Search results

  1. Manun'guniko

    Hili jambo limeniumiza sana

    Habari zenu jamani Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita. Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana...
  2. Manun'guniko

    Nataka nianze kurusha!

    Mwanaume; baby unajua nataka nianze kurusha ndege angani... Mwanamke; nyooooooooooo! Kurusha vocha kwenyewe huwezi itakuwa ndege!
  3. Manun'guniko

    Nipo tayari kuingia sasa

    Habar zenu waAfrika kamili. Kwa kifupi mimi ni mzima kabisa yaani sijui niseme nini kwa kweli nashukuru kichwa kimepona japo kilikuwa kinauma kwa mbali. Sijaja humu kwa salamu tu kwa sababu nitaishia kukosolewa lengo kuu ni kuhusu mahusiano nilikuwa naogopa kuingia katika mapenzi kwa sababu...
  4. Manun'guniko

    Ushauri kuhusu sikukuu

    Jamani tusherekehe vizuri eid tuepuke michepuko maana furaha ikizidi tunachepuka tafadhari tusichepuke. Ni ushauri tu kwa wote.
  5. Manun'guniko

    Love story-3

    LOVE STORY-3 Baada ya miriamu kusikia vile kutoka kwa mama wa Brayan alikimbia na kutoka nje ya nyumba Brayan alimkimbilia na alipotoka nje alimkuta analia alijaribu kumbembeleza lkn miriamu alilia sana huku akiongea kuwa mimi maskin ndo natengwa hivyo? Mimi mwenyewe sikupenda nilitamani niwe...
  6. Manun'guniko

    Love story

    Habari zenu....nawaleteeni LOVE STORY...ni miriamu binti mzuri mpole na ambae amelelewa ktk mazingira ya kimaskini lkn n mwenye tabia nzur na mwenye kuridhika na maisha yake hajawahi kupenda ila amependwa na wanaume wengi ambao naweza kusema hawana malengo na yeye ila kumtamani kwa uzur wake...
  7. Manun'guniko

    Kwa wapenzi wa tamthilia

    Tamthilia ya when you where mine inakalibia kuisha ungependekeza tamthilia gani ifwate baada ya hiyo?....maoni ya wengi ndio yatafwata asanteni
  8. Manun'guniko

    Huyu dada ameelemewa, anaomba ushauri

    Habari zenu jamani,
  9. Manun'guniko

    Niwowe nisiwowe

    Hadith hadithi!
  10. Manun'guniko

    Maua katika mapenzi

    asanten.
  11. Manun'guniko

    Nisichokwe jaman

    Ndo naingia hivyo jamani kukaribishwa muhimu ila nikikaribishwa msinichoke...habar zenu kwanza
Back
Top Bottom