Search results

  1. C

    Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

    Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa. Mimi ningekuwa yeye...
  2. C

    Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

    Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
  3. C

    Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

    Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani. Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia...
  4. C

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2022

    Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae. Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
  5. C

    Rais Samia ataka vikundi vipewe milioni 100 badala ya vijipesa

    Rais Samia: Jingine ni lile la asilimia kumi, Dodoma wamesema vizuri hapa, hongera mstahiki meya na mkuu wa mkoa. Wamesema vizuri kwamba wanajipanga sasa kwa ajili ya kutoa visenti vichache kwa kila kundi na mimi huwa nasema, fungu lile lilikuwa linatumika kama mfuko wa kisiasa wa madiwani, kila...
  6. C

    Uchaguzi 2020 TBC kama inahisi mikutano ya Wapinzani ina shida bora isiende Live kuliko wanavyofanya

    Leo ACT-Wazalendo wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ama wachague kwenda au kutokwenda...
  7. C

    Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  8. C

    Freezer kubwa linahitajika

    Habari Wakuu, nahitaji freezer la kununua kuanzia size ya kati wastani wa futi 3.5(105 cm) au Lita 300 na kuendelea. Liwe second hand na bei ifananie hapo. Ni kwa ajili ya biashara hivyo liwe linagandisha vizuri. Napatikana Dar niPM kwa mawasiliano.
  9. C

    Ayoub Rioba: Kuna watu wanazungumza Mkapa alikuwa hapendi waandishi, hakupenda wavivu na wakosoaji bila maarifa

    Mkurugenzi wa TBC anamuongelea Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, katika sekta ya habari anasema alikuwa mtendaji mahiri aliyependa umakini kitu ambacho TBC wamekuwa wakisisitiza mpaka sasa kitu ambacho Mkapa alikisimamia wakati akiwa mhariri. Pia ameongelea Mkapa akiwa...
  10. C

    Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  11. C

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 19, 2019: African Lyon 0 - 3 Simba SC

    Baada ya mechi ya mtani wikiendi, Simba Leo yuko jijini Arusha kuendele na safari ya ligi kuu kwa kukwaana na African Lyon. Simba inayokabiliwa na mechi nyingine dhidi ya Azam Ijumaa inaingia dimbani bila Chama, Okwi na Meddie Kagere. Filimbi kupulizwa saa 10 Alasiri ==== 45 zinakamilika...
  12. C

    Baraza la mitihani latangaza Matokeo ya kidato cha sita, Kibaha sekondari yaongoza

    Baraza la mitihani nchini(NECTA)limetangaza Matokeo ya kidato Cha sita ambapo shule ya sekondari Kibaha imeongoza. ==== Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2018 Katika taarifa hiyo, Shule za Kibaha, Kisimiri, kemebos na Mzumbe, zimetajwa...
  13. C

    Abiria wa daladala Dar hupoteza Dakika 110, vibonge husota zaidi vituoni

    Katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo abiria wanapoteza muda mwingi kituoni na kwenye daladala jijini Dar es Salaam kutokana na foleni. Endelea… Uchunguzi wa gazeti hili, umebaini daladala katika jiji hilo hupoteza wastani wa tripu mbili kuanzia siku ya Jumatatu hadi Jumamosi. Kwa...
  14. C

    Watano waliotoka jela kwa msamaha wa Rais wauawa na wananchi

    Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema watu watano waliotoka gerezani kwa msamaha wa Rais John Magufuli wameuawa na wananchi baada ya kurejea katika matendo maovu. Sirro aliyewataka wanaoachiwa huru kwa msamaha wa rais kutorejea katika matendo hayo, ametoa kauli...
  15. C

    Serikali imeziamuru kampuni za madini kufungua akaunti za benki nchini kuzuia uhamishaji wa fedha kinyume cha sheria

    TANZANIA: Serikali imezitaka kampuni za kimataifa zinazojihusisha na uchimbaji madini kufungua akaunti za benki nchini humo - Uamuzi huu unalenga kuzifuatilia fedha hizo ili kudhibiti utoroshaji wa fedha hivyo nchi kunufaika na rasilimali zake
  16. C

    Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Mkuu wa mkoa wa Songwe, ndugu Chiku Galawa amewaomba wafanyabiashara wa Tunduma waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi kubwa wanazokadiriwa na TRA warudi nchini kwa madai kuwa mambo ya kodi ni ya kuzungumza tu. Wafanyabiashara hao inadaiwa walifikia maamuzi hayo baada ya...
  17. C

    EWURA yatangaza Bei mpya za mafuta, Petroli na Diesel bei zaporomoka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei elekezi za mafuta zitakazoanza kutumia kuanzia keshi Mei 2, 2018. Katika taarifa ya EWURA, bei za rejareja za mafuta ya petroli zimepungua kwa TZS 88 kwa lita moja, dizeli imepungua kwa TZS 61 kwa lita moja, huku mafuta ya...
  18. C

    Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

    Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa katika kesi inayomkabili Rais wa Klabu hiyo, Evans Aveva na Makamu wake Kaburu. Amri hiyo imetolewa na...
  19. C

    Serikali yasaka fedha benki ya Afrika kufadhili mradi wa Stiegler's

    Tanzania imetoa ombi kwa benki ya maendeleo ya Afrika kuwezesha ujenzi wa mradi wa Stieglers utakaozalisha megawati 2,000 kumaliza upungufu wa umeme nchini. Mradi huo ukikamalika utazalisha zaidi ya mara mbili ya uwezo wa sasa wa uzalishaji umeme. Benki ya maendeleo Afrika imethibitha kufanyia...
  20. C

    Baada ya Malasusa kutengwa, askofu KKKT aomba radhi waraka kutosomwa kanisani

    Askofu Mbedule ameomba radhi leo Aprili 29, 2018 wakati wa Ibada ya iliyofanyika kanisa la Mtwara Mjini, amesema licha ya salamu hizo kutokusomwa, anaunga nazo na yupo pamoja na maaskofu wenzake. Mtwara. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Mashariki, Dk...
Back
Top Bottom