Search results

  1. J

    Nyaraka za kusajili gari zimeokotwa- tbt baracuda

    Kuna nyaraka za kusajili gari zenye jina NICODEMUS J. MATILYA wa Tabata, Segerea kama kuna mtu amepotelewa apige simu 0714 485182
  2. J

    Miss Morogoro,mbona wafupi?

    mhhhhh! ladba ndy watu wa moro tulivyo???
  3. J

    Halle Berry

    huyu mrembo siyo mchezo yuko juu>>>>>>
  4. J

    Wasomi wawili

    Huyo msomi wa IT hamnazo kabisa.
  5. J

    Kimodo hangaika nacho

    Haya! wale dada zetu mamiss wanao jikondesha kazi kwenu
  6. J

    Fahari ya macho ni kuona

    Ni kazuri lakini si kiwango chajuu akafanye mazoezi apunguze nyama uzembe
  7. J

    Kweli Pinda mtoto wa mkulima

    Hata mi nimekubali Waziri Mkuu wetu kweli ni Mkulima namuunga mkono kwani tuko wengi hata mi najivunia hilo kwa wazazi wangu ni wakulima wakubwa tangu kitambo sana
  8. J

    etv Ndani ya TBC

    Ni kweli hawa wachina watasaidia kwa kiasi fulani gharama za Dstv ziko juu hata mimi niliwapigia simu wakanipa maelezo lakini tofauti iliyopo mbona wanasema bei zimetofautiana kwa baadhi ya maeneo? kwani kunamaeneo mengine inaanza 120,000/= mpaka 170,000/= kwa hapahapa jijini minafikiri...
Back
Top Bottom