CAG ripoti nyingi zinatumika kama fimbo za wanasiasa na watu wengine ku settle scores ambazo wakati mwingi hazina uhalisia zaidi ya kutimiza matakwa yake au ya waliomtuma
Kama hujui naomba nikukumbushe kuwa kipindi cha mzee Mwinyi ndicho kipindi ambacho waliosimamia maslahi ya wanyonge walipotezwa kuliko awamu yoyote ile. Loliondo iliondoka na Kabendera, kuna kashifa ya ngano chafu iliondoka na mkemia, kashifa ya Chavda iliondoka na mtu (watu)...
Kwa uchache. Ni...
Yaani katika watu cheap na ambao hawastahili hata kuwa wajumbe wa nyumba 10 ni pamoja na huyu mdini na fisadi anayeitwa Zitto Zuberi Kabwe.
Huyu anapata wapi ujasiri wa kumtukana Magufuli?
Hivi nchi yetu ilishawahi kushuhudia uhujumu uchumi uliofanywa na mtandao wa JK, au ule uharamia wa...
Upumbavu ni kama huu wa kwako. Hiyo kampeni yenu chafu mda si mrefu itaanza kutugharimu hata tusiokuwa na hatia. Hata Rwanda na Burundi walianza hivi hivi kabla ya genocide
Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na...
Kweli kabisa, hii kampeni chafu inayoratibiwa na wachaga itatuvuruga sana kama hekima haitatumika.
Kama JPM aliwaumiza wasiwaingize Wasukuma wote, unatuingiza hata ambao hatukuwa na elements za ukabila tuanze kuwa wakabila
Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja.
Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli
Mwambe anajua kabisa kuwa kabla ya mkataba wowote kusainiwa kunakuwa na MoU ambayo ndo huwa basis ya mkataba husika. inawezekana mkataba ulikuwa haujasainiwa ila MoU ilisainiwa, asitake kumdhalilisha hivyo huyu mzee aliyejipumzikia, RIP JPM
Siyo kweli, PLC ni Public Limited Company. Kampuni yoyote yenye wanahisa zaidi ya 50 kwa sheria yetu ni lazima iwe PLC na siyo kweli kuwa PLC zote ziko "listed"
Hebu acheni kumislead watu, hawa watuhumiwa walishafutwa na JWTZ wakati wanakamatwa, harafu hii kesi bado inaendelea na Mbowe inaweza ikamfunga vilevile kwa makosa anayoshitakiwa nayo. Wasingekuwa na ushahidi na kesi iliyosimama wasingeanza kusikiliza kesi, wangeipiga kalenda tu wakisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.