Search results

  1. barafuyamoto

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Ukiona hivyo jua kua upunzani sasa hauna maana tena... hauna impact..
  2. barafuyamoto

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Oa tu inaonekana umedhamilia maana umasema kila uliyemshirikisha anakwambia kimbia ila unatafuta mmoja wa kukusapoti... oa ila jua una mwenzio.. yeye kukusikiliza na kuonekana ndiye unachotaka ndio mtego huo... Je ni kwa nini hakuolewa na aliyezaa nae??? Anasemaje kuhusu hili??
  3. barafuyamoto

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Wewe ni boya. .wanajme suruali na atakupelekesha sana. Unachapiwa tu hapo.
  4. barafuyamoto

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    MKirudi na nondo za kujisapoti nisjtueni enyi mafarisayo wa kiislamu...
  5. barafuyamoto

    Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

    Ujinga ni kushindwa hata kutofautisha waandishi wa africa kusini na wa tz.. sasa kama wa sauzi hawakjsema ndio wanaweka standards za kusema??
  6. barafuyamoto

    Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    sasa miezi nane unataka vunja ndoa mbona mapema sana na sababu kwa kweli haina mashiko..
  7. barafuyamoto

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Ila watacheza.. wakiwa na majeruhi hivyo hivyo. Report ya dr hjwa haisikilizwi yanga maana jata mechi na cr belouzidad pacome alifosi na dr akakubali..
  8. barafuyamoto

    Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Naona una nyota ya kupakwa mafuta...
  9. barafuyamoto

    Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Simba 4 - 1 Al Ahly (Agg 5-4) Yanga 2 - 1 Mamelod (Agg 2 - 5) Chukua hii...
  10. barafuyamoto

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Kampeni zimeanza. Vikao vya kusifia.
  11. barafuyamoto

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Alafu cdf akawaambia katiba iko wazi kisha wote wakaifuata.. .
  12. barafuyamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Ndio maana Tz inasemwa ni taifa lenye furaha ila bila shaka mimi na familja yangu sio watanzania...
  13. barafuyamoto

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Mbona katiba iko wazi sana juu ya nani atakua rais kama rais wa madarakani atafariki?? Ni wewe ndio huelewi labda.
  14. barafuyamoto

    Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    HAtimaye mmepata topic ya mwamba tena kusogeza siki..
Back
Top Bottom