Search results

  1. muhala.jr

    SALLAM SK,Mmiliki wa DIzzim FM ya morogoro anaogopa kumashawishi Diamond alete wasafi FM morogoro??

    Hapa morogoro kuna redio kadhaa pendwa moja wapo ni Dizzim fm ambayo mmiliki wake ni salam sk (meneja wa WCB/Diamond platinums, cha ajabu rediao ya wasafi mpaka leo hailetwi morogoro imeruka imeenda dodoma na iringa,je nikwamba anaogopa kumuongeza competition kweny industry yake,mana tayr kuna...
  2. muhala.jr

    Mchongo pesa ya Clouds FM na Mshindo milionea ya EFM, ni uhalisia au ujanja wa kuibiwa watu

    Habari JF, Recently kumekuwa na hizi Bahati nasibu mbili (kamali) toka kwa vituo vya redio E FM na Mawingu FM, wanajinasibu kua wanatoa milion moja kw watu watatu afu wanampigia simu mshindi mmoja ati awakilishe wengine, kwanini msipige kwa wote watatu ili tujue sio ujanjaujanja. By the way...
  3. muhala.jr

    Msaada madgurd za toyota allex

    Je nawez kupata wapi zile madgurd za chin ya gar kw toyota allex.
  4. muhala.jr

    Oil gani nzuri zaid kwa Toyota Allex?

    Salaam, Naomba nijuzwe nitumie Oil gani kwa both engine and G.Box kwa gari yangu ya Toyota allex? Nikijua na bei nitashukuru zaidi.
  5. muhala.jr

    Naomba ushauri wa Size ya Tyre kwa Toyota Allex

    Habar wakuu, Nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa Toyota Allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran?
  6. muhala.jr

    Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa ngozi?

    Habari wana JF, Recently kumetokea ugonjwa wa ngozi haswa kwa maeneo ya Dar na Moro, ambapo mwili huwasha na kutoa vipelepele ambavyo hutoa kama maji maji hivi na hali hii hutokea kwa wakubw na wadogo. Je, ni ugonjw wa msimu?
  7. muhala.jr

    Toyota runX X or allex Inahitajika

    Habari mwenye gari tajwa hapo naomba anichek 0678265683. Sitaki Dalali maana wamekuwa na ubabaishaji unaenda kukuagua gari Kigambon mara gari haipo ipo Sinza mara gari ipo Mwenge. So kama ni Dalali usinitafute kabisa.
  8. muhala.jr

    Toyota Run x, allex or premio

    Salama wakuu. Nahitaji gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na Muuzaji akiwa mmiliki itakua jambo zuri zaid.isiwe repainted.isiwe rangi nyeupe wala nyekundu, offer ni 7M. Nawasilisha. Whatsapp 0744265683
  9. muhala.jr

    Maisha ya bweni, shule za serikali; unakumbuka nini?

    Salama wakuu. Najarbu ku flash back yale mambo ya secondary haswa O'level kwa shule za bweni. Binafsi nakumbuka mambo mengi ila Haya makubwa Mawili nakumbuk zaidi. 1: Ilikua asubuhi sana nikiwa Nina kama siku tatu tangu nimeingia bweni form one pale Puguboy. Nikaamka zangu asubuhi na mapema...
  10. muhala.jr

    Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Daihatsu MiRA

    Nimeona mahali haka kagari kanaitwa daihatsu mira. Kako na Cc 660 ila kama body shape kali sana kama porte flank hivi au Toyota aqua. Naomba kujua kuusu hizi gari maana nadhani ni same like terios kid. Sasa je spare zake na mapungufu yake ni yapi. NB: Tuonataka kununua gari karibuni tunahaha...
  11. muhala.jr

    Ipi inafaa kati ya Spacio, IST, Raum na Alteza?

    Habari wadau.. Naomba kwa wajuaji wanijuze gari gani inafaa apo kwa ss watu tunaohitaj kumiliki gari kwa mara ya kwanza. NB: Nataka kununua kwa mtu mkononi so ukinambia na maelezo ya kuzingatia nitashukuru.
  12. muhala.jr

    Msaada wa kupata cheti cha ndoa BAKWATA

    Naomba kujua namna au utaratbu wa kupata cheti cha ndoa kile ambacho kinatambulika serikalini..mimi ninacho kile cha BAKWATA niliende RITA wakasema niende BAKWATA sasa kwa mwenye kujua utaratibu wao aniambie.
  13. muhala.jr

    Wanafunzi wa Kidato cha Nne mwaka 2019 waliochaguliwa Vyuo vya Ualimu ngazi ya Diploma hatma yao ni nini?

    Habari wana JF, Kama kuna anayejua hatma ya hawa vijana ambao Serikali iliwapangia kwenda kusoma Vyuo vya Ualimu level ya Diploma na baada ya miezi sita chuoni wakarudishwa nyumbani kwa kuambiwa vyuo vimefungwa wakisubiri muongozo wa Wizara juu ya mtaala wao hatma yao ni nini!? Wengi walipata...
  14. muhala.jr

    Toyota mark X vs Toyota brevis

    Wakuu salama, Kwa Mwenye ujuzi na magari haya mawili yote yawe Yana Sifa zinazofanana kwa mana production year engine capacity na mileage ipi ni gari bora zaid? Toyota mark X Toyota brevis
  15. muhala.jr

    Msaada wa gharama za nyumba/chumba Morogoro

    Habari JF. Nimepata transfer kuja Morogoro kikazi mjini ila sina wenyeji hapo kabisa hivyo naomba kujua gharama za chumba kimoja ambacho ni self container pawe na maji na security nzuri naweza pata kwa bei gani. Au hata chumba na sebule cha quality hio. Na maeneo mazuri ya kuishi kwa...
  16. muhala.jr

    Ac milan vs Juventus, Zlatan vs Cr7 lete mtazamo

    Kuna nusu final leo ya copa italia. Ila batle kubwa ni hawa watu wawili. Mreno Cr7 na m Sweden Zlatan Ibramovc. Lete mtazamo wako Sent using Jamii Forums mobile app
  17. muhala.jr

    Uraibu wa michezo ya kubahatisha unanipa umasikini, nijitoe vipi?

    Habari, bila shaka kuna wana Psychology humu naomba msaada namna gani naweza kuacha mchezo huu wa betting maana naliwa kila siku ila sikomi hela zinaisha tuu. Kila siku najipa moyo nitapata tu. Namna gani naweza kujizuia hii hali? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. muhala.jr

    Viongozi wa jiji la Dar safisheni jiji liwe safi ndio mkamate mtu akitupa ovyo taka haswa maeneo ya Mjini

    Salaaaam...kumekua na awa jamaa sjui wanapewa tenda toka kwa nan.lakini haswa wapo maeneo ya kariakoo na posta wakiona umetupa au kuangusha hata tiketi tuu watakuganda ao kama vile nini kikubwa wanakupa vitisho tuu uwape hongo.maswali ya msingi je kuna dustbin za kutosha? Jibu hapana unawez...
  19. muhala.jr

    Jengo linauzwa lipo Chanika

    Habari. Kuna jamaa ana-emrgence anauza eneo lake lipo Chanika, unashuka Kituo cha Buyuni kutoka Stand hadi hapo mwendo ni dakik 15. Kina nyumba ipo katika lenta ya vyumba viwili na kimoja ni master. Kuna sebule, choo cha public na eneo la 28×30. Umeme upo jirani. Bei ni milioni 7...
  20. muhala.jr

    Tunaofuatilia BSS tukutane hapa

    BSS top 3. Yako weka hapa... 1. Patric Aulsen 2. Leonard 3. Patricia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom