.