Search results

  1. tanga kwetu

    Kutenguliwa Uafisa Habari ACT-Wazalendo

    Uliyoyaandika yawe hakika yamekutoka moyoni. Tusisikie umebadilisha angani wiki ijayo
  2. tanga kwetu

    Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

    Wewe ndio umejitia aibu na fedheha. Wapi ZZK anashangilia? Wewe na wenzio wengine msio na uzalendo hanpendi kuona wananchi wanapata elimu ya uraia. Wanaioachambua ripoti ya CAG kama Zitto wako wengi. Yeye anaxhambua kilichofanywa na kuonwa na CAG. Haiongei kilicho chake. Umeacha kuchambua...
  3. tanga kwetu

    Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Mtoa uzi hujaelezea ubaya wa hii kitu ni nini? Hasara anayopata mkopaji ni nini ikiwa amepata sababu ya kukopa? Nachohisi, mtoa thread ni mmoja wa wakopeshaji wa mtaani ambao "salary advance" imewapiga Kofi la uso maana wateja wamewakimbia
  4. tanga kwetu

    Ni wakati sasa Tanzania kuisaidia China

    tuliwasaidia Zimbabwe mbegu za korosho na pia kiuwauzia mahindi kwa bei ya kulangua. hii inatosha
  5. tanga kwetu

    Upinzani mmejisahau sana kuhamasisha watu kujiandikisha daftari la wapiga kura!

    kampeni hii ina sura ya kitaifa hivyo ingepaswa kuratibiwa na makao makuu (viongozi wa kitaifa). viongozi wa majimbo eg wabunge au wilaya au mikoa au kanda wangeongezea nguvu tu. lakini kwa ugaidi wenu CCM mmewakataza viongozi wa kitaifa, kimkoa na kanda kufanya mikutano isipokuwa wabunge tu...
  6. tanga kwetu

    Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

    amesimama katika alichokiamini kwa maslahi ya taifa lake na si chama.
  7. tanga kwetu

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    1) amejua kujenga na kutetea hoja wakamuelewa 2) Zitto kawakilisha tu kundi kubwa la watetezi wa haki elimu kwa wasichana wa Tanzania 3) Ndugai, bunge lako limekuwa part ya serikali.....limekuwa hovyo kabisa na dawa ni kuli-bypass 4) afuate urasimu wa kuwasilisha mabadiliko ya sera wakati...
  8. tanga kwetu

    Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

    Mkuu, tupo mwaka2020 sasa na sio mwaka1990. Physical distance isn't a barrier any longer to get info. Gazeti gani halina online outlet?
  9. tanga kwetu

    Tanzania yatajwa katika nchi yenye madeni makubwa huku ukuaji wa DGP takwimu zake hazifanani na uhalisia (kupikwa) tuna hatari ya kwenda Zimbabwe

    Mtu au chombo cha habari kikiandika habari ya kuwasifia HAKITUMIKI ila kikiandika udhaifu au habari msiyoipenda KINATUMIKA. Ukiwa hupendi kukosolewa, piga marufuku kusifiwa pia
  10. tanga kwetu

    Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

    Magazeti almost yote nchini (about 90%), TV stations almost zote za nchini (around 90%) zinawasifia bado haziwatoshi?
  11. tanga kwetu

    Polisi wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhujumu njia ya reli katika Mkoa wa Kilimanjaro

    Ndio ule msemo "ukicheka na mbwa atakufuata hadi msikitini". Huyu dogo anaharibu kila uchwao anachekewa tu. Naona hadi siku alete kilio kizito kwa jamii au serikali ndio JPM ataamka kuhusu huyu dogo. Utamu wa kumhujumu Mbowe umemnogea. Dogo anapenda blackmailing so probably wale wenye mabasi...
  12. tanga kwetu

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    So kuna watu walikaa standby wanasubiri Prof Assad atamke kweli alitekwa?
  13. tanga kwetu

    Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

    Natambua na kuheshimu mawazo yako lakini naomba kupishana nawe,mkuu. Nilivyoelewa mimi ni kwamba, CHADEMA wamejibu swali la "mlifanya nini kutafuta maridhiano ya kitaifa". Washafanya mengi kea njia za kistaarabu kuendesha siasa japo wanasulubiwa sana na JPM. Hapa naona wamesema "tuwasilishe...
  14. tanga kwetu

    Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    quotes nyiiiiiiingi lakini kama ninge-mark hii insha yako ningekupa 20% kwa huruma ya muda ulioutumia kuandika hii insha-fyongo. Major failure ni tafsiri yako kwamba alijipigisha zile risasi na mazingira uliyoyajenga kuzunguka hiyo tafsiri. Pia nilivyokuelewa ni kwamba Lissu na chama chake pia...
  15. tanga kwetu

    Mbunge hapaswi kuikashifu Serikali au Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Inategemea una-define vipi terms hizi "siri ya serikali" na "kashfa kwa Rais"
  16. tanga kwetu

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Waislam hamkuficha udini wenu wakati wa Prof Mabofu na Prof Mlacha. Kila mwanaUDOM alishuhudia na nyie mlikuwa hamjifichi udini wenu. Ni mpango wa Mungu wale watu hawakuendelea sana maana mngejitangazia himaya yenu (Islamic State of UDOM). Misikiti na Makanisa iwe nje ya katikati ya eneo la...
  17. tanga kwetu

    Ni nani anayesimamia gharama ya ziara za Lissu huko Ulaya na Marekani na anategemea faida gani?

    Maantiki ya kutaka kujua mlipaji wa gharama ni nini? Hujanionyesha kwamba TL mwenyewe hawezi kujigharamia so why nianze kutafuta mtu wa pili kama wa kwanza yaani mhusika hajathibitishwa kwamba hawezi kujigharamia? Pia ni kuwaza kimaskini kwamba kila msaada una masharti mabaya
  18. tanga kwetu

    Ni nani anayesimamia gharama ya ziara za Lissu huko Ulaya na Marekani na anategemea faida gani?

    bado hamjakubali kwamba TL sio level yenu? ebu endeleeni na yenu. Mungu alishawaonyesha kwamba huyu sio size yenu.
  19. tanga kwetu

    Nchi imepoteza zaidi ya dola milioni 500 kutokana na uamuzi wa Serikali kununua korosho

    katika vita (war) kunakuwaga na mapambano (battles). Vita moja inaweza kuwa na battles hata 15. ni nadra kushinda battles zote. zingine utapigwa japo utashinda war. Jamaa anataka kila battle ashinde. Ni ngumu
Back
Top Bottom