Search results

  1. Malisa Godlisten

    Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Na Malisa GJ Kuna mambo mawili ningependa kueleza kuhusu hili tukio la kutekwa MO. #Mosi; nipongeze mshikamano uliooneshwa na taifa baada ya taarifa za kutekwa kutolewa. Pamoja na kwamba bado hajapatikana lakini taifa zima limeshikamana pamoja. Mshikamano huu ungeoneshwa kwa Ben Saanane, kwa...
  2. Malisa Godlisten

    Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa

    Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa. Achana na viongozi wa dini, taasisi na mashirika mbalimbali. Tuzungumzie hawa viongozi wa siasa. Unapotafuta nafasi ya uongozi kupitia siasa focus yako ni nini? What is your primary objective? Viongozi...
  3. Malisa Godlisten

    Msigwa: Bunge halijapeleka mapendekezo kwa Rais kuhusu uteuzi wa katibu

    Kamishna wa Tume ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Peter Msigwa amesema uteuzi wa Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais Magufuli hapo jana ni batili kwa kuwa ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi (null and void ab initio). Hii ni kwa sababu uteuzi huo haukufuata taratibu...
  4. Malisa Godlisten

    Kwanini mbinu zilizotumika kuwanasa waliomshambulia Meja Mritaba zisitumike kuwanasa waliomshambulia Lissu?

    Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu). Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja...
  5. Malisa Godlisten

    Diamond v/s Kiba

    Haya ni maoni ya rafiki yangu Benson Tembo ambayo nakubaliana nayo kwa 100%. ____________________________________ Ali Kiba na Diamond ni sawa na sukari na chumvi au chumvi na sukari, (vyovyote utakavyoamua kuiweka).Yaani namaanisha kuwa hawa watu wawili wana ladha zinazotofautiana ambazo zote...
  6. Malisa Godlisten

    ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07). Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu. Polisi "wamemblock" Lema katika...
  7. Malisa Godlisten

    Manji kumkataa Wakili Kibatala 'kwa sababu za kisiasa', ametishwa na nani?

    Nimestaajabu sana kusikia Manji amekataa Wakili Msomi Peter Kibatala kusimamia kesi yake na kumtetea mahakamani. Kwanza vyombo vingi vya habari vimepotosha habari hii. Vimeripoti kama vile Kibatala ndo alikua anaenda kuanza kumtetea Manji leo then Manji akakataa. Lakini ukweli ni kwamba Kibatala...
  8. Malisa Godlisten

    Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

    Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
  9. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Leo tarehe 15/04/2017 Umoja wa Kizazi cha kuhoji nchini (UTG) umefanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo sakata la kupotea kwa ndugu Ben Saanane (Katibu mkuu wa UTG). Vyombo vya habari vilivyoshiriki: TELEVISHENI; (ITV, EATV, StarTV, AzamTV) MAGAZETI...
  10. Malisa Godlisten

    Maswali mawili ya msingi kuhusu ubunge EALA

    SWALI: Uchaguzi wa wabunge wawili wa EALA kupitia CHADEMA utafanyika lini? JIBU: unapaswa kufanyika muda wowote haraka iwezekanavyo. Hii ni kwa sababu wabunge waliochaguliwa jana (wa CCM na CUF) hawawezi kuwa halali mpaka pale wabunge wa CHADEMA watakapopatikana na kutimia 9. Mkataba wa Afrika...
  11. Malisa Godlisten

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Mhe.Dr.Dalaly Kafumu (Mbunge wa Igunga na Mwenyekiti wa zamani wa Kamati ya Viwanda na Biashara) ametoa maelezo yafuatayo kuhusu agizo la kuzuia kusafirisha mchanga nje ya nchi; ______________________________________________ Suala la kuhakikisha Tanzania inachenjua madini yote hapa nchini; Mhe...
  12. Malisa Godlisten

    Wabunge Kafumu na Kamata, wajiuzulu uongozi kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara

    Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya viwanda na biashara Mhe.Dr.Dalaly Peter Kafumu (CCM) ametoa rai ya kujiuzulu uongozi wa kamati hiyo kutokana na kutofautina sana na serikali kwenye mpango wa kuifanya Tanzania we ya viwanda na kukosa muda wa kutumikia wananchi wa jimbo lake Dr.Kafumu ametoa rai...
  13. Malisa Godlisten

    Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

    Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) Ndg. Laurence Masha amejitoa kwenye kinyang'anyiro hicho kwa hoja kuwa anaamini uwezo wa Lissu katika kuiongoza TLS. Amewaomba mawakili wote waliopanga kumpigia kura wampigie Tundu Lissu.
  14. Malisa Godlisten

    Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    John Msumule, Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar amesema kuwa lazima Mfanyabiashara Yusuf Manji afikishwe mahakamani na kushtakiwa kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasio na vibali vya kuishi nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Msumule amenukuliwa akisema "Hawa tutuwashtaki, ila hatutawashtaki...
  15. Malisa Godlisten

    Taarifa za kuonekana kwa Ben, na hekaya za "kikaratasi" ofisi za MwanaHALISI

    Mwanahalisi waliweka kidokezo wiki iliyopita kuwa Ben anaonekana mtaani na kwenye vijiwe vya kahawa. Kisha wakamnukuu mjumbe mmoja wa kamati kuu aliyedai kuwa "Ben kajificha ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa" Wakaahidi kwamba toleo la jumatatu ya leo Januaru 02, 2017 wangekuja na taarifa...
  16. Malisa Godlisten

    Sioni Sababu ya Rais kuvunja Bodi ya TRA

    Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya wajumbe wa Bodi ambao ni: 1. Mwenyekiti (anayeteuliwa na Rais) 2. Katibu mkuu wizara ya fedha...
  17. Malisa Godlisten

    Maoni yangu kuhusu 'Maoni ya Dr. Slaa' juu ya pesa za wahanga wa tetemeko Bukoba

    Nimesoma maelezo ya Katibu Mkuu wa zamani wa CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa juu ya hatua ya serikali kutumia fedha za misaada za wahanga wa Bukoba kutaka kujenga miundombinu ya serikali kama ofisi za idara na taasisi za serikali, mashule, barabara etc. Dr.Slaa ameunga mkono hatua hiyo ya serikali...
  18. Malisa Godlisten

    Tuhuma za upotoshaji mikopo ya Elimu ya Juu ni Uzushi. Ipuuzwe.!

    Kuna habari inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa mimi (Malisa), viongozi wa kitaifa wa Chadema na mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi tumekula njama (conspirancy) za kufanya upotoshaji kuhusu suala la mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini. Baadhi ya viongozi...
  19. Malisa Godlisten

    Jacqueline si mtoto wa Prof Ndalichako, asihukumiwe bila hatia

    Baada ya kusambaa kwa taarifa inayoonesha wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/17 kumejitokeza mjadala mkubwa juu ya jina la binti aliyejulikana kama Jacqueline Ndalichako, akidaiwa kuwa mtoto wa Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako. Mimi ni miongoni mwa watu...
  20. Malisa Godlisten

    CCM acheni propaganda za kitoto

    Niliwahi kusema hapa kwamba ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana kichwani. Huwezi kuwa muongo halafu kilaza, utaumbuka tu. Bahati mbaya wafuasi wengi wa CCM ni vilaza, kwa hiyo kila wakibuni uongo wanaishia kuumbuka. Katika maandalizi ya UKUTA, serikali ya CCM na vyombo vyake wanafanya...
Back
Top Bottom