Search results

  1. Othmorine

    Natafuta business partnership

    Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mimi naishi kahama mkoani shinyanga.Wazo langu ni la kufungua Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi. Nilipata sehemu karibu kabisa na transforma maeneo ya kahama vijijini.Nikapanunua na kujenga boma la mashine.Nikafuatilia tanesco masuala...
  2. Othmorine

    Sakata la Lissu kupigwa risasi: Uko wapi katibu mkuu wetu mstaafu Dr Slaa?

    Habari zenu wanajukwaa. Siku za hivi karibuni huyu Dr amekuwa akijitokeza huko aliko na kusema jambo pale linapojitokeza jambo lenye utata ktk Taifa.Lakini tangu litokee hili la Ndugu yetu Tundu Lisu kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana[emoji33] ,sijasikia wala kusoma mahala popote...
  3. Othmorine

    Ebu niambieni,je hii ni kawaida tu humu?

    Habari za jioni wanabodi. Poleni kwa stress za makanikia party 2. Kama kawaida yangu huwa sipendi kuwachosha kwa porojo nyingi. Nimekuja kwenu mnitoe tongotongo mwenzenu. Katika izi siku mbili kuna Uzi uliwekwa humu wa kutaka kujua historia ya jf.Sasa kwa bahati nzuri na Mimi nilipata nafasi ya...
  4. Othmorine

    Kwanini mimi?

    Habari zenu wanabodi. Nimatumaini yangu mu-wazima wa afya njema.Naomba nijielekeze kwenye mada husika pasi na kuwachosha. Kilichonifanya kujiuliza swali hilo hapo juu ni kutokana na mfululizo wa matukio kadhaa wa kadhaa ktk mahusiano yangu ya kimapenzi. Nakumbuka tangu nianze mahusiano ya...
  5. Othmorine

    Wako wapi wale manguli wa tetesi hapa jamii forum?

    Habari za jioni wakuu Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Nakumbuka kipindi cha nyuma,kabla ya habari yoyote haijatoka sisi humu tulikuwa tunazipata tetesi mapema kabisa na mwisho wa Siku tetesi inakuwa kweli.Hakika enzi izo tulikuwa tunaenjoy sana humu....lakini Siku izi tunashtukizwa...
  6. Othmorine

    Naomba mchango wa mawazo kwenye mada hii

    Habari za jioni wakuu, Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kunipa points za mada hii "Tanzanian Education System does not Produce Independent Tanzanian's rather than Dependent." Points ziwe zinakubaliana na mada. Natanguliza shukrani.
  7. Othmorine

    Wagombea wa serikali za mitaa ya chang'ombe temeke kupitia CCM wametoka kumalizana na wazee pamoja n

    Wadau Kumekucha uchaguzi wa serikali za mitaa.Muda mfupi uliopita nilikuwa maeneo ya hapa sokota temeke. Nilichokishuhudia ni makundi ya kina mama na wazee pamoja na vijana wachache,wakitoka moja ya nyumba zilizopo katika uchochoro uliopo karibu na bar ya Kisuma.Niliamua kumfuata mmoja kati ya...
  8. Othmorine

    Yako wapi majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2015?

    Wadau, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa baraza la mitihan Tanzania.Kwakweli kwa miaka miwili mfululizo sasa(2013&2014)wamejitahidi kutoa matokeo ya drs sa 7 mapema na kuyaweka kwenye mitandao. Lakini mbona sioni mpaka muda huu hizo shule walizopangiwa hawa vijana...
  9. Othmorine

    Paul Makonda live ndani ya mkasi EATV

    Wadau, Ebu tumsikilize kijana huyu akihojiwa na Salama.
  10. Othmorine

    Lile shindano la EBSS la madam Ritha limeishia wapi?

    Habari zenu wakuu, Mimi nilikuwa mshabiki wa kutupwa wa hili shindano la kusaka vipaji vya kuimba hapa bongo,Epiq Bongo Star Search (EBSS).Ambalo lilikuwa likifanyika kila mwaka.Lakini nashangaa mwaka huu kimyaaa....vipi kulikoni?!! Mwenye taarifa kuhusu jambo hili tafadhali naomba atujuze.
  11. Othmorine

    Ivi huu sio UONEVU kweli?

    Kila kukicha nimekuwa nikisikia matangazo ya dawa za kurefusha(kuongeza) uume.Lakini mbona sijawahi kusikia hizo za upande wa pili(za kuongeza papuchi)? Je,hii ni haki kweli? Usawa uko wapi hapa? Mbona hatuwatendei haki hawa dada zetu? Utarefushaje uume huku ukiuacha uuke katika hali ile...
  12. Othmorine

    Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Hakika leo nathubutu kumuomba msamaha ndg Nchemba kwa mawazo yangu hasi juu yake. Nilimdharau na kumzihaki!! Nilimuona kama kada maslahi kumbe sikuwa sahihi!Leo nadiriki kujitokeza hadharani na kukwambia SAMAHANI. Mchango wako wa leo bungeni ndio ulionibadilisha mtazamo wangu hasi juu...
  13. Othmorine

    Mbunge Livingstone Lusinde,ni kweli mbumbumbu au huwa anajichetua tu?

    Mara nyingi akiongea huwa hana fact zaidi ya vijembe na maneno ya kihuni tu....!!
Back
Top Bottom