Search results

  1. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini, Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake...
  2. U

    Kwa nini wasilipe na wake zao!

    Hivi ni kwa nini watu wanang'anag'ania kulipa matapeli wa DOWANS WASICHANGISHANE WAO NA WAKE ZAO WALIPE !HEBU FIKIRIA MTU KAMA CHENGE ANA 2 BILIONI HUKO UGHAIBUNI ...NA HIZO NI VIJISENTI TU HATUJUI FEDHA KWAWEKA WAPI !HIVI KWELI WAKIJITOKEZA MAPAPA NA MANYANGUMI 30 NA WAKE ZAO WATASHINDWA KUWA...
  3. U

    Du jamani mnatisha

    Kila nikufungua hapa nakutana na lugha nisizojua kabisa mara soft nini mara nini ,jamani mnatutesa hivi hii store ni ya masuala yenu ya IT tu itabidi nianze kujifunza ,hongerereni sana wataalamu wetu ila muikumbuke Tanzania !
  4. U

    Serikali yaanza kupunguza bajeti ya mwaka huu!

    Kuna kila dalili za kutimia kwa kauli ya DK SLAA kuwa bajeti ya mwaka huu ilikuwa ni kiini macho ,na kuwa haitafika mbali!baada ya serikali kuanza kuziagiza wizara kukata kiwango fedha ili ziende hazina .haijulikani kama punguzo hilo linahusiana na malipo fulani au vipi ,lakini wazalendo...
  5. U

    Wamisri wana nia gani na sis!

    Jana kumemalizika mashindano ya soka kwa nchi za bonde la mto nileambapo timu ilshindwa vibaya lakini ikaambuliwa donge nono 1la sh.75,000,000. Mashindano hayo yamemalizika kwa amni lakini swali la kujiuliza je mashindano haya hayana implication yoyote kiuchumi na kisiasa kwa kuzingatia mvutano...
  6. U

    Tupeperushe bendera ya tunisia!

    Katika kipindi cha miaka mitano ,tumeshuhudia nchi iksambaratika kwa kukosa dira na uongozi kwa hali ya juu.Mifano ni mingi na itaendelea kuja .Tumeona serikali ikikosa kabsa utashi wa kuwatumikia watu WATU WAMEKATA TAMAA ,UFISADI NA MMOMONYOKO WA MAADILI UMNASHIKA KASI;KAMA HATUA...
  7. U

    Sita toka huko kuchafu

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/103890-mzee-sitta-toka-humo-kuchafu.html
  8. U

    KUUZA TSHIRT ZA DOWANS/katiba mpya

    Kuna wazo la biashara linanijia lakini sina mtaji ,ngoja niwauzie wanachama hapa watanipoza kidogo! Nchi sas hivi inazizima kwa masual ya katiba mpya na malipo ya dowans..ukitengeneza tshirt ukaandika TUNATAKA KATIBA MPYA na au HAKUNA KUWALIPA DOWANS!Utauza wewe!ila usinisahau mtoa wazo.HII...
  9. U

    Mzee sitta toka humo kuchafu !

    Kwa utamaduni wa wengi wetu (hata humu ndani)inahitaji ujasiri kutoa mawazo haya ,lakini kwa kuwa hapa ni mahali huru nitaendelea kusema! Nilianza kusikia ufisadi wa EPA wakati wa bunge la bajeti 2007,baada ya Slaa kukuataliwa hoja yake binafsi. Sinema ilianza jumamosi ya kwanza baada ya bunge...
  10. U

    Mafuta ya ubuyu!

    Nawafahamu watu ambao wametumia dawa hii au kuwajua watu waliotumia mafuta haya na kuwasaidia sana -Mafuta ya ubuyu ,ili kuwasaidia na wengine humu Jf MAFUTA YA UBUYU NI DAWA INAYOWEZA KUTIBU MAGONJWA MENGI.nI MAFUTA YANAYOTOKANA NA MBEGU ZA UBUYU.Magonjwa hayo ni kama/kazi za mafuta ya ubuyu...
  11. U

    Hivi polisi wa ARUSHA hawaishi uswahilini!

    Mambo ya ARUSHA yanaumiza sana !nauliza hawa polisi wa Arusha kwani hawaishi uswahilini kama hapa Dar !( unajua hayamabo yanazidi watu wanakufa hakuna hata mkuu wa nchi alitoa pole kwa wafiwa !eti wanaongea na mabalozi kuwa ilikuwa bahati mabya! mabolozi ndio inawauma zaidi kuliko watanzania)...
  12. U

    Jk kwa nini unakubali kuchezewa hivi

    Mh Rais ! Kwa umakini wako wa kufuatilia mambo najua utapata ujumbe huu. Hata kama ni kinyume chake wasaidizi wako watakufikishia ujumbe huu. Kama hawatakufikishia basi Roho wa Mungu atakuongoza kuupata ujumbe huu. Mh Rais! Tangu ulipoingia madarakani tumesikis mengi sana kukuhusu wewe binafsi...
  13. U

    Eneo linauzwa ...!

    kuna ndugu anauza eneo lake lipo mbezi malamba mawili ,halijapimwa ,lna ukubwa wa m42'20' 25'25' 20; ni pembe tano fulani hivi ,ni asset bomba kwani eneo hili linakuwa kwa kasi! bei M 5 tu ,natumaini wanaosoma humu si madalali! Jitokezeni jamni jamaa amepata shule anataka akapunguze ujinga.
  14. U

    Bongo star search ni nini!?

    Huwa nalazimika kufuatili matangazo ya Bongo Star search tangu yaanzishwe si kwa sababu ya ubora wake lakini kutokana nayale ambayo huwa nayashuhudia na pengine mkumbo ...wa familia.!Kama ni kuvuta mashabiki basi waandaji wamekula bingo.Sina uhakika neno bongo hapa linamaanisha nin....Labda...
  15. U

    Mzee mengi na nico!

    Kwa muda mrefu kidogo Mwalimu Mkuu wa Watu ,MWANDISHI wa makala gazeti la Tanzania Daima ailandika kwa uchungu kuhusu alichokiita ufisadi alioufanya mzee Mengi katika kampuni ya uwekezaji ya NICO.Nilitarajia angalau kungekuwa na mwitikio lakini sikuwahi kusikia angalau tu hata mzee Mengi...
  16. U

    Makhirikirhi na akli zetu kiuchumi!

    Wale jamaa wa ngoma za kienyeji kitoka Botswana wameletwa tena! kutafuta fedha za Watanzania .Hiki ni kielelezo kingine cha uduni wa fikra zetu!Ukichunguza kwa makini kinachofanywa na hili kundi si lolote si chochote ukilinganisha na ngoma zetu za kienyeji ...Kinachotusumbua hapa ni uduni wa...
  17. U

    Kuzaliwa kwa Yesu......na biashara!

    Ni msimu mwingine wa Xmass ,unaoambatana na na Dunia YA kIKRISTO na wasio wakristo kuingia katiaka kipindi cha pilka 2 nyingi.Wfanyabiashara nao ndio msimu wa Mavuno! ......Lakini nimekuwa nikijiuliza katka mafundisho yoet niliyobahatika pamoja na kusoma vitabu vya dini sijawahi kuona sehemu...
  18. U

    Nani alituloga!

    Kama kuna watu amboa wameshindwa kujiendeleza kama jumuia ni Watanzania!,Pamoja na rasilimali nyingi bado nchi yetu na maskini ,mijadala mingi inayoendelea hapa nchini ni kujadili watu.Kila siku linaibuka jipya.Kama tungekuwa na angalau %50 ya ufahamu tusingekuwa hapa.Mimi sio mchumi (wachumi n)...
  19. U

    Nitasukuma walevi wangapi...!

    pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI. IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE...
  20. U

    Siasa za wizara ya afya na ustawi wa jamii!

    Daladala zina uzuri wake ,leo asubuhi nimebahatika kuwasikia watumishi wawili wa wizara ya afya wakimwaga yale yanayowasibu kazini .Walianza kuzungumzia tetesi kuwa waziri wa afya bw. Mponda na mojawapo ya madkt walionyanyaswa na katibu Mkuu Blandina Nyoni ,eti aliwahi kupewa adhabu ya...
Back
Top Bottom