Search results

  1. mtr96

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Updates wakuu sie wengine tuko bush mbaya
  2. mtr96

    Paul Makonda: Kuanzia 01.03.2019 kila mtu lazima awe na kitambulisho cha machinga au ajira, kama huna we mhujumu uchumi

    una hela za kuchezea nin mkuu kama iyo hela huna pa kuipeleka katafte waitaj wape achana na uo upuuz
  3. mtr96

    Serikali yawataka wakulima wa korosho kurudisha fedha, korosho zao hazina ubora

    Hiyo ndo tz nchi yenye maziwa na asal na pia tumempata rais mzalendo
  4. mtr96

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mrad wa rea morogoro ifakara kata ya mbasa kuna baadh ya maeneo yamechimbwa mashimo hawajaweka nguzo ili hal sehem nyingine wanasambaza nyaya na kila tukimuuliza mkandaras anasema nguzo zimeisha na hana matumain ya kuleta hii imekaaje?
  5. mtr96

    Tukio la leo limenipa Hofu kubwa sana!

    R i p munga tehanang umenikumbusha fasih za huyu legend mkuu mungu amlaze mahala pema pepon
  6. mtr96

    Twalibu Mussa ndiye aliyepangisha nyumba alliyohifadhiwa "MO" alipotekwa

    Mnazima sakata la ko ro shwoo hatuwaelew hata mseme nin hapa mambo ni ko ro shwooo tuu
  7. mtr96

    Hivi huyu Mtu aliyenitumia Mimi huu ' Ujumbe ' kunako ' WhatsApp ' ananitafuta ' Ubaya ' gani Mimi lakini?

    Mkuu naona umerud ufipa baada ya jana pale magogon kukuudhi karibu sana mkuu ila usisahau uku kwetu kupotea, kuliwa na chatu au kupgwa risasi ukiwa unatetea hak ya mnyonge ni kawaida
  8. mtr96

    Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    Hii yote ni sababu ya akil ndogo kuongoza akil kubwa ]Nichukieni mtakavyo ila siwezi kuona ' Upuuzi ' unafanyika tena safari hii kutoka Ofisi Kuu na Muhimu nchini kama Ikulu halafu nikanyamaza. Mkurugenzi wa Habari Ikulu Msigwa tafadhali acha ' Kutumika ' vibaya halafu ukaharibu ' Taswira '...
  9. mtr96

    Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    50,000 itapendeza Akipatka niko radhi kutoa mkuu aidha mzima au amekufa
  10. mtr96

    Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

    Mkuu nazan huna haja tena ya kuniambia nifunguke kwa kuwa ushawaona wanakuja wenyewe wakiona tu uzi unaohusu huyu kijana msomi alieuwawa kikatil wana panick stay tuned atakuja na mwenzie mda c mref
  11. mtr96

    Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

    Ni kwel mkuu bila kupiga kelele kwa hawa wadhalim hakika Tanzania itakuja kubaki ya akina prof Lipumba
  12. mtr96

    Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

    Siamin na wala sitaki kuamin kama ben ameuwawa eee mungu twakuomba kama dam ya ben iko ardhin bac kila aliehusika alipwe kadr utakavo
  13. mtr96

    Kila la kheri John Justine Pambalu huko nchini Finland katika kukiwakilisha CHADEMA

    Pascal mayalla anasaka u dc haa haa haa
  14. mtr96

    For JamiiForums Mobile users

    [@ifa96]
  15. mtr96

    Dhana ya recycle asili na chanzo chake ulimwengu wa roho na uumbaji wa dunia

    Nimekuelewa sana mkuu asante kwa nondo makn
Back
Top Bottom