Search results

  1. stanleyRuta

    Viongozi wa Afrika warekodiwa wanavyofanya matanuzi makubwa wakiwa Marekani

    Afu nione takataka yoyote inakuja kwenye eneo langu eti tiraei
  2. stanleyRuta

    Mke wa rafiki yangu kapoteza uwezo wa kushika ujauzito

    Hahhah😁😁😁😁😁😁😁
  3. stanleyRuta

    Kumbe na nyinyi wanaume hamjielewi

    Afu nyie wanawake mnaowaita wame zenu Mr. Sijui kwa nini mnabanduliwa sana na wana......
  4. stanleyRuta

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umeambiwa ukweli, siyo kuchosha watu...
  5. stanleyRuta

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Binafsi nakushauri tumia Ips kwa sababu ziko very flexible in all pressures,PPR zina limit za presha,pia PPR zina shida kwenye maungio fundi akijichanganya kwenye kuunga utajua hujui.,.. N.B nasupply hzo kitu, uliza Bei nikupe mwongozo
  6. stanleyRuta

    Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Mi nahisi itakuwa ni bei kitonga ikizingatiwa ni la serikali......pia nasikia Tigo Tanzania imeuzwa kwa mwekezaji mwingine
  7. stanleyRuta

    Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hiko nako ni kipengele😂😂😂
  8. stanleyRuta

    Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Kabisa mkuu, na Wale jamaa wengi sana wapo karibia 400
  9. stanleyRuta

    Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
  10. stanleyRuta

    Wazawa wa Dar (wazee wa vigoma) wametu-save sana tulipokuwa chuo

    Nyie wa Ng'ong'ona AHAHAHAH 😂😂😂😂
  11. stanleyRuta

    Walimu Vijijini huungana na kumpa boda ATM kadi kwenda Mjini kuwachukulia mishahara

    Hili ni kweli wife wangu na wenzie wanafanya kumpa kadi zao dereva wa gari la kijijini kwao liendalo mjini.
  12. stanleyRuta

    Geita: Ahukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya tsh milioni 2 kwa kula rushwa ya Tsh. milioni 75

    Jamani muwe mnasoma na kuelewa kabla ya kujionesha mlivokuwa namna gani vichwani.....hebu Rudia tena kusoma mpaka paragraph ya mwisho,usipoelewa njoo PM nikufundishe tuition
  13. stanleyRuta

    Masalia mapya ya mijusi mikubwa yagundulika Lindi

    Aaah wapi Kamanda katoka mtupu hapo........😂😂😂😂😂
  14. stanleyRuta

    Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

    Msikilize akitangaza gemu ya South Africa vs Mexico ,Tshiphiwe Tshabalala akitandika mkwaju wa goli la kwanza, utasikia Tshabalalaaaaaaaa ,goal goal for South Africa, goal for bafana bafana ,goal for all Africaaaa, jabulilaaa ,rejoice........Mwenyewe anakili kwamba this is his best commentary ever
  15. stanleyRuta

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Jamaa alihojiwa akalalama sana sema ni professional yule hakulalamika kiswahiliswahili,alisema anahisi pambano lilikuwa la upande mmoja itabidi apate muda aangalie kama ni kweli zile ngumi alizokuwa anarushiwa kama zilikuwa zinamfika maana alikuwa anazikwepa
  16. stanleyRuta

    Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

    Ahahahha kwa kweli hakuna kabila linaloogopesha kama wahaya, Jitu ukiwa nalo Kwenye argument au discussion yeyote, likijua we ni mhaya ghafla linanywea.......hahahah
Back
Top Bottom