Search results

  1. barafuyamoto

    Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  2. barafuyamoto

    Magufuli Bus Terminal hakuna mabadiliko yoyote, ni kama imetelekezwa

    Habari zenu, Inasikitisha ila ndio ukweli, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kituo hiki mara ya mwisho nilifika kabla JPM hajafariki, ingawa kilikua hajikakamilika ila kulikua na kurupushani kidogo ukiona wajenzi wanafanya kazi. Leo nimepita tena ila sijaona mabadiliko yoyote makubwa...
  3. barafuyamoto

    Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatikaji wa umeme kipindi fulani. Kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza kusetiwa kununua majenereta?
  4. barafuyamoto

    Washambuliaji wa soka wa zamani wa kitanzania? Ni kitu gani walifanikiwa maana kumekuwa na kasumba washambuliaji wa sasa wa Kitanzania hamna kitu!

    Habari zenu! Nilikuwa nasikiliza na kuangalia kipindi cha mshike mshike cha azam tv, leo tarehe 19/04/2019. Wanaongelea washambuliaji wa zamani wa kitanzania. Wamemuhoji Mogella Zamoyoni na Edibily lunyamila na madaraka suleiman Wametoa pia reference ya Mohamed hussein wa yanga kuwa hapo...
  5. barafuyamoto

    Ni kwanini wanawake wanakuwa na shauku sana wanapovalishwa pete za uchumba?

    Habari zenu, Kama kichwa cha habari kisemavyo, Nimekuja tambua kuwa wanawake wanaovalishwa pete za uchumba wanakuwa na 'furaha' sana, unawakuta mitaani ananyoosha kidole chake kuhakikisha pete ya uchumba inaonekana. Au hata kama hawajaulizwa, akikutana na mtu ambaye alikuwa hajui kuwa...
  6. barafuyamoto

    Shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) kununua ndege 10 aina ya bombardier Q400.

    Habari zenu. Shirika kubwa la ndege Afrika, Ethiopian Airlines, liko ktk mchakato wa kununua ndege 10 aina ya Bombardier Q400. Pamoja na ndege hizo 10, shirika hilo linategemea kuongeza ndege zingine aina hiyo 5 na kufanya jumla ya ndege 15. Lengo kuu la kununua ndege hizi ambazo hata shirika...
  7. barafuyamoto

    Ningependa Sunday Manara siku moja atueleze ilikuwaje mwanawe Haji Manara akawa Simba damu?

    Habari zenu! Kwanza NAPENDA NIJIPONGEZE na NIWAPONGEZE mashabiki, wapenzi na wadau wote wa Simba kwa ushindi wa jana dhidi ya watani zetu wa jadi, Yanga. Leo mtaani kutamu kweli, watani kama wamelowekwa maji, wapoleeee na heshima ipo. Lengo la huu uzi ni kuhusu huyu msemaji wa Simba, Haji...
  8. barafuyamoto

    Wanaume, mwanamke wako akiwa hatulii, mtulize! Tia mimba

    Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyosema, Kwa kweli kuna wanawake pasua vichwa. Kuna wanawake 2 kwa nyakati tofauti, walikuwa wakorofi (full parties), nyumbani ni kelele za music sound, kuzurura na mashosti zao Mlimani city etc), na watembezi sana. Pia masista duu, yaani anaweza...
  9. barafuyamoto

    Tukubali au tukatae, rais John Magufuli ameongeza uwezo wa watanzania kutambua vitu ambavyo ni vyao(Uzalendo).

    Habari zenu! Nimekuja tambua licha ya changamoto chache anazozipata kutoka kwa wachache wanaompinga, rais Magufuli ktk utawala wake huu, ameongeza uwezo wa watanzania kujitambua na kutambua mchango wa kodi zao. Kauli kama 'yetu', 'chetu', na ni 'ni haki yangu kuhoji sababu ni kodi yangu'...
  10. barafuyamoto

    System mpya ya TANESCO ni kilio kwa wananchi, hamna unafuu bali mambo yawa magumu zaidi

    Habari zenu! Juzi juzi nilimsikiliza mfanyakazi mmoja, sikumbuki wadhifa wake, ila ni mtu wa juu kidogo. Alisema mfumo huu wanaoanza kuutumia leo ni kwa ajili ya kuboresha mfumo uliopita na pia kuongeza uwazi na pia kuongeza unafuu kwa mlaji. Nakumbuka kabla ya tarehe ya leo, 2.4.2018, kwa watu...
  11. barafuyamoto

    Mabasi ya Mwendokasi: Hili suala la mimi nakudai chenji wewe unanipa vocha ya VODA, kuna nini hapa?

    Habari zenu. Kwa kweli nimeshangazwa sana ktk mabasi yaendayo haraka. Inakuwaje nakupa pesa yangu ya kutaka kupata tiketi, mfano nakupa 1000Tshs, unatakiwa unirudishie 350Tshs sababu nauli ni 650Tshs, sasa unanipa "CHENJI" shilingi 300 na vocha ya VODA ya 50? Nimeona wengine wanarudishiwa...
  12. barafuyamoto

    Jana nimehudhuria Bachelor party ya mtu, sijaamini nilichokiona

    Habari zenu. Jana nilipata fursa ya kuhudhuria BACHELOR PARTY ya rafiki wa rafiki yangu. Alinialika niende nae, na alinipa warning na kuniambia BRACE YOURSELF kwa utakachokuta. Nilifika nae viwanja fulani (jina na club kapuni) mida ya saa moja jioni, embience ya pale tu unasisimka. Dim blue...
  13. barafuyamoto

    Msanii na mwanaharakati Kala Pina ajiunga na CCM na kujitoa CUF.

    Habari zenu. Leo msanii mkongwe wa hip hop na mwanaharakati ajulikanae kama Kala Pina, leo amejiondoa chama cha CUF na kujiunga na CCM. Kala Pina alishiriki leo katika kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa ccm ndugu Mtulia na kusema kuwa anajiunga na CCM baada ya kuona juhudi za rais JPM katika...
  14. barafuyamoto

    Ubomoaji wa jengo la TANESCO HQ ulipofikia hadi leo

    Habari zenu. Wale mlio mbali na eneo hili, ubomoaji umefikia hapa. Vijana wanapambana kulishusha kwa 'mkono'. Juu ni picha ya awali kabla ya ubomoaji kuanza. Picha hii ni ya leo, tarehe 13.01.2018. UPDATE: Leo tarehe 14.01.2018. Leo tarehe 25.01.2018. Update: leo tarehe 04.02.2018. Ni...
  15. barafuyamoto

    TANESCO hamsomeki, yaani kwenu ni maneno mawili tu, 'KA' na 'TA' hata kama tunanunua huo umeme

    Habari zenu, Kwa kweli hili shirika la umeme Tanzania TANESCO hamsomeki kabisa. Ukatikaji wa umeme umekuwa ni mkubwa mno. Mlituaminisha kuwa tatizo litakwisha kwa sababu ya upatikanaji wa gesi. Na pia mlisema ule mradi wa Kinyerezi utaondoa kabisa tatizo la umeme. Sasa hivi kuna mgao...
  16. barafuyamoto

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, hii mvua Dar usiku wa leo mliiona?

    Habari zenu! Sijasikia mamlaka ya hali ya hewa ikitoa tahadhari kuhusu mvua kunyesha Dar. Usiku huu hapa nilipo kuna mvua kali na ya upepo kama saa moja sasa na wala sielewi hii mvua imetokea wapi maana mpaka mida ya saa kumi hakukuwa na wingu bali jua angani. Kwangu imekuwa ni mvua ya...
  17. barafuyamoto

    TBA mmeonyesha mapungufu makubwa, mnajenga ila hamuwezi KUBOMOA?? Jengo la Tanesco ni kipimo.

    Habari zenu! Kwa kweli TBA kama chombo kilichoaminiwa na rais kujenga baadhi ya majengo kufikia hatua ya kushindwa kubomoa ghorofa ni udhaifu mkubwa. Mpaka sasa mmeshindwa sababu mnasuasua licha ya kwamba mko on site. Naongelea jengo la Tanesco Dar es salaam. Tunakoelekea, mijengo ya zamani...
  18. barafuyamoto

    Watu waki-relax kidogo.

  19. barafuyamoto

    Ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la juu eneo kati ya Kawe, Lugalo na Mbezi Beach ni matumizi mabaya ya rasilimali

    Habarini. Kwa wale wenyeji na watumiaji wa Bagamoyo road, utakuwa umeona kuna shughuli inaendelea pale kituo cha daladala bondeni. Habari nilizozipata ni kuwa wanajenga daraja la wavuka kwa miguu la juu. Kama la pale Buguruni. Kwa kweli, hapa hii ni POOR ALLOCATION OF RESOURCES. Pale hili daraja...
  20. barafuyamoto

    Kwa wale wanawake waliodhamiria HAWATAKI kusumbuliwa na wamaume, hii technique inafanya kazi sana.

    Habari. Kwa wale wanawake ambao wako eidha ktk mahusiano au wamedhamiria kabisa kuwa hawataki kusumbuliwa na wanaume kutongozwa tongozwa, waweza jilipua kwa kuwaambia WEWE NI MUATHIRIKA. Ingawa hauumwi, tumia hii kama defense mechanism, wanaume wengi tuko waoga sana na hii kitu. Tukijua, wengi...
Back
Top Bottom