Search results

  1. Pritty wa joseph

    Karibu ujipatie Bar soap kwa ajili ya chunusi

    Kiboko ya chunusi, harara,mapunye,muwasho,makovu na kila aina ya ugonjwa Wa Ngozi Only 7000 tu....nakuletea ulipo na mikoani natuma 0714547830 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Pritty wa joseph

    Nauza Shower gel

    Habari, karibuni shower gel (sabuni ya maji yakuogea) Napatikana dar ubungo delivery ipo Only 15000/= Call 0714547830 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Pritty wa joseph

    Avon deodorants for sale

    AVON DEODORANTS Team kunukia karibuni deodorants hizo, Jumla 6000, reja 8000 Jumla kuanzia PC 10 Call 0714547830 spend less, save more
  4. Pritty wa joseph

    VITAFUNWA

    Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake [emoji364]Vitumbua 300 [emoji364]Chapati 500 [emoji364]Kachori 300 [emoji364]Maandazi 300 [emoji364]Bagia za kunde 250 [emoji364]Bagia za dengu 300 [emoji364]Sambusa za nyama 500...
  5. Pritty wa joseph

    Magonjwa ya kuku na tiba zake

    MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE UTANGULIZI Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu ambayo huzuia magonjwa hayo.Leo nitawaeleza baadhi ya magonjwa ambayo hushambulia kuku mara kwa...
  6. Pritty wa joseph

    Msaada wana JF: Napata wapi msaada kwa kiundi cha akina mama waliotelekezwa?

    Habari, Nina kikundi cha wamama zaidi ya 150, katika maeneo mbali mbali ya mikoa ya dar na pwani, hawa wamama ni wale waliotelekezwa na waume zao, waliozalishwa katika umri mdogo,na wajane. Nahitaji wapate elimu ya ujasiliamali, elimu ya kujitambua na mikopo yenye riba nafuu Kwa yeyote mwenye...
  7. Pritty wa joseph

    Watu wanayaweza

  8. Pritty wa joseph

    Garlic paste

    Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa na hutumika kama kitunguu kingine kwa ajili ya kupikia,massage, scrubbing, steaming nk 100% kitunguu swaumu Jumla 3500 kuanzia PC 20, na rejareja 5000 Napatikana dar, Ubungo, mikoani natuma Whatsapp 0714547830
  9. Pritty wa joseph

    Dawa ya meno inauzwa

    Dawa ya meno na kinywa kwa wale wenye matatizo ya kinywa, kunuka mdogo, fungus kinywani, wasafirio uvinza (hii itawafanya waepukane na cancer, unatumia baada ya kusafiri) Tsh 15000 tu Mawasiliano: 0714547830
  10. Pritty wa joseph

    Msaada: Natafuta donors wa NGO

    Heshima Kwenu wakuu, tumekamilisha usajili Wa NGO, sasa tunatafuta donor kwa ajili ya kufanya project ya kwanza. Naomba msaada jinsi ya kuwapata nipo dar
  11. Pritty wa joseph

    NAWAKARIBISHA KUJA KUPIMA AFYA

    Karibuni Eternal International kuja kupima afya ( body checkup) bure kabisa Kwa Siku ya kesho, Tupo posta mpya Benjamin Mkapa Tower -Mezamine Tupigie 0714547830 Kwa maelezo zaidi na kuja kupokelewa endapo utapotea
  12. Pritty wa joseph

    Mapenzi ya hivi Africa yapo?

    Team popo hv mapenzi ya hivi Africa yapo? Kama yapo ni nchi gani niwahi maana tz hakuna Enrique Iglesias - Hero
  13. Pritty wa joseph

    Zinaa imekatazwa kwa sababu ni uchafu

    JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS. PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha...
  14. Pritty wa joseph

    Msaada, nahitaji soko la viazi lishe

    Habari wanajamvi, Nina karibia kuvuna viazi vya njano ( viazi lishe) naombeni Mwenye connection ya soko na bei ya sokoni Kwa gunia au ndoo 0714547830
  15. Pritty wa joseph

    Msaada: Jinsi ya Ku-dilute acetic acid/citric acid

    Habari za usiku ndugu zangu, naomba mnisaidie jinsi ya Ku dilute acetic acid/citric acid ambayo ipo katika powder into liquid
  16. Pritty wa joseph

    For sale...Garlic Paste

    Habari za muda huu ndugu zangu, Hii ni GARLIC PASTE Kitunguu swaumu kilichosagwa na kusingikwa, Ni product ya Tanzania Ni Tsh5000 tu Pia nauza kwa Jumla 0714547830- napatikana dar
  17. Pritty wa joseph

    Lipstick zinauzwa

    Habari dears, lipstick nzuri...na ambazo ndo habari ya jiji LA makonda, Kwa Tsh 7000 tu Hii ni offa ya kumaliza mzigo 0714547830
  18. Pritty wa joseph

    Kwa wenye matatizo haya

    Fungus sehem za siri, U.T.I sugu, kuwashwa sehem za siri,kutoa harufu mbaya nk Hii ni Femicare, haina madhara na imesinitishwa na TFDA Inapatikana kwa Tsh 35000/= tu Nicheki 0714547830
  19. Pritty wa joseph

    Je, mafuta haya ni mazuri kwa ngozi?

    Nataka niagize mafuta haya ya Ngozi kutoka UK kwa ajili ya biashara , je ni mazuri?
Back
Top Bottom