Search results

  1. Abuhunna

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  2. Abuhunna

    Mtoto wa miaka nane Brightson Joseph Elias wa Kinyerezi yuko kituo Mabatini Kijitonyama tangu Jumatatu

    Usalama wa raia ni moja ya jukumu la jeshi la police, sasa km ameokotwa mtoto ambae anaweza kujieleza mpk shule anayosoma inafahamika, tena ni ndani ya mkoa mmoja hapo jeshi wanashindwa vipi kumrudisha huyo mtoto kwao, huoni km kuna watu wanakwepa majukumu yao?
  3. Abuhunna

    Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

    Sasa hapo waislama wamehusikaje, acha kudharau na kebehi imani za watu, kuepuka kuichafua imani yako heshimu imani za watu wengine
  4. Abuhunna

    Simba tunakuja: Mzunguko wa pili tarehe 13/04/2024, Yanga jiandaeni kwa maumivu!

    Kwa Simba ile ya tatu mabango, dirisha dogo msipo fanya marekebisho muhimu, shida ipo pale pale.
  5. Abuhunna

    Kama kuna mzazi anasomesha mtoto wake wa kike Dodoma Media College (DMC) basi ajiandae kisaikolojia

    aliyefungua uzi km ni kweli anapaswa kuheshimiwa kwa kujuza jamii, idadi kubwa ya vijana wanao soma certificate bado ni wadogo, yaani ni wahitimu wa kidato cha nne, hii ni taarifa muhimu kwa wadau wa elimu na wazazi kujua nini kinachoendelea na kuchukua hatua za haraka
  6. Abuhunna

    Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Taarifa ya mtu kupotea kiutaratibu inathibitika baada ya masaa 48, unatoa taarifa za awali kituo cha polisi halafu unaendelea kumtafuta sehemu mbalimbali, huwenda mtu alianguaka njiani kapoteza fahamu akakimbizwa hospitali, inatakaiwa muhusika/mtafutaji kwanza upite sehemu zote hizo, yaani...
  7. Abuhunna

    Kusajili VAT (VAT registration)

    Malipo ya VAT hufanyika kila baada ya kufunga hesabu za mwezi za mfanya biashara kutokana na MANUNUZI na MAUZO alioyafanya, na hilo litajulikana kupitia mauzo/manunuzi aliofanya kwa mashine ya risiti (EFD – machine) na kiasi kinacho tozwa ni asilimia 18% ya manunuzi/mauzo yote , manunuzi/mauzo...
  8. Abuhunna

    Nina cheti cha Tally Accounting Packages, natafuta kazi

    piga 0713 555991 usome accounting packages
  9. Abuhunna

    Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Habar ndugu, kwa suala la usahihi wa mzigo kuingia, kotoka au kurudishwa uliponunua kutokana na kuharibika, pia pamoja na utunzaji wa hesabu za madeni unayodai/unayodaiwa hapo unahitaji program ya kihasibu ambazo zipo nyingi sana, mfano mzuri ni program ya Tally ERP 9 na QuickBook, changamoto...
  10. Abuhunna

    Chest Freezer nzuri sana linauzwa

    Kinachoonekana pichani ni deep freezer na sio chest freezer, rekebisha maelezo, utawachanganya wanunuzi ndugu
  11. Abuhunna

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    weka namba tuwasiliane ndugu, zingatia iwe version 5 release 4, 5 au 6 na iwe craked
  12. Abuhunna

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Nahitaji accounting software, Tally ERP9, version 5 release 4, 5 au 6
  13. Abuhunna

    Walimu wafanyiwe Usaili

    kama kuna kada inafuatiliwa kwa karibu ktk utendaji kazi, ya ualimu inaongoza, ndoo maana kuna mpk kitengo cha ukaguzi ambacho kinawakagua waalimu mara kwa mara. wakati kada nyingine toka mtu anaajiriwa mpk anastaafu hajawahi kukaguliwa utendaji kazi wake
  14. Abuhunna

    Rais Samia Msamehe Dr. Fenella Mukangara

    Wasomi wote wa kike wanakuwaga wako simple sana ktk kujipamba, hawanaga mambo ya make ups, hawana muda huo wa kupoteza kwenye kioo.
  15. Abuhunna

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Halafu ili kuutukanisha UISLAM unaanza na kutoa salam ya kiislam ili watu wajue mtoa mada kuwa ni muislam, na hayo ndio yanayo waaminisha watu kuwa waislam ni wapiga ramli, Katika mafundisho ya kiislam hakuna mtu mwenye elimu ya jambo linalotarajiwa kutokea, huo ni USHIRIKINA, na nikinyume...
  16. Abuhunna

    Ushauri wa kitabibu juu ya uchovu, ganzi na maumivu

    Pole sana kwa yanayokusibu, usahihi nenda hospitali zungumza na madaktari shida yako ndio watakupa majibu sahihi pamoja na kukupa tiba, hapa Jamii Forum kila mtu ni mtaalam hata kwa tusioyajuwa, utajiongezea mataizo.
  17. Abuhunna

    Madeni na kampuni za kukusanya madeni

    Iko hivi ndg, kawaida makampuni wanapofanya miamala ya kibishara kunakuwa na nyaraka za miala hiyo, huo ndio ushahidi wenyewe km umekopeshwa halafu ukashindwa kulipa kinachofanyika kuondoa usumbufu ktk kampuni kazi hiyo inakabidhiwa taasisi nyingine kufuatilia deni hilo kwa makubaliano ya...
  18. Abuhunna

    Prof. Janabi apiga marufuku wagonjwa kusukumwa kwenye vitanda Muhimbili

    Duh, kwani kila jambo lazima mchangie, hata km huna uelewa nalo ndugu, ni vizuri wakati mwingine kusoma maelezo ya wengine, unaweza kujifunza kitu. Mtawanyiko wa wodi zote na sehemu zote za hudama pale muhimbili zinafikika kwa miundombinu yote, yaani kuna njia za gari na kuna njia za waenda kwa...
  19. Abuhunna

    Prof. Janabi apiga marufuku wagonjwa kusukumwa kwenye vitanda Muhimbili

    Inaonekena huijui ukubwa wa muhimbili ilivyo, baadhi ya wodi na wodi au na mortuary zilipo ni umbali unaozidi kilometa moja na zaidi, ni shida sana kwa wahudumu kumuhamisha mgonjwa au maiti toka sehem moja mpk nyingine
Back
Top Bottom