Search results

  1. kamtesh

    Kuna Watu hapa nchini wameamua kuunga mkono uovu tu

    Nchi kwa mwenendo huu utalaaniwa na hatuwezi fanikiwa. Uhuni, na ujambazi kwenye siasa haushindi kamwe. Unakua ushindi wa muda mfupi sana. Mwisho wa siku, haki hutawala. Hujuma ambayo CCM na Serikali yake inafanyia Upinzani haina maana hata kidogo. Walitaka chama kimoja Bungeni, wamepata...
  2. kamtesh

    Tusiwabeze wazungu, tunawahitaji na wanatuhitaji

    Kuitana Beberu sijui majina gani, haisaidii. Mbona tunasubiria takwimu zao kutuambia tumepanda au kushuka. Wakituambia tupo uchumi wakati sasa, nishangwe kila kona. Ila wakituambia hatuna Demokrasia, tunanuna na kuanza kuwatukana. Tukitaka Ndege, tunawafuata wao, tukitaka uchimbaji twawahitaji...
  3. kamtesh

    Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana na tayari alishaapishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani

    Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana, na tayari alisha apishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani, Lissu anadai kuna njama dhidi ya uhai wake, acheni hàyo. CCM ni chama makini, mulishavuka siasa za kihuni, ebu muacheni Lissu na viongozi wote wa vyama vya upinzani watembee...
  4. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Tusiwalaumu sana TBC, Star TV, Channel 10, ETV na wengineo

    Nadhani walibanwa mno, na ukiangalia uongozi wao utajua kwanini? Hata nyuso za watangazaji, ilikua unaona kabisa hawana raha kushindwa kutangaza taarifa za upinzani. Ilikua unaona kabisa nini kilichikuwepo nyuma ya pazia. Hata NEC haikukemea vyombo vya habari hususani Runinga kushindwa...
  5. kamtesh

    Lissu kua mwisho kwenye karatasi ya mpiga kura ni baraka sana

    Wa mwisho ndo mshindi. Wanchi waambiwe tuu na kuelimishwa tuu, ya kwamba ukombozi upo mwisho na akatiki ndani ya kisanduku tuu. Tiki yake isije tokea nje, ukitoka kura itakua imeharibika. Oparesheni mbunguza kuharibika kwa kura ianze leo. Mifano itolewe ya kura halali. Tumemuona Zungu...
  6. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Sumbawanga kuomba kura za Ubunge kwa kutaja miradi ya Ubungo Interchange, flyover za Dar na ukuta wa Mererani

    Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli? Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais alizonunua na jimbo lake wapi na wapi? Wagombea ubunge wameshindwa wengi wao kujipambanua wao kama...
  7. kamtesh

    Kipi kitaibuka mshindi - Mtandao ya Kijamii, Redio au Runinga?

    Mwaka 2020, umekua waina yake. Ni mwaka huu tu ambapo tumeona vya vya upinzani vikinyimwa fursa kwenye runinga na chama kimoja kiki hodhi sana runinga zote nchini. Ukifungulia chaneli za hapa nyumbani, ni chama fulani tuu yaani CCM tu na mgombea wake, au Makamu na Waziri Mkuu wakifanya kampeni...
  8. kamtesh

    Masanja kalipwa shilingi ngapi kwa usanii huo anaofanyia Watanzania?

    Kuna wakati najiuliza, kama CCM mmefanya vizuri mbona kiwewe sana? CCM wamepagawa sana, naona kwa kuwafungia wapinzani ndani miaka mitano, walifikiri upinzani haupo na umekufa. JPM Alifikiri njia ya 2020 itakua nyeupe bila upinzani. Wale waliounga mkono CCM na JPM toka upinzani wapi wapi? Mpaka...
  9. kamtesh

    CCM na mgombea wake kuikacha Kusini, Ruvuma na Rukwa -- kulikoni?

    Imenishangaza sana mwaka huu mgombea wa CCM kushindwa kwenda kwenye hiyo mikoa. Sababu zilizotolewa na ccm kwanini mgombea wao hajaenda kwenye hiyo mikoa, hazina mashiko. Eti, waziri mkuu ma makamu wake wameitembelea tayari. Mhh! Mbona waziri mkuu alienda Kilimanjaro, na mikoa mingi tuu ambayo...
  10. kamtesh

    Rais kutudanganya kwamba miradi inajengwa na pesa za ndani

    Pamekuwa na kauli tata za kutuaminisha watanzania kwamba Serikali ina hela sana, na kwamba miradi yote nchini inajengwa kwa pesa za ndani. Sasa Rais anapotwambia hivi na kudanganya watanzania wa vijiji na mjini wasioelewa hata mambo ya fedha, anadhamila gani? Sie tunaoelewa tunashanga kwamba...
  11. kamtesh

    Vyombo vya habari kutoonesha habari za vyama vyote ni sahihi?

    Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala. Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio...
  12. kamtesh

    Upinzani wataleta vita, CCM hii siyo kweli

    Watakaoleta vurugu ni wale walioko madarakani. Walioko madarakani wasio tayari kushindwa wataleta vurugu. CCM, wanahubiri sana vita na kutishia watu na kuwaaminisha kwamba kuchagua upinzani ni kuleta vita. Hii imeshapita a wakati. CCM na yule umimi wao, madarakani matamu ndo watakao let's...
  13. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuagiza na kupiga simu Wizara fulani walete huduma sehemu mara moja, NEC hii rushwa

    NEC mbona mgombea CCM anavunja sana maadili na hawampi adhabu? Akivaa kijani yupo kama mgombea na mbona anazungumuza tumetenga hela, nitawaletea hiki hela ipo, anapiga simu kwa Mfugale kuhusu daraja like au kile. Anapiga simu kwa makatibu wakuu wa wizara mpaka kwa mawaziri. Hii sio rushwa kweli...
  14. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

    Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee Magufuli hali mbaya sana. Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote ni fadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi? PIA SOMA: = > Dkt. Magufuli: Sijawahi kuona mpinzani...
  15. kamtesh

    CCM haijali wananchi wa hali ya chini, ushahidi ni maneno ya Polepole

    CCM na viongozi wake hawajali wananchi wa hali ya chini. Ni uongo tu wanayosema kwa kutaka kuendeleza ukandamizaji. Wachache kwenye System ya Chama na Serikali wananufaika na CCM na ndo hao wanapigana juu chini CCM iendelee kuongoza taifa. Hawajali maslahi ya wengi ni kikundi Fulani cha...
  16. kamtesh

    Nyongeza ya mishahara hakuna, najenga Nchi

    Kauli ya hovyo ilishawahi tolewa na rais. Alikuwa anajua ni Haki ya Kikatiba ya watumishi, lakini kwa jeuri akajibu hivyo. Alisahau kuna Uchaguzi tena after 5 years. Leo akiulizwa hana jibu tena anaahidi tena kuongeza kama vile alivyoahidi maisha bora ya watumishi 2015 akiingia madarakani...
  17. kamtesh

    Unyonge na umasikini wetu usiwe mtaji wa wasaka tonge

    Miaka mitano inapita, Watanzania tumeona watu na kauli zao za kujali wanyonge na kuwatetea wanyonge na kutaka kuwakwamua watu kwenye umasikini. Umekua ni wimbo na unafiki wa hali ya juu. Kinyume chake Miaka mitano iliyopita, umasikini na UNYONGE vimeongezeka maradufu. Tuwaangalie machoni mwao...
  18. kamtesh

    Wasomi wengi kukimbilia CCM

    Naona pans tatizo kubwa. Na ndo hao wasomi wanapitisha Kanuni na Sheria za hovyo bungeni. Msomi mzima anajua maana ya Uhuru na Haki, anatia sahihi na kupitisha mambo us hovyo. Inatuonyesha kwamba tunawasomi wenye njaa sana, hawajali maisha ya watu bali matumbo na familia zao tuu. Hawana uchungu...
  19. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Upinzani wa Tanzania wanapigania nini?

    Mnachopigania ni kitu gani? Wajua kuna ile busara ya kuzaliwa nayo, unaona kabisa uwezo wangu wakushinda Urais hapa sina unapiga porojo tu kusumbua watu. Mnajua mwaka huu fulani anaungwa mkono na Wananchi wengi, sote tumuunge mkono, waapi? Ndo kwanza mwingine anamletea pinganizi mwenzio. Kuna...
  20. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Kuna wajibu wa serikali, CCM waelewe

    Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani. Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa wenyewe kifisadi. Ubungo exchange, sijui bwawa la la Nyerere, sijui nini? Huo ni wajibu wa serekali na...
Back
Top Bottom