Search results

  1. Ngurubhe

    Waliowahi kufundishwa na Rais Magufuli enzi za kufundisha kwake

    Wote mliomo humu ni wale mliomaliza form four na six juzi kati wakati yeye alifundisha zamani kidgo na hakufundisha kwa muda mrefu,yamkini hata product za mikono yake tunaweza tusiziskie hapa
  2. Ngurubhe

    Unapenda kuitwa jina la kwanza au la ukoo?

    Koo hazitakiwi kufa, hata jina langu la mwanzoni likipotea wala sioni shida,shida ni ukoo ukipotea
  3. Ngurubhe

    ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

    Kesi za wanafunzi wa chuo na sekondari zimekuwa lukuki
  4. Ngurubhe

    Haya ndiyo matokeo ya kuwafanya watu wasiongee!

    Serkali ya awamu ya tano imejitahidi sana kuthibiti watu kuongea ongea vitu mbalimbali.Na hasa kutoruhusu mikutano ya hadhara Hii imepelekea watu wasiowaaminifu kujificha humo na kufanya yao kwa sababu wanajua hakuna wa kuwataja!.Na serkali ishajinasibu kuwa hakuna ubadhirifu wa fedha...
  5. Ngurubhe

    Hivi maiti ni lazima kumvalisha sanda?

    Dini yako inafundisha nini?
  6. Ngurubhe

    Inakuwaje mpaka mtu unafikia hatua ya kumiliki line ya mtandao wa Halotel?

    Sasa kusema tu hayo ya kitoto nani atauchukia huo mtandao? Maana hakuna hoja za msingi ulizoziweka ili tuone kwa kias gan huo mtandao haufai
  7. Ngurubhe

    Orodha ya raia wasio na hatia waliouawa na polisi tangu 2015

    Nilitegemea umeorodhesha,kumbe unataka sisi ndiyo tuoreshe??
  8. Ngurubhe

    Inawezekana huu ukawa ni mwanzo wa mwisho wa Bash boy

    Hivi siku Ben akajakuonekana itakuwaje?
  9. Ngurubhe

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Ahahaaha.. Aliekuzaa wewe ni mwanaume au hana jinsia ? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ngurubhe

    Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto

    Ila anavyoliendesha bunge mim siwezk kumpigia kura Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ngurubhe

    Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume... Sent using Jamii Forums...
  12. Ngurubhe

    Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora. Nilikutana na walimu kadhaa maofisini wakiwa na ari ya kufany kazi sana. Hata wengine walininyima kabisa muda...
  13. Ngurubhe

    Uchaguzi UVCCM; Rushwa nje nje, Sadifa atuhumiwa kupokea kutoka kwa Ayoub Tesha na Mwakibinga

    Ilizaliwa uko, na itafia huko!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ngurubhe

    I miss my ex man so much jamani

    Ukikua tu utaacha Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ngurubhe

    Ndio maana husaini mikataba mibovu

    Jiwe analotupa huyu jamaa linaweza kumpiga mtoto au adui yake..ndicho tunachofanya Tanzania.Tunatupa mawe lkn hatuelewi yanaelekea wapi!. Habari!. Unajua nimekuwa najiuliza sana kwa Tanzania tunamikataba mingine tunawapa migodi kwa miaka 100;wazungu wanachukua mchanga wanaenda nao kwao,mara...
  16. Ngurubhe

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Sio kweli kuwa nikiwa ccm nakubaliana na kubalianana kila jambo.ndio mana nikasema kwa hili japo mim ni ccm sikubaliani nalo na wala si kosa kwa mwanaccm kutoa mawazo yake..
  17. Ngurubhe

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wanafunzi wangekuwa wanaona ulazima wa kusoma kwa sabab ya promissing future kama matunda ya kusoma sana..lkn hiii duu twafaa
Back
Top Bottom