Search results

  1. Ntemi Kazwile

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Nimekuwa nikitafakari namna ambavyo nchi yangu inaendeshwa naomba kuwashirikisha GT wenzangu juu ya potential white elephant iliyotengenezwa kwenye DARTS. - Je ni kweli DARTS ilikuwa ndiyo best option (in terms of cost, efficiency and priority)ya kupunguza msongamano Dar? - Je hizi nyumba za...
  2. Ntemi Kazwile

    Watoto kutekwa na kuuwawa je hii ni ya kweli??

    UHALIFU WA KUTEKWA WATOTO NA KUUAWA JIJINI DSM, WAZAZI, WALEZI KUWENI MAKINI Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuhusu ujumbe unaozunguka kwenye mitandao pamoja na ile ya kijamii, ikiwa ni pamoja na simu za mikononi kuhusu utekaji watoto jijini Dar es Salaam...
  3. Ntemi Kazwile

    Utekaji na unyang'anyi wa kutumia nguvu unaongezeka kwa kasi

    Kwa takribani wiki mbili hivi wananchi wa maeneo ya Kiwalani, Jeti, na maeneo ya jirani na hayo waliishi kama wakimbizi kwa hofu kubwa ya kunyang'anywa, kuonewa na kuumizwa na kikundi kilinachojiita Mbwa Mwitu. Hawa Mbwa Mwitu ni kundi kubwa la wahalifu (takribani 20 au zaidi) wanaofanya kazi...
  4. Ntemi Kazwile

    Rwanda inahitaji maombi

    Kufuatia malalamiko ya Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda nimejaribu kufuatilia habari zinazoandikwa kwenye gazeti la serikali ya Rwanda la News of Rwanda. Nimesikitishwa na tone iliyomo kwenye makala zilizo nyingi kwenye gazeti hili, nyingi ni za propaganda ambayo inachochea mgawanyiko zaidi...
  5. Ntemi Kazwile

    MTA mbioni kununua hisa za SLT

    Bila shaka Tanzania itapata kodi yake kwenye hii transaction Metals of Africa expands footprint in Tanzania
  6. Ntemi Kazwile

    Kulima nilime mimi, shida nipate mimi, halafu mteja unichagulie?

    Wakulima wa Tanzania ni miongoni mwa watu wenye dhiki na shida zisizomithilika. Kodi wanalipa lakini serikali yao haiwapatii huduma za jamii-shule wanazosoma watoto wao ni vichekesho vitupu, miondombinu (barabara, mawasiliano, etc) ni kejeri kubwa, mbwa wa watawala wanapatiwa huduma za afya...
  7. Ntemi Kazwile

    Serikali iitishe harambee tuimarishe reli ya Dar - Kigoma - Mwanza

    Kufuatia mikakati ya nchi za Kenya, Uganda and Rwanda kuiengua nchi yetu kwenye mipango ya jumuia ya Afrika Mashariki nashauri yafuatayo yafanyike haraka iwezekanayo ili kuliwezesha taifa kuwa na uwezo wa kusafirisha mizigo kwa haraka na kwa gharama kidogo ili kuhakikisha kuwa mizigo ya nchi...
  8. Ntemi Kazwile

    Mradi wa nafaka zenye lishe mmmmm

    Huu mradi ulizunduliwa na mheshimiwa hivi karibuni kwenye mojawapo ya viwanda vya Bhakresa. Kwa maoni yangu hii ni mojawapo ya mipango yenye malengo tata. Baada ya muda mchache tutalazimishwa kununua nafaka zenye "virutubisho" ambazo zitakuwa zinazalishwa na wachache ambao watadhibiti bei za...
  9. Ntemi Kazwile

    Website ya Wizara ya Fedha, mmmmh

    Jamani hivi hakuna minimum standards za website za wizara zetu? Nimetazama website hii nikadhani naangalia website ya ki-jikampuni kinachokaribia kufilisika, au serikali yetu haina uwezo wa kutengeneza website nzuri?? Au ni masharti ya wawekezaji, aka wadhamini wa serikali? http://www.mof.go.tz/
  10. Ntemi Kazwile

    Mh Mnyika nisaidie kupata maelezo kutoka TCRA

    Kuna tatizo gani kwenye mitandao yetu ya simu za mkononi? Airtel yatosha, really! Siku za karibuni kuna tatizo kubwa kwenye mitandao ya simu kwani kwa wiki sasa Airtel wamekuwa useless. Mara waseme congestion, mara failed mara husikii kitu halafu bado wanakukata hata kama hujaongea kitu...
  11. Ntemi Kazwile

    Mbowe na siasa

    Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea. Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama...
  12. Ntemi Kazwile

    Maswali ya dini polisi yakomeshwe

    Leo nimejikuta mikononi mwa polisi, miongoni mwa maswali yaliyonikela ni kuulizwa dini yangu. Kwa mazingira ya sasa swali hili inabidi lisiulizwe kwani udini unashika kazi na dini inaweza kukukosesha haki yako. Kama swali hili ni la mhimu polisi basi na waislamu walikuwa sahihi kuomba...
  13. Ntemi Kazwile

    Kagasheki hana ubavu wa kuisafisha kadhia hii

    Balozi Kagasheki amewafukuza baadhi ya watendaji wa wizara yake kwa kadhia ya usafirishaji nje ya nchi wanyama hai. Kwa maoni yangu mtu pekee ambaye angeweza kufanya hivyo ni Rais, na siyo sasa bali miezi kadhaa nyuma. Wahusika wakuu ambao walitakiwa wawe wameshafunguliwa mashitaka na...
  14. Ntemi Kazwile

    CCM hawakuhitaji kura za wafanyakazi kushinda 2010 na hawazihitaji 2015

    Kupitishwa kwa Sheria ya mafao ya uzeeni inayozuia wafanyakazi kulipwa withdrawal imedhihirisha kuwa CCM si chama cha wafanyakazi na wakulima bali cha wafanyakazi, kingekuwa cha wafanyakazi kingeheshimu matakwa ya wafanyakazi. Mh Kikwete aliwahi kusema kuwa hata kama wafanyakazi wasipompatia...
  15. Ntemi Kazwile

    Looking for a website designer and hosting

    I would like to launch my website as soon as possible, the website should be able to store visual information that can easily be accessed. Anyone with the ability to assist me kindly drop an e-mail at nkilijiwa@hotmail.com
  16. Ntemi Kazwile

    Dawasco mnahabari na uharibifu huu wa Kibamba?

    Kuna uharibufu wa hali ya juu umefanyika Kibamba, maji yanamwagika hovyo, mabomba yamekatwa hovyo na hii ni mara ya tatu ndani ya mwaka na kila mara tulilazimika kuchangishwa ili turudishiwe maji na hela tunayolipa wala hatupewi risiti.
  17. Ntemi Kazwile

    Huu ni utapeli, wizara ya elimu mnajua hili?

    Kuna mtindo umeibuka kwa shule za binafsi kuwalazimisha watoto wa shule kuchangia ujenzi wa hostel za shule (mfano St. Anthony), siyo hilo tu bali wanafunzi pia hutakiwa kulipa gharama za ukarabati wa majengo mbali ya kuwa karo katika shule hizi ni za juu sana. Ninatoa wito kwa wizara ya elimu...
  18. Ntemi Kazwile

    Amiri jeshi mkuu Dr, Dr,

    Naona sasa haya maudokta hayatoshi sasa linapigiwa upatu la Amiri Jeshi Mkuu, mpaka tunafika 2015 tutakuwa tumesikia mengi
  19. Ntemi Kazwile

    Danger, Hatari.... Ugonjwa huu unazidi kushika kasi!

    Tycoon secured Sh500m loan on airport land*- News*|nation.co.ke NHIF: Investigate by all means but ensure poor out-patients are insured*- Jaindi Kisero*|nation.co.ke Haya ni madudu mawili kwa majirani zetu, wasiwasi wangu ni kuwa huenda majirani zao wa Bongo (aka akili nyingi) walishaanza...
  20. Ntemi Kazwile

    Mpendazoe fanya harambee utatue kero za wapiga kura

    Fred, Nakushauri uanze maandalizi ya kuchukua jimbo. Kwa kuanzia nakushauri uanze na harambee ya kuweka kifusi/mitaro kwenye barabara ya Barakuda - Vingunguti ambayo imesahaulika na serikali ya CCM. Ukiitisha mkutano wa harambee maeneo ya Barakuda wananchi watachangia kuondoa kero ya...
Back
Top Bottom