Search results

  1. Mgodo Mgodoki

    Tuwe wakweli, spirit ya Yanga ya kusawazisha na kushinda haipo Simba

    Ukubwa upi huo wa Simba wa kuizidi Yanga?
  2. Mgodo Mgodoki

    Azam na Yanga sio Derby tena, Derby sasa hivi ni Ihefu vs Yanga

    Huyo ni Popoma kubwa la Mambumbumbu.
  3. Mgodo Mgodoki

    UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

    Pole sana Mwamba wa Lusaka kwa kunyimwa Juice na Waarabu.
  4. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Kwa hiyo Simba Day hamkuuza tickets mlitoa bure?
  5. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Uongo upi? Hukuwa uwanjani tulia dawa ikuingie
  6. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Leo lengo limegeuka sio kujaza Uwanja tena kama ilivyokuwa Simba Day bali ni mapato?
  7. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
  8. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Kwa Simba hii inayoongozwa kijanja janja hakuna linaloshindikana kuwafurahisha mashabiki wake mbumbumbu.
  9. Mgodo Mgodoki

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Akili za Kimbumbumbu hizi,ndio maana Ahmed Ally anawaona mazuzu.
Back
Top Bottom