Search results

  1. Zneba

    Unapooa au kuolewa na mtu usiyempenda

    kwakua umeamua kuonana na mtu ambae huku mpenda kamwe huwezi kusahau penzi la yule uliykuwa umempenda suluhisho lilipo kamwe usioe/olewa na mtu ambae moyo wako haujaridhika jamani kwenye ndoa kuna mambo mengi na kubwa linalobeba hayo makorokocho yanayotokea ni jinsi mliivyopendana tangu siku ya...
  2. Zneba

    Nimechanganyikiwa, sikujua kama mwisho utakuwa hivi

    ndo mana nakupenda mamaa kigogo
  3. Zneba

    simuelewi kabisa mtu huyu

    sikuona kama kuna ubaya kuleta hapa nikashare sorry kama nimekukwaza
  4. Zneba

    simuelewi kabisa mtu huyu

    na nikweli kabisa thanx nitalifanyia kazi
  5. Zneba

    simuelewi kabisa mtu huyu

    point taken mamy
  6. Zneba

    simuelewi kabisa mtu huyu

    Thanx badili tabia nitafanya hivyo.
  7. Zneba

    simuelewi kabisa mtu huyu

    Habari ya mchana huu wanajamvi,, Ni miezi sita sasa tangu tuachane mimi na yy kwa madai kwamba ndugu zake hawajaridhika awe na mimi maishani ...cha ajabu ni mwezi sasa tangu aanze kunifata na kuniambia bado ananipenda sana na huko anakotaka kuoa moyo wake hauko huko ila ni shinikizo la...
  8. Zneba

    Mapenzi basi!

    angalau umenipa hata mimi moyo
  9. Zneba

    Mapenzi basi!

    pole sana ndugu yangu ndo maisha yalivyo,mapenzi yanatesa kuliko kitu chochote unajikuta huwezi kufanya kitu yamenikuta hata mimi najua hali uliyonayo pole
  10. Zneba

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    mmh mada ni nzito kwakweli
  11. Zneba

    Wakikutana hawanyimani!?

    Huo ni utumwa kabisa,mtu ulishaachana nae unakutana nae eti mnakumbushiana ili iweje sasa?kwanini mlishindwa kuwa pamoja basi kwenye maisha kama mliona kila mmoja hawezi kumsahau mwenzie?
  12. Zneba

    Kwakweli bado nampenda

    coz hayakakukuta ndiyo mana igwe
  13. Zneba

    Kwakweli bado nampenda

    Habar ya wakti huu wanajamvi, naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa tangu tuachane
  14. Zneba

    Msaada wa maoni: Naweza kupata mke kupitia JF?

    unaweza sana kama upo serious
  15. Zneba

    hivi ni kwanini

    mi mkirua vunjo hamjakosea kabisa
  16. Zneba

    Nijulisheni hili wapendwa

    Asante sana keroro nimekuelewa ni kweli nilishawahi kupost issue kama hii muhusika ni mimi mwenyewe na inaniuma sana tu kumpoteza mpenzi wangu niliempenda na kumzoea mno.ila ndo sina namna kwa kuwa nikweli kuingia katika familia ambayo ndugu hawajakupenda ni kitu kibaya sana kwakuwa maisha si ya...
  17. Zneba

    hivi ni kwanini

    hivi ni kwanini wanawake ni rahisi kukubali msamaha wanapokosewa kuliko wanaume?
  18. Zneba

    Nimeitupa engagement ring dampo

    eeeh hii kali kwakweli amekimbia hata majibu hatoi,msaidieni jamani ana hasira mpeni moyo
  19. Zneba

    Nijulisheni hili wapendwa

    thanx keren nimekuelewa
  20. Zneba

    Nijulisheni hili wapendwa

    asante sana kwa ushauri wako nimekuelwa vizuri na nimependa kwa kuwa umechukulia issue hii very serious thanx a lot bacha
Back
Top Bottom