Search results

  1. amatuks

    Nauza Samsung Note 5

    Wakubwa nauza Samsung Galaxy Note 5 nilinunua kama miezi minne iliyopita. Kwa anaehitaji anijulishe kwa sasa nipo Arusha.Bei Tshs 380,000/= top. 0687702626
  2. amatuks

    Kuku Chotara Majike Yanahitajika

    Habari zenu Wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye biashara. Mimi nipo Dar.
  3. amatuks

    Noah Inauzwa

    Nauza Noah Field Tourer. Ipo katika hali nzuri sana. Specifications: 1. Make : Toyota 2. Model:Townace Noah Field Tourer 3. Eng Cap : 1998 cc 4. Odometer : 190,000 5. Year of Manuf : 1998 6. Price/Bei : 9,000,000 Maongezi kidogo yapo. 7. Location/Ilipo : Kigamboni. 8. Contacts/Mawasiliano ...
  4. amatuks

    Nauza suzuki carry kwa milioni 5 tu

    Haloo wakubwa. Nauza Suzuki Carry kwa milioni tano tu (5m). Ipo Dar ukitaka kuiona muda wowote nitafute kwa no 0687702626. Ipo Kigamboni. Sababu ya kuuza nimeshindwana na madereva. Odometer : 135,000. No T 425 CVV.
  5. amatuks

    Nahitaji House Girl

    Kichwa cha habari kinahusika nipo Dar yeyote anayeweza kunisaidia ani PM tafadhali.
  6. amatuks

    Nyumba ya kupanga Kigamboni inahitajika

    Wakuu kama kuna dalali yeyote wa Nyumba maeneo ya Kigamboni naomba tuwasiliane nahitaji nyumba ya vyumba 2 fence na vitu vingine kama tiles nk niPM.Bajeti laki tatu kwa miezi sita.
  7. amatuks

    Kiwanja na kinauzwa Mwembe Mtengu Kigamboni

    Wakuu nauza kiwanja changu kipo kigamboni Mwembe Mtengu vipimo ni kama ifuatavyo kusini mita 18, Magharibi mita 22, Kaskazini mita 24 na Mashariki mita 22. Kuna tofali za mashine idadi 4475 kwa vyote na kiwa nja ni Tshs milioni 11 bila tofali ni 7 milioni Karibuni. Hati ya serikali ya mtaa...
  8. amatuks

    Natafuta mfanyakazi wa ndani

    Hi guys natafuta mfanyakazi wa ndani (housegirl). Naishi Dar. Yeyote anayeweza kumpata anipm pls seriously.
  9. amatuks

    Suzuki Carry for Sell

    Nauza Carry yangu kwa 5.5 milioni. Hakuna maongezi. Reasons : Nimeshindwana na madereva. Odometer: Angalia kwenye picha hapo chini. Drive: 2 Wheel Drive. Condition: Nzuri imeingia mwaka jana mwezi wa nne. 0687702626.
  10. amatuks

    Suzuki Carry Inauzwa bei ya Kutupwa

    Nauza Suzuki Carry yangu ipo katika hali nzuri kabisa nimeshindwana na madereva. Details: Make: Suzuki Model: Carry. Engine Capacity: cc650. Km :135001. Bei : Tshs 6 Milioni haipungui. Karibuni kwa wahitaji mni PM. 0687702626.
  11. amatuks

    Nahitaji Kiwanja

    Habari wadau. Nahitaji kununua kiwanja Dar katika maeneo yafuatayo, kigamboni nje ya eneo la mradi,mmbande,mbagala,toa ngoma, gezaulole, sala sala, madale bajeti yangu ni 5m. Mwenye nacho aniPM tufanye biashara. Kisizidi hiyo bajeti tafadhali.
  12. amatuks

    Galaxy S4 Inahitajika

    Habari za muda huu wakuu. Nna bajeti ya 300000 laki tatu nahitaji Samsung Galaxy S4 sio Clone isiwe imechoka sana wakubwa. Mchana mwema. PM tu kama unayo.
  13. amatuks

    Mwenye Suzuki Carry Niuzie

    Wakuu nna kaela kidogo nataka kununua Suzuki Carry nami nipate mkate wa kila siku mwenye nacho ani pm tuongee dili.
  14. amatuks

    Suzuki Carry mbili zinahitajika Used

    Habari zenu wakuu Nahitaji Suzuki Carry 2 ziwe katika hali nzuri ntanunua kila moja kwa milioni nne mwenye nazo ani PM.
  15. amatuks

    Nahitaji mawakala wa kuagiza nguo toka nje ya nchi

    Waungwana nataka kuanza ujasiriamali kwa kufungua duka la nguo. Kwakuwa mtaji wangu si mkubwa kuniwezesha kufuata mzigo nje ya nchi naomba kama kuna watu wanaagiza mzigo toka nje na kuuza kwa bei ya jumla tuwasiliane tuweze kufanya biashara. Natanguliza shukrani.
  16. amatuks

    Chumba cha kupanga

    Wadau nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni iwe self. bajeti yangu ni 150000. yeyote aliyenacho aniPM. Thanx.
Back
Top Bottom