Uwe mkweli na uwe makini kwa kila unalomwambia, ukiulizwa upo wapi taja exactly sehem uliyopo, sio upo salender unasema palm beach au upo magomeni unasema mwenge labda anakuuliza hivo kwa vile amekuona na yeye yupo maeneo hayo utaposema uwongo basi hapo hautoeleweka ata ukisema ukweli wa jambo...
Konakali yani huwezi amini ktk ushirikina huyo mwanaume hayupo kabisa maana nawafaham kwao vizuri sana labda sababu zingine tu! ila la ushirikina nina uhakika hakuna maana ningeona baadhi ya mambo, kwa mfano nimejifungua karibuni tu lakn mtoto hana shada lolote la uganga zaidi kasomewa hakika tu...
Jamani mara ya mwanzo nilimuuliza hakuwa na jibu lolote na msingi na naweza sema hakujibu kabisa, na kwakweli cna tabia ya kuchunguza sana kabati yake yaani mpk ninapomsafishia nguo ndio nakumbuka kuzirudisha kabatini! nimejaribu kumuuliza sshv km mlivoshauri kanijibu aaah kakosea tu na hana...
Salaam aleykum!
Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga na haikuwa ya kwangu, nilimuuliza sikupata jibu la kueleweka.
Siku iliyofuata akafunga kabisa na...
Gaijin asante sana kwa ushauri wako na nashukuru sana kwa kumuelewesha Nyamayao, hivo kweli mi naweza kudesa alafu nipitie comments za watu wote kusoma itanisaidia nn? naomba wale waelevu waelewe kuwa nina tatizo kama ulivoelewa wewe Gaijin mungu akubariki sana
Hiyo HY ni blog inaitwa Harusi yangu, nimeizoea sana ata ukiangalia huku mie ni mgeni sana sasa nimekosea baada ya kuandika JF nimeandika HY poleni kwa usumbufu, sijacopy mahali ni tatizo lililonifika kwaiyo nisaidieni wana JF
Habari zenu wana HY! mimi kwa mara ya kwanza naomba msaada wa mawazo yenu, mnisaidie kwa tatizo kubwa nililonalo!
Mie ni msichana wa umri wa 28 na nimebahatika kupata mume ninaempenda sana, mwenyezi mungu ametujaalia pia kuwa tutapata mtoto karibuni akipenda yeye Inshaalah, tatizo linakuja hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.