Search results

  1. David Harvey

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Wameshawahi kumvunja mguu sister kwenye zebra kwa speed zao za ajabu ajabu
  2. David Harvey

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Acha wafe tu usipojithamini mwenyewe nani atakuthamini? Mirungi na konyagi vimehusika hapo.
  3. David Harvey

    Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

    Kuna watu halafu kuna walimwengu,wewe ni mlimwengu
  4. David Harvey

    Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Kuna muda unajifanya mwanamke,kuna muda unajifanya mwanaume,kuna muda unajifanya shoga kuna muda unajifanya lesbian ..unatuchanganya ujue!!
  5. David Harvey

    Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Nunua ambulance
  6. David Harvey

    Mapenzi au kudanganyana?

    Mahusiano miaka 10? Hayo ni mahusiano au ndoa?
  7. David Harvey

    Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Nimeamini wewe ndio mbumbumbu kuu
  8. David Harvey

    Mke wangu karudi kwenye dini yake

    Miaka 15 iliyopita nilitaka nijichanganye kuoa asiye dini yangu
  9. David Harvey

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Urefu mita 188,uzito 96kg
  10. David Harvey

    Gari aina ya IST new model 5.5million tu

    Gari yako nzuri sana imetulia
  11. David Harvey

    Uzinzi, Ulevi wa pombe na kamari vimeleta maumivu makubwa Kwa wanaumme wengi Sana

    Miaka nenda rudi tunakunywa pombe wala hatuna shida na mtu na hatujawahi kufirisika wala kutelekeza familia.
  12. David Harvey

    Uzinzi, Ulevi wa pombe na kamari vimeleta maumivu makubwa Kwa wanaumme wengi Sana

    Ujinga mtupu,watu kama nyinyi mnaongoza kwa umbeya
  13. David Harvey

    Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Nikiwa dar nakunywa lita 4 ila nikiwa sehemu za baridi nakunywa lita 2 tu
  14. David Harvey

    Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Unakunywa nusu lita!! unakaa makambako au makete?
  15. David Harvey

    TANZIA Mzee wa Mjegejege afariki dunia

    Mwananyamala za kichwa,mnazi mmoja za kichwa woyoooooo woyoooo,uku anakata uno
  16. David Harvey

    Damas Ndumbaro atupwa jela ya soka miaka 7

    Jinga la mwisho ilo
  17. David Harvey

    Kushtuka kutoka usingizini usiku wa manane

    Kwa kawaida ikifika mida hiyo lazima niamke nakuja kupata usingizi saa 10. Imenisaidia sana dhidi ya wezi na kutafakari mipango yangu
Back
Top Bottom