Namkumbuka bedui Msasa aliwahi kuwambia wanafunzi wazoe mikojo iliyokojolewa usiku pale ng'ambo kwa mikono then usiku vijana wakajibu mapigo kwa kukata miti yote iliyopandwa nae.Vurugu iliyosababisha HP kufukuzwa .
inalipiwa tena gharama kubwa pale inapotolewa na kampuni binafsi iwapo mhanga wa huo moto hakuwa mteja wao kabla ya tukio.Hata huduma ya kuokoa maisha na si mali hutolewa bure.
My name is pandisho,tafadhali naombeni ukaribisho wenu,nimeamua kujiunga baada ya kuona mawazo ya vichwa vilivyomo humu.Bila shaka sijachelewa sana kama ambao hawajajiunga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.