Mara nyingi ninaona neno nga kabla ya li, na (tense) , kama vile, ningalikuja .....
tafadhali, unaweza kunieleza nga ni nini? Na nipatie mifano kwa kuandika sentensi nyingi mbali mbali.
Asante sana.
Sometimes I found there is a nga before the tense word like li, na.., what...
Ninajifunza Kiswahili kwa miezi sita hivi. Lakini mimi ninafahamu kiswahili kidogo. Maneno huko yanayoandikwa , mimi ninayatafuta kamusi.org au africanlanguages.com.. naomba nyinyi mnaweza kuniambia makosa yangu.
Sasa hivi ninataka kutafuta mtu anayeweza kuongea kiswahili na anayejifunza...
Kwanza, ninafahamu Kiswahili kidogo. Halafu, mwalimu anakaa Ujerumani sasa hivi, mimi ninajifunza kwa njia ya mtandao wa skype. Mwalimu anafundisha sarufi tu. Mwalimu wangu hana nafasi kuongea na mimi pamoja.
Asante.
Mimi naomba kutafuta mtu anayeongea kiswahili na mimi. At the same time (mimi...
Bwana Karoli,
ndio, bado ninatafuta mtu wa kuongea nae kiswahili. bora tunaweza kuongea kwa njia ya skype. lakini sijui kama unatumia skype au la? ama tunaweza kutumia njia ya facebook. lakini naweza kutumia facebook kidogo (means I could't visit facebook very often because of limit of our...
Habari yenu,
Asante kwa majawabu yenu.
Mimi ni mchina kweli kweli. nilijua jasmine ni jina la kiingereza.
Siku hizi mimi ninapokea mjumbe, asante sana. Lakini sasa mimi sina uwezo hapa jamiiforum kujibu mjumbe. labda nitaweza kujibu siku chache baadaye.
bado naombe kutafuta mtu fulani...
hodi, bwana Nyang
mimi ni msichana nchi ya uchina. ninajifunza kiswahili. nimejifunza kwa muda wa miezi sita hivi. labda tutaweza kusaidiana kwa kusoma lugha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.