Search results

  1. Konda wa bodaboda

    Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

    Hata posho na gharama za ziara hiyo huenda wanalipwa kutoka hazina/ikulu. Ccm wamekamatika na hiyo ni dalili ya kwamba chama hicho kimepoteza mvuto ndio maana wanafanya siasa kwa mgongo wa serikali.
  2. Konda wa bodaboda

    Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

    Wewe ndiye unayejikomba kwa wanasiasa, usisingizie ukawa.
  3. Konda wa bodaboda

    RC Dar ameimarika zaidi badala ya kudhoofika kisiasa na kijamii

    Hawawezi kumsafisha huyo jamaa, hata TEF isingemuadhibu bado jamii ilishamdharau.
  4. Konda wa bodaboda

    Ushauri kwa Maalim Seif Sharrif Hamad na wafuasi wake

    Lakini ukweli ni kwamba walishinda katika uchaguzi mkuu.
  5. Konda wa bodaboda

    Ushauri kwa Maalim Seif Sharrif Hamad na wafuasi wake

    Lipumba hawezi kufanya suluhu na Maalim Seif wakati amekula pesa ya watu ili kumdhohofisha Seif kisiasa.
  6. Konda wa bodaboda

    Twaweza: Wananchi wengi mbumbumbu wa namba za dharura za Zimamoto, Polisi

    Watu wanaona hizo idara hazina faida kwao ndio maana hawajishughulishi kujua hata kama zipo.
  7. Konda wa bodaboda

    Profesa Lipumba akutana na waandishi wa habari kukanusha kuhusu kuitishwa kwa baraza kuu Zanzibar

    Aibu anayo ila pesa ni mwanaharamu. Si unaona anavyoongea kwa aibu kama anazomewa.
  8. Konda wa bodaboda

    Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Kwahiyo kuna Tanzania na Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?
  9. Konda wa bodaboda

    RC Gambo amchimba mkwara Lema

    Hivi magufuli alipata kura ngapi Arusha?
  10. Konda wa bodaboda

    Bazara la Maskofu TEC, waraka wa 2009

    Kipindi cha utawala wa JK padre Mapunda kila jumapili ni kuisema serikali tu, kumbe ni kwa sababu ya uislam wa rais Kikwete.
Back
Top Bottom