Search results

  1. Malisa Godlisten

    Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Na Malisa GJ Kuna mambo mawili ningependa kueleza kuhusu hili tukio la kutekwa MO. #Mosi; nipongeze mshikamano uliooneshwa na taifa baada ya taarifa za kutekwa kutolewa. Pamoja na kwamba bado hajapatikana lakini taifa zima limeshikamana pamoja. Mshikamano huu ungeoneshwa kwa Ben Saanane, kwa...
  2. Malisa Godlisten

    Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa

    Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa. Achana na viongozi wa dini, taasisi na mashirika mbalimbali. Tuzungumzie hawa viongozi wa siasa. Unapotafuta nafasi ya uongozi kupitia siasa focus yako ni nini? What is your primary objective? Viongozi...
  3. Malisa Godlisten

    Msigwa: Bunge halijapeleka mapendekezo kwa Rais kuhusu uteuzi wa katibu

    Kamishna wa Tume ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Peter Msigwa amesema uteuzi wa Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais Magufuli hapo jana ni batili kwa kuwa ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi (null and void ab initio). Hii ni kwa sababu uteuzi huo haukufuata taratibu...
  4. Malisa Godlisten

    Kwanini mbinu zilizotumika kuwanasa waliomshambulia Meja Mritaba zisitumike kuwanasa waliomshambulia Lissu?

    Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu). Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja...
  5. Malisa Godlisten

    Diamond v/s Kiba

    Haya ni maoni ya rafiki yangu Benson Tembo ambayo nakubaliana nayo kwa 100%. ____________________________________ Ali Kiba na Diamond ni sawa na sukari na chumvi au chumvi na sukari, (vyovyote utakavyoamua kuiweka).Yaani namaanisha kuwa hawa watu wawili wana ladha zinazotofautiana ambazo zote...
  6. Malisa Godlisten

    ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07). Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu. Polisi "wamemblock" Lema katika...
  7. Malisa Godlisten

    Manji kumkataa Wakili Kibatala 'kwa sababu za kisiasa', ametishwa na nani?

    Nimestaajabu sana kusikia Manji amekataa Wakili Msomi Peter Kibatala kusimamia kesi yake na kumtetea mahakamani. Kwanza vyombo vingi vya habari vimepotosha habari hii. Vimeripoti kama vile Kibatala ndo alikua anaenda kuanza kumtetea Manji leo then Manji akakataa. Lakini ukweli ni kwamba Kibatala...
  8. Malisa Godlisten

    Engineer Pamela Maassay; mwakilishi sahihi Ubunge wa Afrika Mashariki

    Kuhusu kama kamaliza au bado hajamaliza angeulizwa aliyeweka thread. Mimi nimemjibu "mjuaji" mmoja aliyepotosha kwamba UDSM hawatoi MPH.
  9. Malisa Godlisten

    Engineer Pamela Maassay; mwakilishi sahihi Ubunge wa Afrika Mashariki

    Mkuu unazungumzia UDSM ya Tandale au ya Keko Magurumbasi? Kama ni UDSM ya Mlimani inatoa MPH tangu mwaka 2014. Tayari kuna intake mbili zimeshagraduate, intake ya kina Pamela ni ya 3. Next time jaribu kuuliza kuliko kuonesha umma namna ulivyo outdated. Kwa taarifa zaidi ingia hapa...
  10. Malisa Godlisten

    Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

    Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
  11. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Mkuu Ben aliondoka nyumbani kwake Tabata, asubuhi ya tarehe 18/11/2016 na hata kijana aliyekua anakaa naye alidhibitisha hivyo. Sasa kama mtu aliyekua anakaa nyumba moja na Ben anadhibitisha aliondoka tar.18 halafu mawasiliano ya Ben yanaishia tar.16 we huoni tatizo?
  12. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Shida kubwa ya nchi hii ni kuwa na wajinga wengi wanaojifanya wajuaji. Mtu anahoji UTG ilikua wapi, wakati andiko linaelezea hatua ambazo UTG imechukua tangu siku ya kwanza iliporipotiwa Ben kapotea. Tangu mwezi November UTG imechukua hatua mbalimbali na wameeleza yote kwenye hiyo taarifa yao...
  13. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Siku nyingine kama hujui kitu uliza. Ni aibu kuonesha hadharani namna ulivyo mjinga. Ngoja nikusaidie. Kwenye kufuatilia mawasiliano ya mtu tunaangalia simu (IMEI), namba ya simu (MSISDN), OTHERPARTY, aina ya mawasiliano (CALLTYPE), muda (DURATION), Mnara simu ilipopigwa au sms ilipotumwa...
  14. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Hili ni tamko la UTG. Haliwazuii Mwanahalisi kutoa tamko lao kama wataona kuna haja ya kufanya hivyo.!
  15. Malisa Godlisten

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Leo tarehe 15/04/2017 Umoja wa Kizazi cha kuhoji nchini (UTG) umefanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo sakata la kupotea kwa ndugu Ben Saanane (Katibu mkuu wa UTG). Vyombo vya habari vilivyoshiriki: TELEVISHENI; (ITV, EATV, StarTV, AzamTV) MAGAZETI...
  16. Malisa Godlisten

    Maswali mawili ya msingi kuhusu ubunge EALA

    SWALI: Uchaguzi wa wabunge wawili wa EALA kupitia CHADEMA utafanyika lini? JIBU: unapaswa kufanyika muda wowote haraka iwezekanavyo. Hii ni kwa sababu wabunge waliochaguliwa jana (wa CCM na CUF) hawawezi kuwa halali mpaka pale wabunge wa CHADEMA watakapopatikana na kutimia 9. Mkataba wa Afrika...
  17. Malisa Godlisten

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Mhe.Dr.Dalaly Kafumu (Mbunge wa Igunga na Mwenyekiti wa zamani wa Kamati ya Viwanda na Biashara) ametoa maelezo yafuatayo kuhusu agizo la kuzuia kusafirisha mchanga nje ya nchi; ______________________________________________ Suala la kuhakikisha Tanzania inachenjua madini yote hapa nchini; Mhe...
  18. Malisa Godlisten

    Wabunge Kafumu na Kamata, wajiuzulu uongozi kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara

    Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya viwanda na biashara Mhe.Dr.Dalaly Peter Kafumu (CCM) ametoa rai ya kujiuzulu uongozi wa kamati hiyo kutokana na kutofautina sana na serikali kwenye mpango wa kuifanya Tanzania we ya viwanda na kukosa muda wa kutumikia wananchi wa jimbo lake Dr.Kafumu ametoa rai...
Back
Top Bottom