Search results

  1. C

    Wataalam wa Kiswahili

    Habari wenzangu, Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo: (1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine kifaransa kina mitihani yake ya DELF ama DALF. Je, Kiswahili kina nayo pia inayotambuliwa na wengi?
  2. C

    Neno MAMA LISHE kwa kingereza

    hakuna neno katika kiingereza ambalo lina maana kamili ya "mama lishe"... ya karibu sana ni "food vendor" lakini hii inaweza kuwa kampuni ama mtu ya jinsi yoyote ambayo anauza chakula barabarani ama dukani... hata KFC ni food vendor basi tunaona kuwa "mama lishe" ni wazo wa kiafrika zaidi
  3. C

    Utafsiri na maoni yako juu wimbo huu ya Sauti Sol

    Si mmesikia wimbo mpya wa Sauti Sol - Tujiangalie? Naona huu wimbo una maana nyingi juu ya historia na mwelekezo wa Kenya. Kuna mtu hapa mstadi wa Kiingereza ambaye anaweza kujaribu tafsiri wimbo huu uwe kiingereza? Pia toa maoni juu ya siasa inayoelezwa hapa kulingana na fikra zako Ifuatayo...
  4. C

    Hivi maana ya neno substandard ni nini?

    ni kitu ambacho ni duni kutokana na kiwango fulani yani ni ubora chini ya matarajio ya kawaida
  5. C

    Saidia waswahili uarabuni

    Sasa nimekuwa nasafiri uarabuni nikipata shida nyingi ya lugha. Najua kiswahili na kiarabu vinafanana kwa hivyo naomba watu nisaidie maneno yaliyo takriban yaleyale kwa hizi lugha mbili... Maanake naona itakuwa rahisi zaidi nikumbushe hayo maneno kwa kiarabu. Wasemaji wa kiarabu nisaidieni!
  6. C

    Trump aishambulia Afrika, Haiti na El Salvador adai ni 'nchi chafu'

    Samahani kwa kutumia lugha mbaya lakini vile mnajua dunia lote linazungumzia maana ya "shithole." BBC ilitafsiri kama "nchi chafu" lakini ningependa utafsiri bora kuonyesha ujeuri ya alichosema rais wa Marekani Trump juu ya nchi za afrika. Asanteni wanajamii
  7. C

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    ukoloni na utumwa zimeweka afrika nyuma bila shaka. Pia mwalimu Nyerere, kwa maoni yangu, amekosa kidogo kwa itikadi yake. Aliamini sana kwa uchumi ya ujamaa. Uchumi hauwezi kuongezeka katika mfumo ya ujamaa. Inabidi uchumi ufunguliwe kwa dunia, ingawa sio kabisa na kwa namna ya kulinda...
  8. C

    Naomba tafsiri

    Asante sana pia swali la mwisho... utafsiri wa hili: "What happened to you?"
  9. C

    Naomba tafsiri

    Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo: "It has been a long time since I have seen you" "Wow long time no see" ama kwa kifaransa "Ca fait longtemps qu'on se voit" Asante sana waswahili. Pia swali la mwisho... kuna tofauti kati ya nimekosa na nimekosea... tofauti gani? Asante tena
  10. C

    Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha

    Kwani wasemaji wa kiswahili wanashindana hivyo hivyo mara nyingi... Kama inabidi kweli kujua kiarabu ili kutumia kiswahili kwa fasaha pia eti itabidi kujua kilatini au kifaransa ili kutumia kiingereza kwa fasaha. Pia naweza kujua maana ya kustaarabu bila kujua kiarabu vilevile mtu wa...
  11. C

    Jameeni, Maana ya kusepa?

    Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
  12. C

    Je kuna lugha bora kuliko nyingine?

    Kuna lugha zilizoendelezwa zaidi ya zingine... Kwa mfano lugha zote za ulaya zina misamiati mingi ya kisaiyensi, kisheria, na kibiashara. Lugha hizi hazianzi hivyo lakini watuw wao wameendeleza baada ya muda mwingi.
  13. C

    Siku za mbele kwa Kiswahili - Maoni

    maoni yangu ni watanzania wakuze lugha yao kabisa kama nchi zingine. Kiswahili kiwe lugha ya kufundisha kwa shule zote za kiserikali. Ndiyo maoni yangu kwa sababu hizi: (1) Nchi nyingi tayari wanakuza lugha yao... why not tanzania? Vile naona wafrika wengi hawana imani kwa kitu kilicho chao...
  14. C

    Siku za mbele kwa Kiswahili - Maoni

    Mara kwa mara nawaza ya kwamba hii lugha itaendelea vipi? Tayari imeharibika sana Kenya. itaendelea kwa nguvu kwa Tanzania? Itaenea Afrika Mashariki? Ama watu ya hii jumuiya watakiacha kiswahili baada ya miaka mingi? Maoni yako? Jadili. Mimi ni mzungu ningependa kuona lugha ya kiafrika...
  15. C

    Why we respond a question to a question in English greetings

    huwezi kujibu "habari yako" kurudia "habari yako." Kama mtu amekuuliza "How are you" useme vile uko. Halafu ukitaka unaweza kurudia swali kwa mfano "I am good, and how are you?" Kumbuka kujibu kwanza. Pia kumbuka kama mtu anasema "Hello" useme "Hello" pia ama "hi".
  16. C

    Kiswahili ni lugha ya kimaskini

    wewe umekosea sana... maskini ni utafiti wako angalia uturuki... ni sharti kwa katiba kwamba lugha ya asili iwe kituruki... hata ni haramu kufunza kiingereza mbele ya lugha ya taifa. Hii nchi ina utajiri sana. Ni nchi pekee inayotumia lugha ya kituruki. angalia japani... hii nchi ni kisiwa...
  17. C

    Namna ya kufupisha hii lugha

    Mambo. Mimi ni msomaji wa kiswahili na nataka kujua vile watu wanaongea barabarani. Ni noma kusoma hii lugha kisanifu halafu kwenda nje kugundua kwamba inatumika tofauti kabisa. Kwa mfano maneno mengi hufupisha... kama hivi: kutafuta inatamka "kutafta" kushutaki inatamka "kushtaki" Kwa...
  18. C

    Ninataka maneno kwa mizimu na dubwana (I need words for spirits and monsters)

    eti unatafsiri harry potter kwa kiswahili au? kazi noma unayo
  19. C

    Neno 'kondakta' lilitoka wapi?

    maneno ya conduct na collect ni tofauti kabisa. Ku-collect ni kusanya vitu tu. Ku-conduct ni kuelekeza watu au vitu ili zifanye kazi bila shida. Kwa hivyo conductor ni mtu anayeshugulikia daladala ifanye kazi au mtu anayeshugulikia choir ifanye muziki poa. Lakini kumbuka: ni kazi kidogo...
  20. C

    Shida ya gari au lugha? Nisaidieni

    Mambo, Ningependa kuuliza maswali kuhusi misamiati ya kutengenza magari. Mimi ni msomaji wa kiswahili lakini nimeshindwa kuwaelezea mafundi shida zangu. Kwa mfano naomba usaidizi ya kutafsiri misemo hii kwa kiswahili: "My car won't start" "The battery does not have enough power/energy to...
Back
Top Bottom