Search results

  1. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watu wanawachukulia poa sana hao madogo nendeni mkawaulize wolves robo fainali walifanywa nini
  2. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kaishia kupiga picha
  3. ze-dudu

    Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

    Wenga miaka yote ile kaipa aseno ubingwa mara mbili tu Yeye na ateta hawana tofauti 😁😁😁😁
  4. ze-dudu

    Wapi Clara Luvanga

    Al nasr yupo
  5. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tunacheza mpira mbovu mpaka maamuzi ya refa tunayaona kama tunaonewa
  6. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Izi timu zitatuua kwa presha Aseno chali Liverpool
  7. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sina imani na wachezaji mpaka kocha
  8. ze-dudu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    City hii game wamecheza kiume sana mbele ya wale wavulana
  9. ze-dudu

    Bila Mwina Kaduguda Simba mtateseka sana

    Huyo ndio gwiji wa ushirikina pale simba ungeniambia marehemu hans pop ningekubaliana nawew
  10. ze-dudu

    Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

    Barua haina saini ile Mmepoozwa hasira zenu na viongozi wenu Ile barua imeishia mtandaoni mdau
  11. ze-dudu

    Mbinu za upimaji maji aridhini

    Huko dodoma maji kuyapata ni kuanzia mita 80
  12. ze-dudu

    Meli ya Maman BENITA yazama ikiwa na abiria 26, aonekana 1 tu

    Hajui huyo na bahari ikichafuka kama ivyo ilo eneo samaki hakai huwa wanakimbilia chini zaidi kwenye utulivu
  13. ze-dudu

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Proffesionalism hakuna kwa wachezaji wetu yamezubaa tu pembeni ya refa hata kulalamika hayajui
Back
Top Bottom