Timu ya mpira wa miguu ya vijana wa kati ya miaka 12-16 huko Nchini Thailand waliokwama zaidi ya siku tisa, leo hii wameokolewa wakiwa hai.
Waliingia kwenye mapango hayo makubwa yanayopatikana kwenye milima iliyo kaskazini mwa Thailand na baada ya hapo Mvua kubwa ikanyesha na kisha maji...
Kwa kweli ni kitambo sana, naona kama miaka hivi. Bora umerudi hewani kwa kweli tulimiss stori, Umbea, Habari mbalimbali hata Elimu na maarifa tulimiss sana.
Senior Water Supply Specialist The Water and Sanitation Program (WSP), is a multi-donor trust funded program administered by the World Bank, comprising a field-based network of over 70 professionals based in four regional teams (Africa, East Asia Pacific, Latin America, and South Asia)...
TANROADS Cashier Requirements :Minimum holders of Ordinary Diploma in Accounting or Certificate of Accountancy from any recognized InstituteMust be Computer literate (at least Advance Certificate in Computer Application)Must be fluent in both written and spoken Kiswahili and English...
ACBF COMMUNICATIONS OFFICER – WRITER/EDITOR
GOAL South Sudan Financial Controller
Malaria Consortium Business Development Plan International Counter Fraud Specialist
IGAD Regional Expert
Coordinator of IGAD Development Partners
SENIOR IT SOLUTIONS ARCHITECT , KENYA
Marie Stopes...
Nafasi za Kazi za Leo, Kuna Barrick, NMB , Tigo na zingine nyingi.
SolidarMed General Internist Practitioner
National Registration Bureau Technical Advisor (TA) Malawi
Saferworld Country Manager - South Sudan
Danish Refugee Council Area Manager - Puntland
NGO Safety Program (NSP) Area...
Acha kujigamba na maelezo yasio na vigezo na masharti. Awe na dhamana ya kitu gani? Pili awe na sifa zipi? Muda wa kurejesha ni lini tangu achukue mkopo? Riba yenu ni kiasi gani? Na mengine nitaendelea.....
Nachukia sana zile Sandwich za Precision Air mie, sijui ATCL wana connection yoyote kwa International Airlines? Maana mie nikitoka Addis Ababa kwenda Mwanza lazima nakutana na Precision Air hata Nairobi nakutana nao.
Mara nyingi uzoefu au ujuzi wa kitu fulani huwa kinakufanya uweze kupata kazi. Hii inategemeana na jinsi unavyojinadi kwa wale waliozitangaza hizo nafasi za kazi.
Pia jitahidi kuapply maana huwezi kukaa tu bila kuapply.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.