Search results

  1. Kibukuasili

    Uongo na upotoshaji unaosambazwa kuhusu ujio wa DP World Tanzania

    Kilichopo ni kwamba wamebadilisha wanaonufaika na bandari. Mwanzo ilikua watanzania wenzetu walioamua kuwa wezi, sasa ni mwarabu. Kwa mtanzania wa kawaida panaweza kuwa na nafuu kama mwarabu ataleta ufanisi na kupunguza gharama za kutoa mizigo. Hilo ndio tarajio langu. Vinginevyo tumebadili...
  2. Kibukuasili

    Padri wa Kanisa Katoliki aliyefukuzwa afunguka

    Lingine nafikiri ni kutoa siri ya kitubio
  3. Kibukuasili

    Hatari za kuchelewa kuoa

    Ndoa ni zawadi toka kwa Mungu. Usimpangie lini akupe. Uki force kutokana na pressure za jamii utaichukia Mke kukuheshimu inategemea na wewe mwenyewe unavyojiheshimu, unavyomuheshimu na unavyoyaheshimu maisha. Nyingine ni stori za vijiweni.
  4. Kibukuasili

    Mambo Nyeti Usiyoyajua Kuhusu Iddi Amin Dada, Kula Nyama za Watu?

    Idd Amjn alikua kiongozi mzuri tu sema hakuwa msiri kama viongozi wengine wa afrika. Mambo aliyoyafanya wanafanya na wengine lakjni kwa siri Alifukuza wahindi kwa sababu wakati waingereza wanakndoka mojawapo ya makubaliano ni kugharamia kuwarudisha wahindi kwao India au kuwachukua kwao...
  5. Kibukuasili

    Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

    Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari. La sivyo utahoji kila kitu. Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme...
  6. Kibukuasili

    DOKEZO Uwanja wa Ndege wa Zanzibar una huduma mbovu, mtalii anazongwa na watu wenye uniform na wasio na uniform utadhani mwizi

    Msafiri kutumia hata zaidi y nusu saa airport ni kawaida duniani. Kikubwa ni kuwe na utaratibu unaoeleweka . Kitendo cha wageni kuhangaishwa kiholela na wafanyakazi wasio na uniform na vitambulisho waljvyovaa wamevigeuza usiweze kusona jina ndio tatizo. Kama kuna utaratibu mzuri mgeni ataona...
  7. Kibukuasili

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Sijui kama na fit kwenye kundi hili au la. Ni hivi Sipendi kuangalia TV Kabisa. Naangalia pale tu kukiwa na tukio maalum. Pia nikipata TV series nzuri za action like NCIS la huwa naangalia Sipendi soka! Napenda michezo lakini sio soka. Rafik zangu hunishangaa nikikaa naangalia marathon live au...
  8. Kibukuasili

    Mwili wa Padre aliyetoweka jimboni Mbeya Juni 10, waokotwa kando ya mto

    Siku hizi upadre sio wito, ni kazi tu kama utabibu, udereva, ukuli, nk. Matatizo wanayokutana nayo mapadre ni matokeo ya kukosekana wito. Wito umeondoka na heshima iliyokua imeambatana nao, kwa hiyo sasa mapadre hawana heshima tena. Wakiteleza Dunia inawaadabisha kidunia
  9. Kibukuasili

    Katika Mikenge wananchi wa kawaida tuliwahi kuingizwa na kununua hisa za Voda

    Kwenye uwekezaji kuingia chaka ni kitu cha kutegemea has ukiwekeza bila kufanya utafiti mzuri. Sehemu sahihi au salama ni UTT au kwenye govt securities, japo huko returns ni ndogo. Kama unafuata "the higher the risk the higher the returns" ujue ni risk ipi uko tayari kuipokea. Mimi nilikosea...
  10. Kibukuasili

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.
  11. Kibukuasili

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Mchangiaji alitolea Tabata kama mfano tu
  12. Kibukuasili

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Uko sawa 100% Mama D. Mtoto wa miaka 4 unamwamsha kwa alarm? Huyu anatakiwa alale mpaka aamke mwenyewe usingizi unapomwisha. Kuna haja ya waalimu kuanza kuspecialise kwenye private schooling kwa watoto. Watapata sana watu
  13. Kibukuasili

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Darasa la nne? Kwanza hata huo mtihani wa darasa la nne ni kupoteza pesa na kusumbua watoto. Hauna maana yeyote ile. La nne mtoto bado ni wa kubembeleza aipende shule sio kumpa ratiba kama anasomea rocket science.
  14. Kibukuasili

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Watu wanafanywa fursa bila kijijua. mmoja aliniambia hana mtu wa kumwachia watoto akienda kazini. Nikamwambia ni cheap kumwajiri mwalimu mmoja aje kucheza na watoto nyumbani kuliko kuwapeleka day care. Ni kutesa watoto tu
  15. Kibukuasili

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Kuna matatizo sehemu nyingi hapa. Hata wazazi tuna matatizo pia. Inakuaje mzazi unakaa 12 km kutoka shuleni kwa mtoto tena umepanga? kwa nini usipange karibu na shule ya watoto wako unaamua kupanga karibu na kazini kwako? Kwa nini mzazi usimtafutie mtoto shule karibu na nyumbani. Kama kwa...
  16. Kibukuasili

    Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Acha kiburi, badilisha tangazo nyumba yako ionekane vizuri uuze. Utaishia kukaribisha watu tu mpaka lini. Mtu yeyote mwenye akili akiona tangazo lina muda mrefu linazimuliwa tu kama pombe ya kienyeji analipotezea. eti "karibuni sana"
  17. Kibukuasili

    Mlinzi wa maktaba ya mkoa Kilimanjaro anawalinda makahaba wa Malindi, afutwe kazi

    Sikiliza wewe, hii stori ni yako usizungushe mambo hapa. pole sana lakini acha hayo mambo. Dunia imebadilika sana hata huko mikoani mambo sio mazuri.
  18. Kibukuasili

    Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

    Ugali una wanga mwingi sana kwa hiyo unafaa kula watu wanaofanya kazi zinazohitaji matumizi ya nguvu nyingi. Sio chakula cha mtu wa kazi za wastani.
  19. Kibukuasili

    K Vant na tatizo la kusahau

    Sema whiskey za dar es salaaam zina tofauti kidogo kwenye ladha na za sehemu nyingine hasa nje ya tanzania. Brandy nazo hivyo hivyo. Nimewahi kunywa hennessy vs nairobi kwa muda kidogo kisha nikaja kunya dar, tofauti kwenye taste. Labda mdomo wangu unaniongopea au hali ya hewa au nini sijui...
Back
Top Bottom